TTCL Customer Care
Official Account
- Aug 18, 2016
- 279
- 317
- Thread starter
-
- #661
Tunashukuru kwa kutuandikia.Natumia TTCL laini mwaka sasa. Kero zangu ni hizi hapa:
1. Menu ya TTCL ya kuangalia salio la bando ni ya kidwanzi kuliko udwanzi wenyewe. Yaani unaingia menu, unabonyeza kuangalia salio, HAFU ETI ANATOKEA SUB MENU ANAKUULIZA SALIO LA SMS, DAKIKA, AU MB, unajifanya fala unabonyeza dakika, ANATOKEA TENA ANAKUULIZA DAKIKA ZA TTCL KWENDA TTCL AU KWENDA MITANDAO MINGINE??????? SERIOUS??????????
2. Vifurushi vya SMS wamevibana sana. Mfano Chat Kijanja ndio ninao jiunga eti Buku 1 unapata SMS 1000 kwa week. Hakuna vifurishi vya SMS unlimited. Igeni kwa wenzenu.
3. Internet ikifika usiku haina kasi kabisa. Yes tunajua ni peak hours kila mtu yupo Quarantine kwake anatumia ila kwenu too much inaelekea kuna kitu mnabinya.
4. TTCL anzisheni App ya T-Pesa.
Kama wameshataja wadau hayo sorry ila mengine wataongeza wakuu.
Cha kusikitisha wanamiliki 49% Airtel- sasa unaachaje kwako uanze kudandia kwa watu?Hivi vocha za TTCL wanatengeneza na madini gani?
Mbona kuzipata imekuwa taabu sana, yaani vocha kupatikana mtaani ni habari ya kushangaza.
Nyie TTCL kama kampuni mama ya mawasiliano nchini mnataka kufanya biashara au huduma? Nauliza kwa sababu hamuonekani katika biashara na katika huduma pia hampo.
Huduma zenu TTCL zinapatikana katikati ya miji kwa kiwango kizuri kidogo vipi huku mashambani au mtandao wenu ni kwa ajili ya watu wa mjini sisi wa mashambani tuendelee kutumia Buzz.
Kwanini TTCL msijitokeze nje ya ofisi mjitangaze watu wawajue nini mnafanya, naona kama mmejifungia ndani na promotion zikifanyika mitandaoni tu.
Ni mara chache sana mashirika ya umma kutoa huduma zenye kukidhi vigezo vya watumiaji kutokana na kubweteka ila najua mngekuwa na mikakati mizuri basi kila mtaa ungekuwa unaimba TTCL katika mtazamo chanya ila kelele za sasa ni malalamiko ya huduma, hii inadhihirisha kuwa bado hamna mikakati kabambe ya kuteka sekta ya mawasiliano nchini huwenda tuwape miaka mingi.
Pole sana kwa changamoto.Usithubutu kutumia T pesa utakuja kulia... Wamepoteza tsh 50k zangu kizembe sana wakati nalipa bill... Mpaka leo hela imepotea hewani na hakuna msaada wowote wanatoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Waweke kwenye menu ya kawaida ili usitumie T-pesa?Huduma zenu na kasi yenu nimeipenda na hongereni sana, Binafsi mimi kama mteja wenu sina changamoto ila nina pendekezo moja: nalo ni kuhusu kifurushi cha Tam tam kilichopo T-Pesa, mkilete kwenye menu ya kawaida pia
#Nyumbanikumenoga
You are sickChangamoto ni sauti za wamama wa Customer cares ukipiga kuomba msaada, Tafuteni vidadq basi
You are sick