Trump Meets With National Security Team Amid North Korea Crisis

Trump Meets With National Security Team Amid North Korea Crisis

Rais wa Merikani anapaswa ku-behave kistaarabu na sio kama jambazi, kauli zake azipime kabla ya kuzitamka in Public- naona yeye anachukulia kila kitu kimzaa mzaa/maigizo, kama anafikiri ana blank cheque ya kushambulia Korea Kasikazini kwa nini atake kufanya wazungumzo na Rais wa Uchina kwanza - anajua vizuri kwamba mihemuko yake inaweza kumtokea puani - Korea kasikazini haipo peke yake katika sakata hili yapo Mataifa yenye uwezo mkubwa kijeshi ambayo yapo tayari kuisaidia Korea Kasikazini kwa kificho, ndiyo maana Kim anajiamini sana si hilo tu kumbuka vile vile kwamba Korea Kasikazini ilianza kufanya matayarisho ya kukabilana na majeshi/mashambulizi ya Merikani tangu miaka mid 1950s, Wakorea wote wa Kasikazini na majeshi yao wanajua nini cha kufanya in case vita ikitokea - Marekani hisipo kuwa makini katika sakata hili basi itajikuta inapata wakati mgumu sana kuliko vita ya Vietnam na WW2.

Tukumbuke kwamba Mataifa kama Uchina, Urusi, Iran na Korea wana usongo mkubwa sana wa kukomesha ujeuri wa U.S, wakipata kisingizio cha kumpa fundisho U.S hawatasita kufanya hivyo regardless ya hasara watakazo pata kutokana na uhamuzi wao, lakini na wao watahakikisha wanairudisha U.S back to stone age era ili isiendelee kuwa tishio kwa amani hapa Duniani, wana contigency plan za kushambulia mission critical infrastrucures za huko Merikani ambazo zinaweza kui-palalyse kiuchumi kwa miaka - hapa nazungumzia wakitumia conventional silaha/Mabom lakini pakitokea Nuclear Xchange Dunia yote ita angamia including waanzilishi wa vita, haya mambo yao ya USA kudai eti Nuclear War is winnable ni ndoto za mchana.
Asante umeongea point mkuu
 
Umeongea mambo mengi kwa mara moja, tena ukilalamika,
1: Wamarekani sio Wenda wazimu, Wakorea ni Wendawazimu (Kweli?, hivi hujui jamaa. Kuwa wanajitetea)
2: Korea anaweza kurusha kombora mpaka Marekani lakini atafika kokote (kweli)
3: Technolojia ya NK ni ya Chini sana (Lakini ana ICBM na vifaa vingi vya kisasa alizotengeneza mwenyewe)
4: Vita Pesa na Korea ana pesa
5: Wakiamua kupigana na Marekani (Lini?, NK hana nia ya kupigana na Marekani bali Markani ndio mwenye kutaka vita na NK)
6: Sadam alikiwa na Rundo la Silaha (Hivi kweli unamlinganisha Sadam na hao bidume wa Korea?)
7: hivi kweli ni Scud moja tu lililotua Israel?
1) Wanajitetea, kwani wamefanywa nini?

2) NK wana teknolojia kubwa wakilinganishwa na Tanzania au nchi yoyote nyingine lakini siyo US, Russia, France au UK

3) Kwa kumbukumbu zangu, kama vyombo vya habari vilitueleza ukweli, scud ya Saddam iliyofika nzima ardhini bila ya kudakwa na mfumo wa kuzuia makombora wa Israel/USA ni moja. Mengine yalitunguliwa kabla ya kufika chini lakini shells za makombora hayo ziliweza kujeruhi baadhi ya watu, na kuua watu wachache

4) North Korea kwa kipimo chochote kile ni nchi maskini. Watu wake mpaka leo, wapo wanaokufa kwa njaa. Serikali imeelekeza pesa yake kidogo kwenye matumizi makubwa ya jeshi na silaha. Ikilinganishwa na Tanzania, NK ni tajiri

5) Vita kati ya US na NK itawaathiri kwa namna ya pekee SK, na hiyo ndiyo worry kubwa ya Marekani kuliko ile ya NK kuishambulia US.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU hebu tuwacheki na wataalam maoni yao...mcheki huyu generali wa urusi alichosema kwe mahojiano na Russian state media RT
, modern surveillance technologies allow the US to know “the exact location of all missile systems and nuclear production facilities” possessed by Pyongyang.

