TTCL imesababisha nifukuzwe Kazi

TTCL imesababisha nifukuzwe Kazi

Mimi Nilikuwa ni system adm wa kampun moja ya wazungu hapo Masaki, sasa jana bosi wangu alikuwa na mkutano wa online na mkurugenzi mkuu ambae yupo Marekani.

Kutokana na umuhimu wa hayo maongezi yao ikabidi bosi wangu aniombe ushauri kuhusu ni mtandao gani ambao una strong internet connection.

Kutokana na matangazo ya TTCL ya siku hizi, nikaona hawa jamaa watakuwa wamebadilika sana, kumbe Dah Nilikuwa naingia choo cha kike, nikamshauri bosi wangu kwa mbwembwe nyingi kuwa TTCL ni best kampany.. mmh nikapewa pesa za kwenda kununua line ya TTCL, nikaenda moja kwa moja makao makuu pale Samora, kufika pale nikanunua line kwa sh 2000 na muda wa maongezi....

Huwezi kuamini ishu ya kusajili line tu ilinichukua masaa 3 mpaka bosi akawa ananipigia simu kwamba vipi tena mbona unachelewa?

Ikabidi niondoke kurudi ofisini na yule mhudumu akaniambia niweke line kwenye simu na itafunguka tu yenyewe, nikafika ofisini nikampatia bosi wangu ile line na nikampa maelezo kuwa aweke kwenye simu na itafunguka tu yenyewe....

Dah mpaka saa 12 jioni hakuna kitu, bahati nzuri nilichukua namba ya yule dada alienihudumia nikampigia simu, jibu lake ndio niliishiwa pozi zote...

Akasema kesho asubuhi niende na hiyo line oh my god bosi akaanza kubadilika rangi akaanza kupiga simu kwa wazungu wenzake na kila mzungu akawa anatoa lawama kwangu kuwa why nilichagua TTCL ikiwa wenyewe tu wafanyakazi wa TTCL hawatumii huo mtandao....

So kwa hasira bosi kanifukuza kazi coz nimempa ushauri wa kampuni ambayo Nilikuwa najua fika kuwa huduma zake ni mbovu.

Ushauri wangu kwa TTCL ni kwamba fungeni hiyo kampuni yenu mpaka hapo ambapo mtakuwa tayari kuingia kwenye soko la ushindani.
Wakati mwingine hakikisha unachoshauri kweli kipo sio kuyaamini matangazo ambayo nia yake ni kuvuta wateja, kama yana ukweli au la hilo ni suala jingine
 
nipo nasikiliza wimbo wa Nikki wa pili hapa anaitwa "sitaki kazi"
 
Wapeleke mahakamani kwa makosa haya;
1. Kukurubuni kupitia matangazo yao.
2. Kukupotezea muda
3. Kukusababishia hasara
4. Kukusababishia msongo wa mawazo.
Unaweza kuongezea mengine hadi yakafika mia. Ukishinda hiyo kesi umasikini bye.
Unanikumbusha ile kesi ya Carill v Carbollic Smoke ball.
 
Ujumbe umefika ila pole kibarua mzoefu, ina maana huyo boss wako alikupa na barua ya onyo na hapohapo akakupa barau ya kukufukuza kazi?
 
Mimi Nilikuwa ni system adm wa kampun moja ya wazungu hapo Masaki, sasa jana bosi wangu alikuwa na mkutano wa online na mkurugenzi mkuu ambae yupo Marekani.

Kutokana na umuhimu wa hayo maongezi yao ikabidi bosi wangu aniombe ushauri kuhusu ni mtandao gani ambao una strong internet connection.

Kutokana na matangazo ya TTCL ya siku hizi, nikaona hawa jamaa watakuwa wamebadilika sana, kumbe Dah Nilikuwa naingia choo cha kike, nikamshauri bosi wangu kwa mbwembwe nyingi kuwa TTCL ni best kampany.. mmh nikapewa pesa za kwenda kununua line ya TTCL, nikaenda moja kwa moja makao makuu pale Samora, kufika pale nikanunua line kwa sh 2000 na muda wa maongezi....

Huwezi kuamini ishu ya kusajili line tu ilinichukua masaa 3 mpaka bosi akawa ananipigia simu kwamba vipi tena mbona unachelewa?

Ikabidi niondoke kurudi ofisini na yule mhudumu akaniambia niweke line kwenye simu na itafunguka tu yenyewe, nikafika ofisini nikampatia bosi wangu ile line na nikampa maelezo kuwa aweke kwenye simu na itafunguka tu yenyewe....

Dah mpaka saa 12 jioni hakuna kitu, bahati nzuri nilichukua namba ya yule dada alienihudumia nikampigia simu, jibu lake ndio niliishiwa pozi zote...

Akasema kesho asubuhi niende na hiyo line oh my god bosi akaanza kubadilika rangi akaanza kupiga simu kwa wazungu wenzake na kila mzungu akawa anatoa lawama kwangu kuwa why nilichagua TTCL ikiwa wenyewe tu wafanyakazi wa TTCL hawatumii huo mtandao....

So kwa hasira bosi kanifukuza kazi coz nimempa ushauri wa kampuni ambayo Nilikuwa najua fika kuwa huduma zake ni mbovu.

Ushauri wangu kwa TTCL ni kwamba fungeni hiyo kampuni yenu mpaka hapo ambapo mtakuwa tayari kuingia kwenye soko la ushindani.
Ni ukweli huo TTCL wanafanya kzi bila nidhamu wala heshima kwa wateja. Ndilo taifa la CCM hakuna kuwajibika.
 
