Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #141
hapo sasa nimekuelewa saaaanaaaaaa.....Yaani unakuta wapenzi wanaongea kwa muda mrefu, wanaongelea kila kitu vya muhimu na visivyo muhimu
Ngoja niweke maana yake nisije kuichakachua bure
'A conversation in which two or more people talk for hours, discussing everything under the sun, and yet some of the topics were so random and pointless that it seems like they talked for hours about nothing.'
ndo maana hapo babu hata mimi nalipinga hilo, halina tija, hiyi ni kama mligongana tu njiani hakukuwa na mipango yoyote, sasa kwanza utaanzaje kusimulia? nimeomba mwongozo wa hilo simulizi hata sijapataUnamwambia so what?
What if na kesho coincidentally mnakutana tena utamwambia?
Haya mambo mengine hana tija kabisa na nikutaka kuwaharibia wenzenu mood...
Na akishindwa kazi unaanza kumlaumu wakati wewe mwenyewe ndiye mchawi...
Naomba mtu asinambie mambo ambayo hayana tija na wala hayagusi uhusiano wetu...!
Babu DC!!
ha haaaa, nimekuelewa sana mtani. mimi pia sipendi uongo. nyumbani kwangu tunaambiana nataka kufanya hili, kama mwenzio hataki anakuambia usifanye na anakupa sababu kwa nini usifanye, mkielewana yanaishia hapo (itategemea nani atashinda katika maongezi yenu).
Mtu akinidanganya naona ananiona mimi mjinga, I can't think/ I don't understand...... yaani hawezi niambia kitu nikaelewa, ndo maana anaona dawa yake ni kunidanganya tu. I can stand mtu akinidanganya jambo lenye tija..... for God's sake husband hawezi niambia ukweli kuwa ana mpango wa kando, lazima adanganye.... nikimbamba kwa hilo nitaelewa kuwa hakupaswa kusema ukweli, alipaswa kunidanganya. hapo atasema kilichomsibu na kuomba msamaha.
cc. Kaizer, Dark City, Asprin, BAK, The Boss, KakaKiiza, Arushaone, Baba V
ha haaa, umenikumbusha wakati nasoma primary huko Mtakuja Primary school, kuna rafiki yangu wao kwao wakikosa wanapewa adhabu ya kuuza duka, lol! sisi kwetu ilikuwa fimbo/kwenda kukata kuni/kuchota maji/kufunga mbuzi.... wao kuuza duka.......hii dunia hii....Yaani umenichekesha sana na umenikumbusha habari ya nyumbani kwangu yaani mtot anakudanganya mpaka unajiuliza walinibadilishia nini nilipojifungua unatamani sijui hata umfanye nini tu. Kwangu mimi hii issue ya kupiga mswaki huyu wa mwisho bwana anaoga vizuri , sasa muulize je umepiga mswaki atasema ndio mama . Huwa namwita ili nimkague nakuta amenidanganya basi utamsomea hapo risala lkn akisahau anarudia tena sasa siku hizi kuna mkakati nimemuwekea akisema uongo tu hakuna kwenda kucheza. Naamini akikua ataacha nae ana mazuri yake mengi sana kiasi kwamba nampenda sana.
ha haaaa, kwanza salamu zako nyingi sana kwa snowhite, eti alikumiss sana....... na wewe anajua ulimmiss.Nimekuja @FP, talk to me...
ndo maana hapo babu hata mimi nalipinga hilo, halina tija, hiyi ni kama mligongana tu njiani hakukuwa na mipango yoyote, sasa kwanza utaanzaje kusimulia? nimeomba mwongozo wa hilo simulizi hata sijapata
ndo maana hapo babu hata mimi nalipinga hilo, halina tija, hiyi ni kama mligongana tu njiani hakukuwa na mipango yoyote, sasa kwanza utaanzaje kusimulia? nimeomba mwongozo wa hilo simulizi hata sijapata
ha haaaaa, nimeipenda hiyo "honey guess what?"Utaanza hivi...
wewe:'honey..guess what'
yeye: 'what babe?'
wewe:'basi yesterday wakati narudi nyumbani pale karibu na dukani kwa Meku nilikutana na Abuu'
yeye: 'huh..Abuu ndo nani tena huyo'
wewe:'hmm honey na wewe mbona msahaulifu hivo....Abuu si yule ex wangu nilikwambiaga wakati ule'
yeye: 'ulinambia lini mimi?'
wewe:'honey umesahau tu lakini nilikwambiaga siku ile tumeenda kwenye send-off ya Habiba'
Utaanza hivi...
wewe:'honey..guess what'
yeye: 'what babe?'
wewe:'basi yesterday wakati narudi nyumbani pale karibu na dukani kwa Meku nilikutana na Abuu'
yeye: 'huh..Abuu ndo nani tena huyo'
wewe:'hmm honey na wewe mbona msahaulifu hivo....Abuu si yule ex wangu nilikwambiaga wakati ule'
yeye: 'ulinambia lini mimi?'
wewe:'honey umesahau tu lakini nilikwambiaga siku ile tumeenda kwenye send-off ya Habiba'
Kweli Kaunga, huo uongo anaoongelea FP hauna tija kabisa....
Ila nilishasema kwamba, uongo mtakatifu au kutosema baadhi ya mambo ni vitu vya muhimu na haviepukiki katika mahusiano.
