TTCL imesababisha nifukuzwe Kazi

TTCL imesababisha nifukuzwe Kazi

Duh pole sana, nenda TTCL na barua yako ya kufukuzwa kazi wambie
1. Wakulipe fidia ya kukupa taarifa za uongo ambazo umeziamini na matokeo yake kusababishwa kufukuzwa kazi?
2. Rudi kwa Mwajiri wako mwambie sababu za kufukuzwa kwako kazi hazina uhusiano wa moja kwa moja bali umesha wachukulia hatua/wachonganishi ambao ni TTCL.
3. Washauri TTCL wabadili hata rangi za Logo na Tshirts zenye rangi nyeusi vijana wa Promo wanaonekana wamechoka sana pia haina mvuto kivile.
4. Tumia changamoto ya kufukuzwa kwako kazi kwa kuanzisha Kampuni ya kuandaa Mikutano/Kusimamia maandalizi na kuwezesha mikutano online Bongo
Kuna jamaa yangu alinunua moderm ya Holotel ikafanyakazi wiki mtandao ukakata hadi leo.
 
Pole sana,ila kwa mtizamo wangu mimi uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana,ndio maana TTCL wakakuingiza mkenge.Ingawa TTCL wana matatizo,lakini na wewe una matatizo.Kwa uzoefu wako wa utendaji wa TTCL, you should not have gone for them.Hata hivyo this is typical of today's young man and women.You have very simple minds.Ila pole sana,tafuta kazi nyingine.
Kwa style hii vijana wengi wametimuliwa kibarua, yupo kijana mmoja aliajiriwa kama HR, njemba moja ikapugwa ikaenda CMA, mzungu akamwambia dogo atafute Advocate wakuwatetea kwenye shauri, Huyo advocate kavuta mkwanja na kwenye kesi akawa haendi hadi mwajiri akashindwa kwenye shuri, mzungu akawaka akampigia mzungu mwenzie wakaleta Lawyer mkenya jamaa kasimamia kesi na kushinda dogo akatimuliwa mzigo.
 
huyu atakua yupo halotel msipoteze nae mda.......nmecheki thread moja inasifia halaotel joined date ni moja hata nembo yake ni hiyo hiyo tuachane nae huyu
 
  • Thanks
Reactions: aye
mitandao yote ni longo longo tu hakuna kinacho simamiwa na TCRA katika huduma hizi za mawasiliano.hatuna wa kumlilia hata vpn nayo wametufungia kwa kuwa ilikuwa inawapa changamoto makampuni kwa kutubania speed na upataikanaji wa internet
 
Kuna siku network ofisin ilikuwa inasumbua,nikaenda ofsn kwao kutoa taarifa kuwa hatuna mtandao nikaambiwa fundi atakuja kurekebisha baadae kidogo maana NGAZI ipo site nikasepa.Nafika ofsn wananipigia simu nitumie 10,000/= wamtume mtu kufuata ngazi ilipo,nilicheka sana tena sana,yaan shirika kongwe la serikali linafanya mambo ya ajabu kabisa.
Ninachoona hawa TTCL wana changamoto za uchakavu wa miundo mbinu iliyochakaa na hawataki kuitengeneza,nyaya zinaungwa ungwa kama mgonjwa kuwekwa POP.
 
Uzalendo ni jambo zuri;ila inapokuja ishu ya kupata huduma kupitia mashirika ya UMA huwa nafikiria mara mbili kabla ya kuamua.
 
