Wewe ulikuwa kibarua au ni muajiriwa...!!??
Mbona unayazungumza mambo mazito kiwepesi wepesi tu...!!??
Mimi Nilikuwa ni system adm wa kampun moja ya wazungu hapo Masaki, sasa jana bosi wangu alikuwa na mkutano wa online na mkurugenzi mkuu ambae yupo marekani,
so kutokana na umuhimu wa hayo maongezi yao ikabidi bosi wangu aniombe ushauri kuhusu ni mtandao gani ambao una strong internet connection,
kutokana na matangazo ya TTCL ya siku hizi, nikaona hawa jamaa watakuwa wamebadilika sana, kumbe Dah Nilikuwa naingia choo cha kike, nikamshauri bosi wangu kwa mbwembwe nyingi kuwa TTCL ni best kampany.. mmh nikapewa pesa za kwenda kununua line ya TTCL, nikaenda moja kwa moja makao makuu pale Samora, kufika pale nikanunua line kwa sh 2000 na muda wa maongezi....
Huwezi kuamini ishu ya kusajili line tu ilinichukua masaa 3 mpaka bosi akawa ananipigia simu kwamba vipi tena mbona unachelewa?
Ikabidi niondoke kurudi offisini na yule mhudumu akaniambia niweke line kwenye simu na itafunguka tu yenyewe, nikafika ofisin nikampatia bosi wangu ile line na nikampa maelezo kuwa aweke kwenye simu na itafunguka tu yenyewe....
Dah mpaka saa 12 jioni hakuna kitu, bahati Mzuri nilichukua namba ya yule dada alienihudumia nikampigia simu, jibu lake ndio niliishiwa pozi zote...
Akasema kesho asubuhi niende na hiyo line oh my god bosi akaanza kubadilika rangi akaanza kupiga simu kwa wazungu wenzake na kila mzungu akawa anatoa lawama kwangu kuwa why nilichagua TTCL ikiwa wenyewe tu wafanyakazi wa TTCL hawatumii huo mtandao....
So kwa hasira bosi kanifukuza kazi coz nimempa ushauri wa kampuni ambayo Nilikuwa najua fika kuwa huduma zake ni mbovu,
Ushauri wangu kwa TTCL ni kwamba fungeni hiyo kampuni yenu mpaka hapo ambapo mtakuwa tayari kuingia kwenye soko la ushindani.
Huwa tunafanya Due Diligence kwanza we unkurupuka kwa kusikia matangazo. Pole sana.Mimi Nilikuwa ni system adm wa kampun moja ya wazungu hapo Masaki, sasa jana bosi wangu alikuwa na mkutano wa online na mkurugenzi mkuu ambae yupo marekani,
so kutokana na umuhimu wa hayo maongezi yao ikabidi bosi wangu aniombe ushauri kuhusu ni mtandao gani ambao una strong internet connection,
kutokana na matangazo ya TTCL ya siku hizi, nikaona hawa jamaa watakuwa wamebadilika sana, kumbe Dah Nilikuwa naingia choo cha kike, nikamshauri bosi wangu kwa mbwembwe nyingi kuwa TTCL ni best kampany.. mmh nikapewa pesa za kwenda kununua line ya TTCL, nikaenda moja kwa moja makao makuu pale Samora, kufika pale nikanunua line kwa sh 2000 na muda wa maongezi....
Huwezi kuamini ishu ya kusajili line tu ilinichukua masaa 3 mpaka bosi akawa ananipigia simu kwamba vipi tena mbona unachelewa?
Ikabidi niondoke kurudi offisini na yule mhudumu akaniambia niweke line kwenye simu na itafunguka tu yenyewe, nikafika ofisin nikampatia bosi wangu ile line na nikampa maelezo kuwa aweke kwenye simu na itafunguka tu yenyewe....
Dah mpaka saa 12 jioni hakuna kitu, bahati Mzuri nilichukua namba ya yule dada alienihudumia nikampigia simu, jibu lake ndio niliishiwa pozi zote...
Akasema kesho asubuhi niende na hiyo line oh my god bosi akaanza kubadilika rangi akaanza kupiga simu kwa wazungu wenzake na kila mzungu akawa anatoa lawama kwangu kuwa why nilichagua TTCL ikiwa wenyewe tu wafanyakazi wa TTCL hawatumii huo mtandao....
So kwa hasira bosi kanifukuza kazi coz nimempa ushauri wa kampuni ambayo Nilikuwa najua fika kuwa huduma zake ni mbovu,
Ushauri wangu kwa TTCL ni kwamba fungeni hiyo kampuni yenu mpaka hapo ambapo mtakuwa tayari kuingia kwenye soko la ushindani.
huyu namuona ni muongo sababu ...90% ya bank zote tanzania wanahudumia TTCL 90% YA mashirika na taasisi ziwe za kiserikali au private wanahudumia wao kwenye data ....wanawauzia voda,smile,airtel kupitia NICTBB....inawezekana kama ni kweli anayoyasema huyo aliemuhudumia sio mtu wa mwisho kuna ma supervisor wao pale kwa ushindani wa soko la data kwa tanzania sidhani kama hio ingechukua mda mrefu...labda mleta mada ana agenda binafsi hayo mashirika mengine yanatangaza 4g wakati 3G YENYEWE yameshindwa ....tukianza kutafuta madhaifu ya haya mashirika basi ttcl ina nafuu.....ttcl wako vizuri sana kwenye data na wana facility zote kwenye mobile voice ndio wanataka kuingia kwa sasa ingawa wamechelewa mno
Looo pole sana kwa maswaibu yaliyokukuta, kama ni kweli ni vema ungewasiliana na wahusika (TTCL) moja kwa moja lakini kwa jinsi ninavyoijua TTCL kama mtumiaji wa huduma zake nina mashaka na maelezo yako,huenda umetumwa na wabaya wa TTCL kuichafu maana inawakimbiza haswa kweli kwenye soko la data hapa nchini.
Unanunua line ya TTCL kwa 2000 ufanye mawasiliano USA??? Walau ungesema ulienda kununua device zao za 4G kwa ajili ya kufanya hayo mawasiliano walau ningekuamini lakini line ya simu???? Hiyo line then uipeleke kuweka kwenye device gani??? Muongo mkubwa wewe