“The Americans can strike North Korea – its nuclear missile development centers, industrial facilities; try to eliminate everything that North Korea created in terms of medium-range and long-range missiles and nuclear production,” he said.
The American B-1 bombers will be able to inflict significant damage on Pyongyang’s underground nuclear development facilities and missile silos, “taking into account the weakness of the North Korean anti-missile defense,” Ivashov said.

He was also skeptical about Pyongyang’s threats to target the US territory of Guam in case of an attack.

“To some extent, it’s a bluff on the part of North Korea; an attempt to save face and avert the American blow through international rhetoric,” he said.
soma zaidi hapa kwe hii link ya RT... haya mambo magum mkuu
North Korea stands no chance against US, Guam threat is a bluff – Russian general to RT
Nakubaliana sana na huyo mtaalam wa Urusi wa mambo ya kivita.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida humu mnaleta utani wenu ka wa Simba na Yanga,kwanini hamzungumzi kitaalamu???na kama hamjui chochote si bora mkae kimya???sasa kubishana tu ka watoto wametoka kuona move ya Rambo ndo nini??mno boa washkaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchina ametoa msimamo kuwa hatakubali USA kupindua n.Korea kwahiyo wamalize ugovi wa USA na n.Korea kwa mazungumzo tu na hata Russia ana support China, kumbuka China kiusalama hawez kukubal N.korea wavamiwe maana yake Usa atakuwa na access muhimu kuweza hata kumpiga mchina na maslahi yake mchina yatapotea

Kwa haraka tu hii ikitokea itakuwa ni vita ya super power huyo n.korea ni chambo tu

Jiulize kwanin wana sayansi wa ki Russia na ki China ndiyo wanao husika sana hiyo uundwaji wa Nuclear bomb

Binafsi naona hakuna vita ila kuna ile Cold war (kama enz za USSR)
usiplay down mambo mkuu, kumbuka enzi za cuban missile crisis halafu angalia how far pipo were willing to go kabla mambo hayajasoviwa tena enzi hizo USSR ikiwa kwe ubora wake!! cuban missile crisis ilituonyesha kuwa haya mataifa makubwa yako willing kwenda too far hata kama nukes zipo sasa kama kuna mtu anaandaa nukes afu anasema kabisa ataishusha sehemu flan mkuu na yuko serious hilo si jambo dogo, jamaa wapigwe nukes warudi kuwa maskini! watatumia gharama yoyote kabla ya kuruhusu hilo kutokea na hapo ndo hatari inapokuwepo
 
Kwani ile vita marekani alishinda? Hakushinda ndiyo maana bush mtoto alikuja kumalizia kwa kupitia umoja wa mataifa na kumlaghai Sadam hussein. Kimsingi ni urusi ndiye alikuwa akimpa kampany sadam kwa silaha ile vita ya kwanza. Sasa kama iraq ya sadam ilimsumbua marekani je north korea ambayo moja kwa moja inabebwa na Urusi pamoja na china kama wakiamua kumsupport north korea marekani lazima naye ateteleke. Jifunzeni kupitia vita kama ya iraq na marekani. Nuclear haitatumika kamwe maana hata atakayeitumia itammaliza naye

Sent using Jamii Forums mobile app
usitegemee kuwa Kim atastrike GUAM kama anavyosema halafu eti wachina na warusi wakaintervene kuizuia marekani kuretaliate....lile eneo limekaa hovyo sana ni migogoro ya mipaka na strategic areas kila kona so any large scale war haiwez kuisha bila map kuwa redrawn na hamna alie tayari kwa hilo sanasana watu wataposition majeshi yao mipakani tu kulinda nchi zao.....
 
MKUU hebu tuwacheki na wataalam maoni yao...mcheki huyu generali wa urusi alichosema kwe mahojiano na Russian state media RT
, modern surveillance technologies allow the US to know “the exact location of all missile systems and nuclear production facilities” possessed by Pyongyang.

“The Americans can strike North Korea – its nuclear missile development centers, industrial facilities; try to eliminate everything that North Korea created in terms of medium-range and long-range missiles and nuclear production,” he said.
The American B-1 bombers will be able to inflict significant damage on Pyongyang’s underground nuclear development facilities and missile silos, “taking into account the weakness of the North Korean anti-missile defense,” Ivashov said.

He was also skeptical about Pyongyang’s threats to target the US territory of Guam in case of an attack.

