TTCL imesababisha nifukuzwe Kazi

TTCL imesababisha nifukuzwe Kazi

kwa stail yoyote, nimeajiriwa, nimejitolea, au nafanya bure ishu ni kwamba nilichokuwa nakifanya sikifanyi tena coz ya ushauri nilioutoa na pili unadhan kipindi chote hiko sikupata kazi? nilipata kazi tena mzuri sana

Nilikuwa najibu swali la mdau, acha kupaniki mkuu
 
kwa stail yoyote, nimeajiriwa, nimejitolea, au nafanya bure ishu ni kwamba nilichokuwa nakifanya sikifanyi tena coz ya ushauri nilioutoa na pili unadhan kipindi chote hiko sikupata kazi? nilipata kazi tena mzuri sana
Hii inaonyesha ni jinsi gani hauko makini, kwanza kama wewe ni Administrator wa System inamaana ni mtumiaji wa Internet, na unajua ni provider gani ana stable internet. Sasa ilikuwaje ukamshauri boss wako atumie TTCL wakati wewe hujaitumia? Hata ningekuwa mimi ningekufukuza kwa makosa 2.
Kwanza, kusema uongo. Pili kutokuwa makini.
 
Mkuu kuna tetesi/fununu zisizo rasmi kuwa Hallotell ndo wanapiga mpunga kupitia huo Mkongo wa Taifa
Wale tu jamaa wako vzur hv nawe mleta mada why hukuwaambia mabosi zako kuhusu hallotel shit
 
Duh pole sana, nenda TTCL na barua yako ya kufukuzwa kazi wambie
1. Wakulipe fidia ya kukupa taarifa za uongo ambazo umeziamini na matokeo yake kusababishwa kufukuzwa kazi?
2. Rudi kwa Mwajiri wako mwambie sababu za kufukuzwa kwako kazi hazina uhusiano wa moja kwa moja bali umesha wachukulia hatua/wachonganishi ambao ni TTCL.
3. Washauri TTCL wabadili hata rangi za Logo na Tshirts zenye rangi nyeusi vijana wa Promo wanaonekana wamechoka sana pia haina mvuto kivile.
4. Tumia changamoto ya kufukuzwa kwako kazi kwa kuanzisha Kampuni ya kuandaa Mikutano/Kusimamia maandalizi na kuwezesha mikutano online Bongo
KIBONGOMKUTI umenikonga sana moyo wangu, hakika huu ushauri wako ni mzuri sana iwapo mleta maada hajatunga ili kuwaharibia TTCL. Hasa namba 4 inawahusu watu wengi sana
 
Mimi Nilikuwa ni system adm wa kampun moja ya wazungu hapo Masaki, sasa jana bosi wangu alikuwa na mkutano wa online na mkurugenzi mkuu ambae yupo marekani,

so kutokana na umuhimu wa hayo maongezi yao ikabidi bosi wangu aniombe ushauri kuhusu ni mtandao gani ambao una strong internet connection,

kutokana na matangazo ya TTCL ya siku hizi, nikaona hawa jamaa watakuwa wamebadilika sana, kumbe Dah Nilikuwa naingia choo cha kike, nikamshauri bosi wangu kwa mbwembwe nyingi kuwa TTCL ni best kampany.. mmh nikapewa pesa za kwenda kununua line ya TTCL, nikaenda moja kwa moja makao makuu pale Samora, kufika pale nikanunua line kwa sh 2000 na muda wa maongezi....

Huwezi kuamini ishu ya kusajili line tu ilinichukua masaa 3 mpaka bosi akawa ananipigia simu kwamba vipi tena mbona unachelewa?

Ikabidi niondoke kurudi offisini na yule mhudumu akaniambia niweke line kwenye simu na itafunguka tu yenyewe, nikafika ofisin nikampatia bosi wangu ile line na nikampa maelezo kuwa aweke kwenye simu na itafunguka tu yenyewe....

Dah mpaka saa 12 jioni hakuna kitu, bahati Mzuri nilichukua namba ya yule dada alienihudumia nikampigia simu, jibu lake ndio niliishiwa pozi zote...

Akasema kesho asubuhi niende na hiyo line oh my god bosi akaanza kubadilika rangi akaanza kupiga simu kwa wazungu wenzake na kila mzungu akawa anatoa lawama kwangu kuwa why nilichagua TTCL ikiwa wenyewe tu wafanyakazi wa TTCL hawatumii huo mtandao....

So kwa hasira bosi kanifukuza kazi coz nimempa ushauri wa kampuni ambayo Nilikuwa najua fika kuwa huduma zake ni mbovu,

Ushauri wangu kwa TTCL ni kwamba fungeni hiyo kampuni yenu mpaka hapo ambapo mtakuwa tayari kuingia kwenye soko la ushindani.
Muongo wewe..
 
