Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,250
- 98,243
Utajiunga weweItapendeza akina tigo na Vodacom Tanzania wata nyooka.
Utajiunga weweItapendeza akina tigo na Vodacom Tanzania wata nyooka.
Yanini wakati hata simu ya mchina hakuna?Hutaki Internet nyumbani?
Umeonaeeeeeeee?Waniache kabisa na upumbavu huu.
Naona bora ya zamani kuliko hivi mfano mfupi ni juu ya Barabara. Zamani barabra za vumbi lakini tulikuwa tunasafiri muda mwingi.
Wmejenga barabara muda wa kutumia barabaran umezidi hapo zamani japo miundombiu mizuri.
Turudi kwa TTCL, wakifanya hivyo tu, Facebook, Twitter, JamiiForums, whatsup zote fungiliwa mbali. Watuache na matatizo yetu ya kuungaunga tumeyazoea
Labda chini ya cdmmimi nadhani Access ya mitandao ya kijamii itaboreka zaidi.
Una akili sana. Huwa naona aibu kweli eti hata mijini maji bado ni kitu cha anasa.Maji Safi na Salama wataleta lini ??
Yanini wakati hata simu ya mchina hakuna?
Ukipenda nawewe unajiunga, usipoweza unaweza omba msaada piaUtajiunga wewe
Wacha kashifa weweUkipenda nawewe unajiunga, usipoweza unaweza omba msaada pia
Mimi nitajiunga wewe je?Wacha kashifa wewe
Hata kufa utakufa pekee yakoMimi nitajiunga wewe je?
Mkuu una hasira kwani mimi ndie nilie kuumba?Hata kufa utakufa pekee yako
Hata kufa utakufa pekee yakoMkuu una hasira kwani mimi ndie nilie kuumba?
Jibu swali wacha siasa
Usijali mkuu mambo yatakunyookea pia. Frustration kawaida.Hata kufa utakufa pekee yako
Nisichokielewa hapa kilichokuwa kikitajwa kirahisirahisi kuhusu bei na Kindamba ni kitu gani hasa!Hata mimi naona bei ni kama kubwa hivi....!
Nadhani ni eneo wanalotakiwa kulifanyia kazi