trump(rais wa marekani) anayeimba, azua balaa mitandaoni

kijanamtanashati

JF-Expert Member
Aug 22, 2014
516
839
Mwaka huu katika America's Got Talent, umekuwa mgumu sana maana kila mshiriki ana kipaji kumshinda mwenzake, kitu ambacho kimekuwa kigumu hata kwa majaji, hata yule jaji mtata kuliko wote simon cowell amekuwa akibaki njia panda na kujikuta akitoa "yes" kwa washiriki wengi tofauti na anavyojulikana kuwa ni mzee wa "no"

Ukiacha yote kuna babu mwenye miaka 70 ambae anafanana na trump ameshiriki katika mashindano hayo kwa upande wa kuimba? babu anajuwa, yaani mule mule kama the real trump. mzee huyo amepata upinzani mkubwa mitandaoni hasa kwa wale wafuasi wa the real trump na hata wale wasiompenda. hebu muone hapa akifanya yake!

Duuu hatari sana.Marekani kuna watu wana vipaji asee

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
kweli kabisa wenzetu wana vipaji na wanajuwa kuviendeleza, tofauti na tanzania vipaji vipo kibao ila kuviendeleza ndio tatizo!
 
akiendelea kufanya yake, huyu mzee ni noma anaweza akaibuka kidedea mwaka huu! hii ilikuwa jana kwenye judge cuts ambayo imeanza siku ya jana
 
Mwaka huu katika America's Got Talent, umekuwa mgumu sana maana kila mshiriki ana kipaji kumshinda mwenzake, kitu ambacho kimekuwa kigumu hata kwa majaji, hata yule jaji mtata kuliko wote simon cowell amekuwa akibaki njia panda na kujikuta akitoa "yes" kwa washiriki wengi tofauti na anavyojulikana kuwa ni mzee wa "no"

Ukiacha yote kuna babu mwenye miaka 70 ambae anafanana na trump ameshiriki katika mashindano hayo kwa upande wa kuimba? babu anajuwa, yaani mule mule kama the real trump. mzee huyo amepata upinzani mkubwa mitandaoni hasa kwa wale wafuasi wa the real trump na hata wale wasiompenda. hebu muone hapa akifanya yake!

Hahahaha.... ni balaa, Hii kipaji sio ya kawaida.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom