Mpaka Rais Trump wa Marekani akimaliza muda wake Waafrika tutakuwa ' tumeshashiba ' kama siyo ' Kuvimbiwa ' kabisa na Kashfa zake dhidi yetu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,709
109,146
Katika hali isiyo ya kawaida kabisa na inayoonyesha kuwa Wazungu siyo Wanafiki na huwa hawapendi Kukaa na vitu mioyoni mwao ( kuwa na Visununu ) hatimaye Mtu wa karibu kabisa na Rais Trump wa Marekani na ambaye anamjua ' Kindakindaki ' ametoboa Siri ya Chuki na Ubaguzi wa Rais huyo kwa Waafrika.

Bwana Michae Cohen ambaye alishawahi kuwa Mwanasheria Binafsi na Mkuu wake wa ' Fitna ' amedai ya kwamba kipindi alichokuwa karibu Kiutendaji na Rais Trump alikuwa kila mara akimsikia akitamka maneno ya ' Kibaguzi ' dhidi ya Waafrika japo Yeye ( Cohen ) alikuwa akijitahidi Kumsihi asiwachukie hivyo Waafrika.

Bwana Cohen anasema ya kwamba kuna Siku moja walikuwa wamekaa na Rais Trump mahala kisha akawaona Waafrika wakipigapiga Kelele zao huku wakimuunga mkono Mgombea mwingine ndipo akamsikia Rais Trump akisema namnukuu..." African Americans ( Blacks ) are too Stupid to Vote for me "... ( Mnaojua Kiswahili mtatutafsiria hapa Sisi Mangumbaru wa Lugha tuelewe )

Haikuishia tu hapa Bwana Cohen akaendelea tena kusema ya kwamba hata baada ya kutokea Kifo cha Mkombozi wa Uhuru wa Afrika Kusini Hayati Mzee Nelson Mandela alimsikia Rais Trump akisema namnukuu..." Name one Country run by a Black person that is not a Shit Hole "... ( kama kawaida mnaojua vyema Kiswahili mtatupa tafsiri Sisi Mangumbaru wa Lugha tumuelewe )

Mwisho kabisa Bwana Cohen anasema ndicho Kilimuuma na hadi leo Kinamsikitisha ni pale ambapo Yeye na Rais Trump walikuwa njiani Mji wa Chicago sehemu ambayo ilikuwa ni ya ' Duni / Kifukara ' na ghafla wakawaona Waafrika pale na akaanza kumwambia Rais Trump kwamba kama akiwa Rais basi ajitahidi kuwabadilishia maisha yao na jibu la Rais Trump kwa Cohen lilikuwa kama lifuatalo namnukuu...." That's the only place where Blacks could live ".... ( bado nasisitiza naomba wale Wabobezi wa Kiswahili watupe Mangumbaru wa Lugha tafsiri ili nasi tuelewe )

Kinachonifarahisha tu ni kwamba ni kweli Rais Trump wa Marekani anatubagua, hatupendi na anatunanga Waafrika kila uchao / siku lakini hapo hapo bado Serikali zetu za Kiafrika zinatembeza ' Bakuli ' ili azisaidie na bado hapo hapo tena ukienda pale Ubalozini unakutana na ' Njemba ' kibao za Kiswahili zinahangaika kutafuta VIZA za kwenda huko.

Shikamoo Rais wa Marekani Donald Trump.

Source ya taarifa : CCN na Vanity Fair Publisher

Nawasilisha.
 
Unafiki ni kitu kibaya sana Ndugu..

Sawa Trump hatupendi Waafrika, mimi naona ni bora yeye amekuwa open/muwazi kwenye hili jambo kuliko kulifanya la siri..

Lakini mfano wa unafiki wako wewe umesema hapa leo kwenye uzi wako mmoja jinsi unavyomchukia mmiliki wa Gazeti la Tanzanite Bw Musiba kufikia hatua ya kuweza hata kummaliza kabisa ukikutana nae.
Lakini kwa unafiki wako unajifanya unampenda sana JPM wakati ni JPM ndie ambae anampa kiburi chote Musiba kwenye yale anayoyaandika kwenye hili gazeti ambalo ni chukizo kwa Watanzania wengi..

Acha unafiki ndugu.
 
huko marekani watu hawaendi nyumbani kwa trump, wanakwenda kufuata mambo yao, na pia hizo fedha ambazo viongozi wa kiafrika wanaziomba ni kwa serikali ya marekani na sio fedha zake mwenyewe.
 