nnavojua wana branch pale oysterbay shule kwanini hukwenda pale ukaja samora nafikiri ingekuwa rahisi kwako kama ungeenda pale usingepoteza muda wako pia nakushauri peleka malalamiko yako na barua ya kufukuzwa kama unayo kweli au nenda TCRA ukashitaki badala ya kujaandika mitandaoni
 
huyu atakua yupo halotel msipoteze nae mda.......nmecheki thread moja inasifia halaotel joined date ni moja hata nembo yake ni hiyo hiyo tuachane nae huyu
Kuna siku network ofisin ilikuwa inasumbua,nikaenda ofsn kwao kutoa taarifa kuwa hatuna mtandao nikaambiwa fundi atakuja kurekebisha baadae kidogo maana NGAZI ipo site nikasepa.Nafika ofsn wananipigia simu nitumie 10,000/= wamtume mtu kufuata ngazi ilipo,nilicheka sana tena sana,yaan shirika kongwe la serikali linafanya mambo ya ajabu kabisa.na hawataki kuitengeneza,nyaya zinaungwa ungwa kama mgonjwa kuwekwa POP.

kama huna la kuchangia basi nyamaza, na hao wengine ambao wanalalamikia huduma za TTCL nao wapo halotel? nimeeleza mkasa ulionikuta
 
nnavojua wana branch pale oysterbay shule kwanini hukwenda pale ukaja samora nafikiri ingekuwa rahisi kwako kama ungeenda pale usingepoteza muda wako pia nakushauri peleka malalamiko yako na barua ya kufukuzwa kama unayo kweli au nenda TCRA ukashitaki badala ya kujaandika mitandaoni

sasa kama makao makuu kuko hivyo jee huko kwenye branch si ndio hatari? I'm telling you, kusajili line tu imechukua 3hrs
 
Mimi Nilikuwa ni system adm wa kampun moja ya wazungu hapo Masaki, sasa jana bosi wangu alikuwa na mkutano wa online na mkurugenzi mkuu ambae yupo Marekani.

Kutokana na umuhimu wa hayo maongezi yao ikabidi bosi wangu aniombe ushauri kuhusu ni mtandao gani ambao una strong internet connection.

Kutokana na matangazo ya TTCL ya siku hizi, nikaona hawa jamaa watakuwa wamebadilika sana, kumbe Dah Nilikuwa naingia choo cha kike, nikamshauri bosi wangu kwa mbwembwe nyingi kuwa TTCL ni best kampany.. mmh nikapewa pesa za kwenda kununua line ya TTCL, nikaenda moja kwa moja makao makuu pale Samora, kufika pale nikanunua line kwa sh 2000 na muda wa maongezi....

Huwezi kuamini ishu ya kusajili line tu ilinichukua masaa 3 mpaka bosi akawa ananipigia simu kwamba vipi tena mbona unachelewa?

Ikabidi niondoke kurudi ofisini na yule mhudumu akaniambia niweke line kwenye simu na itafunguka tu yenyewe, nikafika ofisini nikampatia bosi wangu ile line na nikampa maelezo kuwa aweke kwenye simu na itafunguka tu yenyewe....

Dah mpaka saa 12 jioni hakuna kitu, bahati nzuri nilichukua namba ya yule dada alienihudumia nikampigia simu, jibu lake ndio niliishiwa pozi zote...

Akasema kesho asubuhi niende na hiyo line oh my god bosi akaanza kubadilika rangi akaanza kupiga simu kwa wazungu wenzake na kila mzungu akawa anatoa lawama kwangu kuwa why nilichagua TTCL ikiwa wenyewe tu wafanyakazi wa TTCL hawatumii huo mtandao....

So kwa hasira bosi kanifukuza kazi coz nimempa ushauri wa kampuni ambayo Nilikuwa najua fika kuwa huduma zake ni mbovu.

Ushauri wangu kwa TTCL ni kwamba fungeni hiyo kampuni yenu mpaka hapo ambapo mtakuwa tayari kuingia kwenye soko la ushindani.
Pole Mkuu. Mimi nikiwa nahitaji kufanya video call ndani na nje ya nchi natumia Vodacom. Asikudanganye mtu, usivutiwe na matangazo.. VODACOM has the fastest Internet connection ever. Yenyewe inaongoza inafuatia Halotel, Zantel, AIRTEL na ya mwisho unaijua mwenyewe.
 
sasa kama makao makuu kuko hivyo jee huko kwenye branch si ndio hatari? I'm telling you, kusajili line tu imechukua 3hrs

mkuu acha kulalamika mitandaoni nenda TCRA na barua ya kufukuzwa kazi peleka malalamiko yako kusaidia wengine pia wanaopata matatizo
 
Mimi Nilikuwa ni system adm wa kampun moja ya wazungu hapo Masaki, sasa jana bosi wangu alikuwa na mkutano wa online na mkurugenzi mkuu ambae yupo Marekani.

