Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,768
- 22,057
Zifungwe kwa sababu zipi? Fafanua vizuri inaonekana we ni conservative sana hutaki maendeleo.Waniache kabisa na upumbavu huu.
Naona bora ya zamani kuliko hivi mfano mfupi ni juu ya Barabara. Zamani barabra za vumbi lakini tulikuwa tunasafiri muda mwingi.
Wmejenga barabara muda wa kutumia barabaran umezidi hapo zamani japo miundombiu mizuri.
Turudi kwa TTCL, wakifanya hivyo tu, Facebook, Twitter, JamiiForums, whatsup zote fungiliwa mbali. Watuache na matatizo yetu ya kuungaunga tumeyazoea