Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Marekani wakisema wanakwenda vitani basi ujue tayari wameshaamua kuwa wanakwenda vitani, maneno ya mikwara hufuata nyuma ili kumtisha adui wanayekwenda kumvamia ili asalimu amri mapema ili nguvu kubwa isitumike kumuangamiza.
Ndani ya wiki chache zijazo, kichapo kitaanza kushushwa kwa Korea Kaskazini.
Ndani ya wiki chache zijazo, kichapo kitaanza kushushwa kwa Korea Kaskazini.