Mfano, kwa nini umweleze mpenzi wako kwamba umekutana na ex-BF/GF mahali wakati unajua itamuumiza?
Kwa nini umweleze kuwa utapita kwa rafiki yako John/Amina wakati unajua hampendi?
Babu DC!!
ha haaaaa, nimeipenda hiyo "honey guess what?"
unafikiri baada ya hiyo stori atajisikiaje? au ndo kumwongezea mwenzio maswali ya nyongeza.... kwa nini kaniambia? kuna ajenda gani ya siri? mbona wengine anaokutana nao haniambii?
ndo maana nikasema kuwa kama mmepanga kukutana basi mpenzi anatakiwa kuniambia kabla hawajaenda kukutana na siyo baada, kuniambia baada ya kukutana nachukulia ni uongo mwingine, ulishadanganya, kwa nini unidanganye?Endapo wapenzi wa zamani wakipanga kukutana, kwa sababu yoyote ile...basi hapo kuna mambo. Kama ni genuine, NI LAZIMA kumweleza mpenzi wako wa sasa na pia kumwomba ushauri na radhaa. Ila watu wakiamua kukutana kwa appointment zao za siri...kwangu hiyo ni cheating!
Ila wapenzi kuelezana petty issue sometime inaweza kutafsiriwa kuwa mtu anajijenga kinga mapema ili siku yakimpata asikose pa kuchoropokea..!
Honestly, sihitaji kuambia mapocho pocho yote hayo na mie sina muda wa kueleza.. simply because hayana tija na yanaweza kuanzisha series za matukio ambayo siyo ya lazima.
Babu DC!!
umeona eeh!That's too much and unnecessary confession....
Cost yake ni kubwa kuliko kukaa kimya...
Babu DC!!
Hii dunia haina usawa kabisa lkn unajua adhabu ya kuuza duka ni kubwa sana bora hata kwenda kukata kuni . Huko kwenye kuni bado utacheza na utafurahia adhabu hiyo. Mtakimbizana huko na kupanda kwenye miti. Nimekata sana kuni mimi na kumwagilia bustani ya nyanya. Nakumbuka sisi ilikua ukikosea unapata kipondo tu au kufinywa mashavu na kuvutwa masikio na kupigwa kibao cha kelb lol.ha haaa, umenikumbusha wakati nasoma primary huko Mtakuja Primary school, kuna rafiki yangu wao kwao wakikosa wanapewa adhabu ya kuuza duka, lol! sisi kwetu ilikuwa fimbo/kwenda kukata kuni/kuchota maji/kufunga mbuzi.... wao kuuza duka.......hii dunia hii....
Mhhhh......mmmhhh.....
wangu mzima lakini? mapacha wakubwa sanaaaaaaa sasa! namnyonyesha baba yao tu! naomba kuchangia kama ifuatavyo!ha haaa, nimekupata saaana mdogo wangu, hapo sasa.....
hebu fikiria sasa hapo shostito kama huyo utamweka katika kundi gani? anafaa au ndo wa kumwaga tu!
hivi cacico bado ananyonyesha? kawa adimu sana siku hizi mitaa hii
ndo maana nikasema kuwa kama mmepanga kukutana basi mpenzi anatakiwa kuniambia kabla hawajaenda kukutana na siyo baada, kuniambia baada ya kukutana nachukulia ni uongo mwingine, ulishadanganya, kwa nini unidanganye?
ila kama walibambana tu hata asiponiambia haijalishi
Unajua mimi huwa nashindwa kuelewa inakuaje mwanaume kukuambia juu ya ex wake anaona sawa ie kama vile amekutana nae leo ofisi flani na anakuambia hata maendeleo ya huyo ex wake na mama unaona hakuna shida. Lkn wewe ukimwambia leo nimekutana na ex wangu mahala flani na pia kumwambia maendeleo yake , mwanaume anajisikia vibaya ni kwanini.ha haaaaa, nimeipenda hiyo "honey guess what?"
unafikiri baada ya hiyo stori atajisikiaje? au ndo kumwongezea mwenzio maswali ya nyongeza.... kwa nini kaniambia? kuna ajenda gani ya siri? mbona wengine anaokutana nao haniambii?
mi nipe venue tu at least nije nipige picha hata na mabody guard! khaaaaaaaaa! upo mwakwetu!leo nakoroma kama gari lilikata muffler.
iyo kesho kutwa nafikiri watu wataweka pamba maskion mweeeh!
hapa niko rehasal nanguruma hadi mtu kaniambia inabidi ujifayie utafiti hiyo sauti yako nimecheka ile mbaya.
wangu mzima lakini? mapacha wakubwa sanaaaaaaa sasa! namnyonyesha baba yao tu! naomba kuchangia kama ifuatavyo!
kuna watu WAONGOOOOOOOOO, YAANI ANAKUDANGANYA LIVE MPAKA UNASHTUKA! Mtu anadiriki kusema aliolewa bikra wakati woteeeeeeeee tunajua ana mtoto mkubwaaaaa wa nje ya ndoa! labda alimaanisha bikra ya ukuta wa nyuma! kwi kiw kiw kwi, huo ni mfano tu! kuna watu kwa kifupi wana masters ya uongo, sasa wanafanya PHD zao!