Trust katika Mahusiano

nyie nanyi karibu nitawatimua na huyo mume wenu, ndo maana kuutwaa mnadanganywa mwili na roho, lol!
heeeeeee mtaa huu, bado mpo?? uwiiiiiiiiiiiiiiiiii nimejua watu wengi huingizwa choo cha viwete, hawajui waendeje haja!? kha!
 
heeeeeeeeeeee FP naona kuna guests wa kutosha hapo chini, wakaribishe basi kebbys au lile chimbo kule savei! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sssshhhhhhh pole pole waambie mimi bado 'bikra' kwi kwi kiw kiw kwi!
 
Last edited by a moderator:
dada mkubwa we ni noumer!
Hakuna mtu anaweza kusongesha thread yake kwa muda mrefu kama wewe i see!
Nimekusifu kwa kweli!
Napendaje sasa unavokomaa na mawazo yako!safi!:clap2:
mke mwenza upo??? Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii nimeumwa ujue??
 
heeeeeeeeeeee FP naona kuna guests wa kutosha hapo chini, wakaribishe basi kebbys au lile chimbo kule savei! uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii sssshhhhhhh pole pole waambie mimi bado 'bikra' kwi kwi kiw kiw kwi!
kwi kwi kwiiii, guests naona wamepungua, walikuwa zaidi ya 1000.....
umeona nimekuambia nina mwaliko wa talk ya Obama?
mi mwenzio uongo sijazoea, hayo unayotaka niwaambie hapana, waambie mwenyewe au tumtafute mtaalamu wa hayo maongezi, lol!
 
UAMINIFU ni bidhaa ghali lakini inawezekana.
 
we unafikiri utawa mchezo...... jela tu mtihani sembuse utawa!
acha kabisa kusikia hizo habari

Utawa mtamu bwana wewe...

Yaani unakula vya wengine bila wasi wasi kwamba one day na wewe utaibiwa...lol!!

acha nilale tu babu kesho nina mtihani
ila hakuna kitu nachukia kama uongo huku duniani

Wewe hujawahi kumwingiza mtu chaka??


Halafu unaishia kufa kwa BP na kuwaachia nafasi wabadilishe dala dala!!!

Utawa pazuri sema, ugumu wa kule ni watu kushindwa kupambana na nature .....hitaji la mwili-japo si la lazima kutimiliza

Ahhhhhh wapi???.......Hayo yalikuwa ya zamani...lol!!


ndo maana wakaita ule ni wito..... unafikiri kila mtu anaitwa?

Mimi mbona ninao wito tena mzito sana...??

Tatizo langu tulishindwa kukubaliana, kwani niliwambia waniruhusu niwe na Bibi wa kunikumbatia usiku wakagoma...




Mkome...

Babu DC!!
 

Uko sahihi kabisa mdogo wangu,

Ni wachache sana tuliopiga saundi bila urongo wowote na tukafanikiwa....

Ila inasikitisha kwani kuna baadhi ya wadada bila kuwadanganya unaonekana lofa...!!

Babu DC!!!
 

Mm binafis napenda sn kuaminiwa na mtu akiniambia uongo huwa naumia sn. Kusema ukweli katika mahusiano ni kuimarisha mapenz/ndoa. Nashukuru mume wangu anajua kuwa huwa sisemi uongo na ananiamin sn hadi naogopa.
 
Mi nijuavyo ni kwamba, kudanganya ni sehem ya kujiokoa, pia kuwa muongo kwa mpenz wako inategemea na mpenz mwenyewe yukoje!
 
ha haaa, siku moja nimemwambia hubby naenda disco na rafiki zangu, wakati huo yeye alisafiri. basi usiku wa manane tunajirusha zetu hubby anapigiwa simu "namwona shem hapa ........ upo naye?" Imagine ningekuwa sijaaga ingekuwaje?

Nlifikiri we wa umri wetu wa shikamoo jazz, kumbe nawe kizazi cha dot.com?? Haya niamkie babu yako.
 
kwi kwi kwiiii, guests naona wamepungua, walikuwa zaidi ya 1000.....
umeona nimekuambia nina mwaliko wa talk ya Obama?
mi mwenzio uongo sijazoea, hayo unayotaka niwaambie hapana, waambie mwenyewe au tumtafute mtaalamu wa hayo maongezi, lol!

Afu weweee... hivi unajua mie na mai waif cacico tunakakikao na maprezidaa kama kumi na ushee hivi..... kama vipi tukufanzie kadi ya mchango, sorry mwaliko.
 
Last edited by a moderator:

Hapo bold ndipo tunapotofautiana mkwe, kuliko uniambie ukweli unaouma nia afadhali unidanganyedanganye hivyohivyo nibaki na hisia zangu....... Hasa unapokiri kwenye yale mambo yetu ya via vya uzazi.:hand:
 
Trust ktk mahusiano ni jambo la msingi sana na kwa bahati mbaya trust ikipotea kuirudisha huwa mtihani. Ziko sababu nyingi zinazomfanya mtu aseme uongo au kuamua kua anasema uongo . Sababu zingine ni za msingi na zingine si za msingi . Ukorofi wa partner wako ndio wakati mwingine hukupelekea kusema uongo. Binafsi sipendi kabisa kusema uongo manake hujisikia siko huru na pia sipendi kudanganywa lkn inapotokea nimedanganywa huwa najitahidi kuelewa kwanini mwenzangu amenificha hili. Ziko sababu za kiafya mtu anaweza kuamua kukudanganya juu ya jambo flani ili usije ukapata madhara. But all in all ni vizuri kuambiana ukweli ila tuwe waangalifu yaani muelewe kwanza mwenzi wako ni mtu wa aina gani kama alivyosema dada mdogo hapo juu MwanajamiiOne
 
Last edited by a moderator:
kwa nin watu wengi hupenda mpenzi mwaminifu wakat wao sio waaminifu hebu tujaribu kusaidiana hapa wengi hulalamika mpenzi wangu kicheche wakat wao ni vcheche zaidi.ni kweli unataka mme au mke mwema wakati wewe si mwema inakuja kwel. nisaidieni hapo dias
 
Siku hizi hakuna mapenzi ya ukweli ni danganya toto tu kwani kila mtu anatoka na mpenziwe wa ukweli out huku nyumbani akiacha mpenzi wake wa makaratasi (ndoa).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…