TTCL 4G siyo ya Mchezo Mchezo...!!!!!

Hua napata download speed ya hadi 2.5Mbs/sec hivo kitu cha MB100 nadownload kwa chini ya 1min
 
UKu mikoani mpaka ukiwa karibu na minara yao ndo unapata 4G majanga kweli
 
Mi naishi hapa A town ebu nijuze ntazipataje laini zao?.
 
Yah wako poa.. ninanunua mm GB 7 kwa sh ef 5 mwez duration yake. Zile social nets ni free hadi insta-unlike other nets ambao wao ni WTF tu- na hata data bundle ikiisha, unaendelea kupata social nets hadi expiring ya muda
 
Hivi CMOS battery za DELL aina ya Desktop naweza kupata wapi hapa mjini mkuu
kama alivyoshauri mdau hapo juu machinga ndio unapata vitu vingi au likoma kariakoo kuanzia likoma na uhuru elekea kanisa la kkkt kuna maduka mengi pale hukosi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…