Kutokana na umuhimu wa hayo maongezi yao ikabidi bosi wangu aniombe ushauri kuhusu ni mtandao gani ambao una strong internet connection.

Kutokana na matangazo ya TTCL ya siku hizi, nikaona hawa jamaa watakuwa wamebadilika sana, kumbe Dah Nilikuwa naingia choo cha kike, nikamshauri bosi wangu kwa mbwembwe nyingi kuwa TTCL ni best kampany.. mmh nikapewa pesa za kwenda kununua line ya TTCL, nikaenda moja kwa moja makao makuu pale Samora, kufika pale nikanunua line kwa sh 2000 na muda wa maongezi....

Huwezi kuamini ishu ya kusajili line tu ilinichukua masaa 3 mpaka bosi akawa ananipigia simu kwamba vipi tena mbona unachelewa?

Ikabidi niondoke kurudi ofisini na yule mhudumu akaniambia niweke line kwenye simu na itafunguka tu yenyewe, nikafika ofisini nikampatia bosi wangu ile line na nikampa maelezo kuwa aweke kwenye simu na itafunguka tu yenyewe....

Dah mpaka saa 12 jioni hakuna kitu, bahati nzuri nilichukua namba ya yule dada alienihudumia nikampigia simu, jibu lake ndio niliishiwa pozi zote...

Akasema kesho asubuhi niende na hiyo line oh my god bosi akaanza kubadilika rangi akaanza kupiga simu kwa wazungu wenzake na kila mzungu akawa anatoa lawama kwangu kuwa why nilichagua TTCL ikiwa wenyewe tu wafanyakazi wa TTCL hawatumii huo mtandao....

So kwa hasira bosi kanifukuza kazi coz nimempa ushauri wa kampuni ambayo Nilikuwa najua fika kuwa huduma zake ni mbovu.

Ushauri wangu kwa TTCL ni kwamba fungeni hiyo kampuni yenu mpaka hapo ambapo mtakuwa tayari kuingia kwenye soko la ushindani.
Story ya kutunga hiyo..
 
huyu namuona ni muongo sababu ...90% ya bank zote tanzania wanahudumia TTCL 90% YA mashirika na taasisi ziwe za kiserikali au private wanahudumia wao kwenye data ....wanawauzia voda,smile,airtel kupitia NICTBB....inawezekana kama ni kweli anayoyasema huyo aliemuhudumia sio mtu wa mwisho kuna ma supervisor wao pale kwa ushindani wa soko la data kwa tanzania sidhani kama hio ingechukua mda mrefu...labda mleta mada ana agenda binafsi hayo mashirika mengine yanatangaza 4g wakati 3G YENYEWE yameshindwa ....tukianza kutafuta madhaifu ya haya mashirika basi ttcl ina nafuu.....ttcl wako vizuri sana kwenye data na wana facility zote kwenye mobile voice ndio wanataka kuingia kwa sasa ingawa wamechelewa mno
KWELI DATA WAPO VIZURI HIYO SIO SHIDA .TATIZO JE KAPATA HUDUMA ON TIME
 
Post yako ukiiangalia kwa jicho la Tatu humaniishi kuwa umefukuzwa kazi Bali umekuja/umetumwa kuja kuwaharibia ttcl ambao kwa sasa wameimarika sana
Sababu mbona Atm zote zinatumia mtandao huu na cjaona hata dalili ya kuuacha...!??
 
Back
Top Bottom