Hapa duniani mtu msema Kweli huwa hapendwi,tunapenda mnafiki anayesema Africa ina piga hatua kimaendeleo,niliwahi soma sehemu eti Ethiopia inakua kwa kasi kuliko China,nikacheka tu maana hawa romantic economists kama ni dharau sasa imezidi
 
Acha abague au atukane tu! hatakuwa wa kwanza au wa mwisho kutubagua au kututukana.
 
Katika hali isiyo ya kawaida kabisa na inayoonyesha kuwa Wazungu siyo Wanafiki na huwa hawapendi Kukaa na vitu mioyoni mwao ( kuwa na Visununu ) hatimaye Mtu wa karibu kabisa na Rais Trump wa Marekani na ambaye anamjua ' Kindakindaki ' ametoboa Siri ya Chuki na Ubaguzi wa Rais huyo kwa Waafrika.

Bwana Michae Cohen ambaye alishawahi kuwa Mwanasheria Binafsi na Mkuu wake wa ' Fitna ' amedai ya kwamba kipindi alichokuwa karibu Kiutendaji na Rais Trump alikuwa kila mara akimsikia akitamka maneno ya ' Kibaguzi ' dhidi ya Waafrika japo Yeye ( Cohen ) alikuwa akijitahidi Kumsihi asiwachukie hivyo Waafrika.

Bwana Cohen anasema ya kwamba kuna Siku moja walikuwa wamekaa na Rais Trump mahala kisha akawaona Waafrika wakipigapiga Kelele zao huku wakimuunga mkono Mgombea mwingine ndipo akamsikia Rais Trump akisema namnukuu..." African Americans ( Blacks ) are too Stupid to Vote for me "... ( Mnaojua Kiswahili mtatutafsiria hapa Sisi Mangumbaru wa Lugha tuelewe )

Haikuishia tu hapa Bwana Cohen akaendelea tena kusema ya kwamba hata baada ya kutokea Kifo cha Mkombozi wa Uhuru wa Afrika Kusini Hayati Mzee Nelson Mandela alimsikia Rais Trump akisema namnukuu..." Name one Country run by a Black person that is not a Shit Hole "... ( kama kawaida mnaojua vyema Kiswahili mtatupa tafsiri Sisi Mangumbaru wa Lugha tumuelewe )

Mwisho kabisa Bwana Cohen anasema ndicho Kilimuuma na hadi leo Kinamsikitisha ni pale ambapo Yeye na Rais Trump walikuwa njiani Mji wa Chicago sehemu ambayo ilikuwa ni ya ' Duni / Kifukara ' na ghafla wakawaona Waafrika pale na akaanza kumwambia Rais Trump kwamba kama akiwa Rais basi ajitahidi kuwabadilishia maisha yao na jibu la Rais Trump kwa Cohen lilikuwa kama lifuatalo namnukuu...." That's the only place where Blacks could live ".... ( bado nasisitiza naomba wale Wabobezi wa Kiswahili watupe Mangumbaru wa Lugha tafsiri ili nasi tuelewe )

Kinachonifarahisha tu ni kwamba ni kweli Rais Trump wa Marekani anatubagua, hatupendi na anatunanga Waafrika kila uchao / siku lakini hapo hapo bado Serikali zetu za Kiafrika zinatembeza ' Bakuli ' ili azisaidie na bado hapo hapo tena ukienda pale Ubalozini unakutana na ' Njemba ' kibao za Kiswahili zinahangaika kutafuta VIZA za kwenda huko.

Shikamoo Rais wa Marekani Donald Trump.

Source ya taarifa : CCN na Vanity Fair Publisher

Nawasilisha.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
Ni kheri mtu wa namna hiyo kuliko mnafiki, sasa wajinga wakaombe msaada kwake!
Tulinde nchi yetu wenyewe mpaka kieleweke walahi
Usa izidi kulaaniwa ili wasitukumbuke kabisa Africa yetu walahi
Maana juzi lilipigwa mawe walahi
 
Huo ni ukweli usiopingika
Ni matajiri wangapi ambao wana asili ya Africa huko USA na wamewekeza kwenye viwanda na kuwainua wenzao zaidi ya kuwa na ma studio na show tu.

Wao kwa wao wanachukiana vibaya
Anaona bora anunue gari 10 za kifahari kuliko kufungua kiwanda akawasaidia homies
Kina oprah mpaka mayweather wote hali moja
 
Back
Top Bottom