Ujembe umefika, I hope nia ya thread yako ilikuwa ni kuelezea mapungufu ya TTCL pia omba toba kwa Mungu isije ikatokea ukafukuzwa kazi kirahisi namna hiyo (umejichuria mwenyewe)
 
acha kuchafua mitandao ya watu wewe...wewe mwenyewe inaonekana ni shallow tu........mtu anataka kufanya conference na mtu yuko marekani pale ttcl wanatoa huduma ya video conference wangeweza kuja hapo na kuweka vifaa vyao na ukawalipa kwa md a huo aliotumia na ni pesa kidogo tu......inaonekana umetumwa kuja kuwachafua ttcl pamoja na matatizo waliyonayo mi nmenunua line yao ya 4g haikuchukua hata 30min imeshakua active na kwa taarifa yako ttcl 4g ndio best kuliko 4g zote hapa bongo ...wana matatizo lakini naona kama wanaelekea kuzuri hasa wakija ku luncch 3g
 
Duh pole sana, nenda TTCL na barua yako ya kufukuzwa kazi wambie
1. Wakulipe fidia ya kukupa taarifa za uongo ambazo umeziamini na matokeo yake kusababishwa kufukuzwa kazi?
2. Rudi kwa Mwajiri wako mwambie sababu za kufukuzwa kwako kazi hazina uhusiano wa moja kwa moja bali umesha wachukulia hatua/wachonganishi ambao ni TTCL.
3. Washauri TTCL wabadili hata rangi za Logo na Tshirts zenye rangi nyeusi vijana wa Promo wanaonekana wamechoka sana pia haina mvuto kivile.
4. Tumia changamoto ya kufukuzwa kwako kazi kwa kuanzisha Kampuni ya kuandaa Mikutano/Kusimamia maandalizi na kuwezesha mikutano online Bongo
Wow!
 
acha kuchafua mitandao ya watu wewe...wewe mwenyewe inaonekana ni shallow tu........mtu anataka kufanya conference na mtu yuko marekani pale ttcl wanatoa huduma ya video conference wangeweza kuja hapo na kuweka vifaa vyao na ukawalipa kwa md a huo aliotumia na ni pesa kidogo tu......inaonekana umetumwa kuja kuwachafua ttcl pamoja na matatizo waliyonayo mi nmenunua line yao ya 4g haikuchukua hata 30min imeshakua active na kwa taarifa yako ttcl 4g ndio best kuliko 4g zote hapa bongo ...wana matatizo lakini naona kama wanaelekea kuzuri hasa wakija ku luncch 3g
Muongo.
 
Mimi Nilikuwa ni system adm wa kampun moja ya wazungu hapo Masaki, sasa jana bosi wangu alikuwa na mkutano wa online na mkurugenzi mkuu ambae yupo marekani,

so kutokana na umuhimu wa hayo maongezi yao ikabidi bosi wangu aniombe ushauri kuhusu ni mtandao gani ambao una strong internet connection,

kutokana na matangazo ya TTCL ya siku hizi, nikaona hawa jamaa watakuwa wamebadilika sana, kumbe Dah Nilikuwa naingia choo cha kike, nikamshauri bosi wangu kwa mbwembwe nyingi kuwa TTCL ni best kampany.. mmh nikapewa pesa za kwenda kununua line ya TTCL, nikaenda moja kwa moja makao makuu pale Samora, kufika pale nikanunua line kwa sh 2000 na muda wa maongezi....

Huwezi kuamini ishu ya kusajili line tu ilinichukua masaa 3 mpaka bosi akawa ananipigia simu kwamba vipi tena mbona unachelewa?

Ikabidi niondoke kurudi offisini na yule mhudumu akaniambia niweke line kwenye simu na itafunguka tu yenyewe, nikafika ofisin nikampatia bosi wangu ile line na nikampa maelezo kuwa aweke kwenye simu na itafunguka tu yenyewe....

Dah mpaka saa 12 jioni hakuna kitu, bahati Mzuri nilichukua namba ya yule dada alienihudumia nikampigia simu, jibu lake ndio niliishiwa pozi zote...

Akasema kesho asubuhi niende na hiyo line oh my god bosi akaanza kubadilika rangi akaanza kupiga simu kwa wazungu wenzake na kila mzungu akawa anatoa lawama kwangu kuwa why nilichagua TTCL ikiwa wenyewe tu wafanyakazi wa TTCL hawatumii huo mtandao....

So kwa hasira bosi kanifukuza kazi coz nimempa ushauri wa kampuni ambayo Nilikuwa najua fika kuwa huduma zake ni mbovu,

Ushauri wangu kwa TTCL ni kwamba fungeni hiyo kampuni yenu mpaka hapo ambapo mtakuwa tayari kuingia kwenye soko la ushindani.
Pole sana hata wakiwa vizuri siku za usoni they will remain not reliable tupilia huko
 
Back
Top Bottom