TTCL kusambaza huduma ya internet majumbani

Wasije kutupita na wananchi wa Hungumalwa na Ilelamhina watupitishie hyo intanet ila sio kwa bei ya mikocheni na mbez beach.
Hiyo laki moja ni mbuzi watatu na nusu au gunia mbili za mpunga, huko ni kutiana umasikini
Uko vizuri kwenye comparative analysis [emoji6][emoji6][emoji6]
 
Bei iko juu sana! sielewi kwann linaitwa shirika la kizalendo! ukiangalia hata targeted areas kwa ajili ya pilot study utajua tuu hili zoezi limelenga watu gani na sio mwananchi wa kawaida!
 
Miradi mizuri huwa kila siku inaanzia kwa wenyenacho wachache, lkn miradi ya kipuuzi utasikia inaanzia majaribio kwa walalahoi! hii bei ya laki kwa mwezi sijui wamelenga customer group ipi? hii haiwezi kufika hata asilimia 5% ya watumiaji wote wa internet nchini! very poor strategy. punguza bei ili upate customer base kubwa na urudishe gharama na kutengeneza faida!
 
Mradi upo hatua gani sasa hivi? Au ulishakamilika?!
 
Mwaka wa nne ninatumia TTCL FTH (FIBER TO HOME) ....nimeridhiwa na huduma ya ttcl fiber to home.
 
TTCL kutumia Sh44 bilioni kusambaza intaneti
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linatarajia kutumia Sh44.7 bilioni kusambaza intaneti ya kasi kubwa hadi majumbani kupitia huduma mpya iitwayo Fiber Connect Bundle.
IN SUMMARY

  • Kupitia huduma hiyo mteja atapata intaneti ya kasi isiyo na ukomo kwa gharama ya kuanzia Sh100,000 hadi Sh200,000 kwa mwezi.

Hayo yamebainishwa leo, Jumanne Februari 27, 2018 na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Waziri Kindamba aliyebainisha kuwa kupitia huduma hiyo mteja atapata intaneti ya kasi isiyo na ukomo kwa gharama ya kuanzia Sh100,000 hadi Sh200,000 kwa mwezi.

“Pia, atapata simu ya mezani bure yenye huduma ya wifi pamoja na muda wa maongezi bure na kadi ya simu,” amesema Kindamba.

“Kwa kuanzia mradi huu, tunatarajia kufikisha huduma katika nyumba 500 zilizopo Mikocheni na nyingine 500 za Mbezi Beach jijini hapa. Zaidi ya nyumba 200 zilizopo eneo la Medeli mkoani Dodoma nazo zimo kwenye mpango, baadaye huduma hii itaendelea kusambazwa nchi nzima.”

Amebainisha kuwa uwekezaji katika sekta ya mawasiliano ni wa gharama kubwa, lakini shirikia hilo litaendelea kufanya kila liwezalo kuwafikia Watanzania wote kwa kuboresha mtandao wa simu na intaneti kwa gharama nafuu.

Mkuu wa Ufundi wa shirika hilo, Cecil Francis amesema muda wa majaribio ya mradi huo ni miezi mitatu kisha huduma hiyo itaanza kutolewa katika majiji yote ya Tanzania Bara pamoja na Unguja katika awamu ya kwanza.

“Awamu ya kwanza inatarajia kugharimu kati ya Dola 15 milioni za Marekani (zaidi ya Sh33 bilioni) hadi Dola 20 milioni (zaidi ya Sh44 bilioni). Utekelezaji wake tayari umeanza tangu Februari Mosi na baada ya siku 90 tutaendelea na maeneo mengine tulivyoyapa kipaumbele,” amesema Francis.

CHANZO:MWANANCHI

My Take:
CCM katika ilani yake ya uchaguzi 2015-2020 ilahidi kuongeza idadi ya watumiaji wa internet. Suala hili limetajwa katika ilani ya Ccm ukurasa wa 80 kipengele J.

(j) Kuongeza idadi ya watumiaji mitandao (internet)
kutoka milioni 9.0 mwaka 2015 hadi kufikia milioni
20.0 mwaka 2020.[B\]
Safiii
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Miaka mitano sasa na internet huku majumbani haipo
 
Halafu ikawaje kamanda ?
 
Back
Top Bottom