Trust katika Mahusiano

ha haaa, hivi vituko vipo vya kumwaga.....
kuna nyingine...... aaaahhh!
naona uvivu kuhadithia, lol!
 
Reactions: BAK
rafiki unajua mimi napenda kuwa bibi?
na hicho ndo haswaaa ambacho huwa tunashindwa kufikia muafaka na babu Dark City

Tar tibu tar tibu mamie....wakati utafika uatakuwa dear....kwani vyachelewa....babu lazima asikubali sbb he knows you quality loh
 
Tar tibu tar tibu mamie....wakati utafika uatakuwa dear....kwani vyachelewa....babu lazima asikubali sbb he knows you quality loh
najua pa kumkamatia..... siku ntamwambia tumwage birth certificate hadharani.......
patachimbika mbona!
 
najua lazima tuwe na mashahidi ili mjadala usije kuendelea.....
nimekuchagua kuwa shahidi wangu.... mbona babu ana kazi?

Tena ya ziada...siku hiyo nitakuwa mjukuu msaliti na si mjukuu mtiifu......fanyeni utaratibu
 
Inatosha kwa leo Kisura @FP....usiku mwema ulale unono na njozi njema.....lol! hahahahahahah utajijuuuuu :majani7::majani7::majani7:
 
hapo kwenye puuuuuuuuuuu, mi namalizia MBAAAAAAKS!
 
daaaa hata anaye uliza swali kama hili lazima anategemea kudanganywa.

Swali hili na "uko wapi?" nalo lafuatia kwa kuproduce majibu ya uongo.
Halafu kuna la umri pia, hili nalo linawakumba wengi sana, lakini tija yake sijaijua mpaka leo. Mtu anapunguza 4 years ya umri wake halisi ukijiuliza kweli umri utapungua kiukwelii jibu ni hapana, so if s/he is not comfortable about his/her age kwa kudanganya anafanikiwa pia kujidanganya mwenyewe??????
 
ha haaa, ndo maana sikutaka kabisa kuzungumzia uongo kuhusu mipango ya kando..... kwenye hilo, wooooteeeee tunasema uongo. siwezi kubali kwa mpenzi wangu kuwa nina mpango wa kando, labda anikamate, lol!

Kutokuwa mwaminifu, uongo, na mengine ni nadhiri ya mtu kutoka moyoni mwake. Usipojenga wewe uaminifu basi ipo shida. Wapenzi wote wanawajibika katika hili na ni ngumu sana kutanabaisha tatizo lipo wapi.

Tunatofautiana toka mtu mmoja kwenda mwingine na malezi tulikotoka ndo chanzo cha yote haya. Kinachobakia ni awaye yote kujitathimini kwamba; Je, anamthamini kwa kiwango gani mpenzi wake? anaweka mzingira gani ya kuaminika na mpenzi wake? anahitaji mpenzi wake amwamini kwa kiasi gani? anataka nini toka kwa mpenzi wake ili awe wa kumthamini zaidi?

Hii yote ni kutaka kuweka mazingira thabiti na sahili kwa mpenzi wake ili maisha yapate nafuu yake......
 
....... Mimi hapa ndipo nsipoelewa. Mtu kama anathamni mahusiano yake na kumjali mpenzi wake kama kuna mabadiliko ya ratiba kuna ugumu gani kumweleza?? Eh pengine ndio maana mimi huambiwa ninajiexpress sana................... and may be am dating the wrong men. Honestly sielewi. Yaani nikimweleza mtu ratiba yangu anaona kama am feeding him too much of unnecessary information!!! Labda nianze kudate hawa wa JF ambao wanaonekana kidogo ni waelewa!!:angry:
 
Niliposoma kichwa cha mada nilidhan ni ya zamani kumbe ni yajana tu
'
Dah!Jambo gumu hili,trust!!!!
 
Inatosha kwa leo Kisura @FP....usiku mwema ulale unono na njozi njema.....lol! hahahahahahah utajijuuuuu :majani7::majani7::majani7:
asante kwa kujali rafiki.... uliona nilisepa nadhani hata kabla sijaiona hii post yako....
hope upo salama kabisa.
 
Reactions: BAK
KIMSINGI cacico na FP nawasalimia sana!MNO!
GOOD GIRLS!MWAAAAH!LOVE YU MINGIIIII!MNO!
enh sasa mbn nawasifia sanaaaaaaaaaaaaa!
ah mmenibore mjue!
ha haaa, sasa usipowasifia dada zako utamsifia nani? hao wa kukudanganya? au mwenzetu wapenda sana kudanganywa mwili na roho?
hebu nichungulizie hapo chini kuna watu wangapi hapa? ujue hili ni janga kubwa sana katika mahusiano mengi? karibu weengiii tuna story ya kuelezea hapa.
BTW, ukimwona cacico mwambie mwenzie nina invitation ya kuhudhuria talk ya Obama...... nitamtext pics whatsapp
 
Last edited by a moderator:
ha haa, hapo mimi pia nipo guilty, sijawahi taja umri wangu wa kikweli lakini kwa wale ambao hawana tija......
tofauti na hao, mimi huwa naongeza angalau miaka isiyopungua 5....
kiukweli huwa sina sababu yoyote ya msingi ya kufanya hivyo, naamuaga tu, ila kwa vile haina madhara naona poa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…