issawema
JF-Expert Member
- May 30, 2013
- 776
- 644
acha uongo walisema wapi?Tunaweza kuingia kwenye World War III bila kujua. Kama China na Russia wakiamua kusaidia Korea Kaskazini hapo mambo yatakuwa makubwa kama 1950 - 1953 walifanya hivyo hivyo.
China wamesema kama USA wakishambulia first watasamsadia Korea Kaskazini, Lakini Kama Korea wakishambulia USA kwanza watakuwa Neutral.
Sent using Jamii Forums mobile app