“To some extent, it’s a bluff on the part of North Korea; an attempt to save face and avert the American blow through international rhetoric,” he said.
soma zaidi hapa kwe hii link ya RT... haya mambo magum mkuu
North Korea stands no chance against US, Guam threat is a bluff – Russian general to RT

Interesting!, hii imenikumbusha wanaosema Mrusi anaweza ku support NK in case of anything.
Hii statement ya huyu General raises doubts to that..
 
Interesting!, hii imenikumbusha wanaosema Mrusi anaweza ku support NK in case of anything.
Hii statement ya huyu General raises doubts to that..
hayo ni mawazo tu na mitazamo ya watu mkuu watu wanapima risk na benefit
 
Shida humu mnaleta utani wenu ka wa Simba na Yanga,kwanini hamzungumzi kitaalamu???na kama hamjui chochote si bora mkae kimya???sasa kubishana tu ka watoto wametoka kuona move ya Rambo ndo nini??mno boa washkaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuwa wazi unataka kujua nini urutubishaji wa madini ya uranium au uchimbaji wake!!?
Au jinsi ya kugundua mabomu ya aridhini kama panya wa sua !!!?
Tip kuhusu haya makombora yana speed kubwa sana linaweza anguka eneo ulilopo ikitokea kuona mwanga mkali sana angani fumba macho lala chini endelea kusali kwa lugha yako maana mwanga wake kuutazama unaweza
kukupofua macho kama utabahatika kupona!!

An ICBM in ballistic flight constantly changes speed and altitude, so it's incorrect to think of a steady speed or altitude. A two- or three-stage booster burns for a few minutes, and accelerates the payload to a velocity of 6-7 km/sec . Once the payload escapes the Earth’s velocity they travel in a normal projectile motion parabola for about 20 minutes, reaching a maximum height of about 1,000km.

From this height the warheads makes a re entry into the atmosphere . The terminal velocity of re-entry vehicle (warhead) of the ICBM depends on atmospheric entry angle and certain individual boost phase parameters.Air resistance slows down the speed of the warheads from 6-7 km/sec [1] and this depends on the warhead’s size and weight because the rate of slowing from air resistance increases with the warhead’s size and weight.

Saddam naye alikuwa na mikwara hatari.

Hata mawaziri wake walikuwa wana mikwara balaa.

Kuna mmoja huyo eti alikuwa anakataa kuwa hakuna vifaru vya Wamarekani ndani ya Iraq wakati vilikuwepo vikijivinjari kwenye mitaa ya Baghdad.
Yule mzee kwa propaganda alikuwa kiboko!! Yaani majeshi ya marekani yanaonekana kwenye viunga vya mji wa bagdadi yeye anatangaza kuwa hakuna kitu kama hicho wote tumewafyeka!! Ila walikuja kumkamata lakini mahakama ikamuachia kuwa hakuwa na hatia!!!
 
Hatari sana, itakuwa vita ya tatu ya dunia na safari hii marekani lazima iumie
Aaah wapi....subiri uone dunia itakavyogeuka na neno "MUONEVU"litakavyosemwa kila pembe ya dunia hii pale usa atakapojibu kivita kwa nguvu zote....hili swala ni muda tu team kipank mtapoteana humu
 
Aaah wapi....subiri uone dunia itakavyogeuka na neno "MUONEVU"litakavyosemwa kila pembe ya dunia hii pale usa atakapojibu kivita kwa nguvu zote....hili swala ni muda tu team kipank mtapoteana humu

Kipank ni kweli atashindwa kama vita itatokea lakini na USA naye ataumia kidogo, safari hii vita itakanyaga ardhi yake. Tofauti na vita zilizopita
 
Hatari sana, itakuwa vita ya tatu ya dunia na safari hii marekani lazima iumie
Hakuna cha vita ya tatu wala nini. North Korea itapigwa vibaya na Kim atakimbizwa mazima na dunia nzima itabakia kuangalia na kumpongeza Trump.
Sioni nafasi ya China au Russia kujiingiza moja kwa moja kwenye vita hii ili kumsaidia North Korea. Kim ana maneno tu, hana jeuri ya kiuchumi wala kisiasa duniani. Ana mbwembwe na mikwara tu.

Ninachoombea tu vita usitokee, Kim atangaze kusalimu amri na kupotea zake kimya kimya.
 
Back
Top Bottom