Duh pole sana, nenda TTCL na barua yako ya kufukuzwa kazi wambie
1. Wakulipe fidia ya kukupa taarifa za uongo ambazo umeziamini na matokeo yake kusababishwa kufukuzwa kazi?
2. Rudi kwa Mwajiri wako mwambie sababu za kufukuzwa kwako kazi hazina uhusiano wa moja kwa moja bali umesha wachukulia hatua/wachonganishi ambao ni TTCL.
3. Washauri TTCL wabadili hata rangi za Logo na Tshirts zenye rangi nyeusi vijana wa Promo wanaonekana wamechoka sana pia haina mvuto kivile.
4. Tumia changamoto ya kufukuzwa kwako kazi kwa kuanzisha Kampuni ya kuandaa Mikutano/Kusimamia maandalizi na kuwezesha mikutano online Bongo
Nmeipenda sana no. 4
 
Kuna halotel sasa hivi... pendelea kufanya study kwanza kabla haujashauri. Jibu ni kwamba mimi natumia airtel sifahamu mitandao mengine iko vp... akupe muda ufanyie kazi.
 
Nina wasiwasi na siivii ya huyu jamaa... Kifupi lengo lako ni zuri lakini umekosea taimingi BTW umelipwa kiasi gani? Labda kwa ufafanuzi tu tufahamishe Mr System Admin Ulinunua bando IPI? Na hiyo ofisi ya wazungu iko wapi? Terminal waliyokuwa wanatumia wazungu ni aina gani? Je ni 4g LTE kompatibo? Ulijaribu konneksheni ya INTERNET?

Trouble shooting iliyofanya umepata matokeo gani?

Kwa mtazamo wangu kuja jf eidha ni fursa uliyobahatika mwenzetu au ni kick ...
 
Mimi Nilikuwa ni system adm wa kampun moja ya wazungu hapo Masaki, sasa jana bosi wangu alikuwa na mkutano wa online na mkurugenzi mkuu ambae yupo Marekani.

Kutokana na umuhimu wa hayo maongezi yao ikabidi bosi wangu aniombe ushauri kuhusu ni mtandao gani ambao una strong internet connection.

Kutokana na matangazo ya TTCL ya siku hizi, nikaona hawa jamaa watakuwa wamebadilika sana, kumbe Dah Nilikuwa naingia choo cha kike, nikamshauri bosi wangu kwa mbwembwe nyingi kuwa TTCL ni best kampany.. mmh nikapewa pesa za kwenda kununua line ya TTCL, nikaenda moja kwa moja makao makuu pale Samora, kufika pale nikanunua line kwa sh 2000 na muda wa maongezi....

Huwezi kuamini ishu ya kusajili line tu ilinichukua masaa 3 mpaka bosi akawa ananipigia simu kwamba vipi tena mbona unachelewa?

Ikabidi niondoke kurudi ofisini na yule mhudumu akaniambia niweke line kwenye simu na itafunguka tu yenyewe, nikafika ofisini nikampatia bosi wangu ile line na nikampa maelezo kuwa aweke kwenye simu na itafunguka tu yenyewe....

Dah mpaka saa 12 jioni hakuna kitu, bahati nzuri nilichukua namba ya yule dada alienihudumia nikampigia simu, jibu lake ndio niliishiwa pozi zote...

Akasema kesho asubuhi niende na hiyo line oh my god bosi akaanza kubadilika rangi akaanza kupiga simu kwa wazungu wenzake na kila mzungu akawa anatoa lawama kwangu kuwa why nilichagua TTCL ikiwa wenyewe tu wafanyakazi wa TTCL hawatumii huo mtandao....

So kwa hasira bosi kanifukuza kazi coz nimempa ushauri wa kampuni ambayo Nilikuwa najua fika kuwa huduma zake ni mbovu.

Ushauri wangu kwa TTCL ni kwamba fungeni hiyo kampuni yenu mpaka hapo ambapo mtakuwa tayari kuingia kwenye soko la ushindani.
Mkuu hii kiki haikufai kwasababu inaonyesha jinsi gani ulivyo mtu move,torrent, game, series nk ulivyo ulizwa tu ukakurupka kwenye move nakufata line ya 2000
 
Nina wasiwasi na siivii ya huyu jamaa... Kifupi lengo lako ni zuri lakini umekosea taimingi BTW umelipwa kiasi gani? Labda kwa ufafanuzi tu tufahamishe Mr System Admin Ulinunua bando IPI? Na hiyo ofisi ya wazungu iko wapi? Terminal waliyokuwa wanatumia wazungu ni aina gani? Je ni 4g LTE kompatibo? Ulijaribu konneksheni ya INTERNET?

Trouble shooting iliyofanya umepata matokeo gani?

Kwa mtazamo wangu kuja jf eidha ni fursa uliyobahatika mwenzetu au ni kick ...

Hayo yote hayawezi kufanyika kama line haifanyi kazi.... na kitu kibaya ni kuwa waliniakikishia kuwa niweke kwenye simu na baadae itafanya kazi.... yule mhudumu alimpigia simu mtaalam wao wa IT alimwita kwa jina la mwakyembe, na huyo mtaalam wa IT wao ndio akatoa huo ushauri,.... Risiti ninayo, Jina la mdada alienihudumia nalijua na line ninayo na mpaka muda huu naandika haya maneno bado haiko active....
 
Mkuu hii kiki haikufai kwasababu inaonyesha jinsi gani ulivyo mtu move,torrent, game, series nk ulivyo ulizwa tu ukakurupka kwenye move nakufata line ya 2000

Sioni sababu ya kukujibu coz unaongea mambo kama mtu ambae ajaingia Darasani, Ungeniuliza Risiti, Au Jina la mhudumu coz vyote ninavyo... kiki ya kitu gani? au ww ni mmoja wa watu ambao mnataka kusikia vitu vizuri tuuu?
 
Back
Top Bottom