kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 890
Mwaka huu katika America's Got Talent, umekuwa mgumu sana maana kila mshiriki ana kipaji kumshinda mwenzake, kitu ambacho kimekuwa kigumu hata kwa majaji, hata yule jaji mtata kuliko wote simon cowell amekuwa akibaki njia panda na kujikuta akitoa "yes" kwa washiriki wengi tofauti na anavyojulikana kuwa ni mzee wa "no"
Ukiacha yote kuna babu mwenye miaka 70 ambae anafanana na trump ameshiriki katika mashindano hayo kwa upande wa kuimba? babu anajuwa, yaani mule mule kama the real trump. mzee huyo amepata upinzani mkubwa mitandaoni hasa kwa wale wafuasi wa the real trump na hata wale wasiompenda. hebu muone hapa akifanya yake!