Hahahaha ngoja kwanza!!Acha na ya majuzi, twende step by step. Hiki kibano cha juzi mbona kimya kingi, kunani tena?
Kuna usalama kweli pande za kaskazini?! 🙂
Nini maana ya vita ya tatu ya dunia? Mimi sioni adui wa Wamerakni au NATO mbali na huyo mtoto mdogo anaye danganywa na warusi kwa kummpa slaa zao za zamani. Nakuomba kabla hujatamka hilo neno "vita kuu ya tatu ya dunia" ina bidi kwanza ujue power ambazo Amerika na NATO wanazo na huyo mpumbavu Kim ill Un nafikri anazo.Hatari sana, itakuwa vita ya tatu ya dunia na safari hii marekani lazima iumie
Nini maana ya vita ya tatu ya dunia? Mimi sioni adui wa Wamerakni au NATO mbali na huyo mtoto mdogo anaye danganywa na warusi kwa kummpa slaa zao za zamani. Nakuomba kabla hujatamka hilo neno "vita kuu ya tatu ya dunia" ina bidi kwanza ujue power ambazo Amerika na NATO wanazo na huyo mpumbavu Kim ill Un nafikri anazo. Pili naomba uzingatie Russia sio Soviet Union. Soviet Union haipo tena. Hata kama ingekuwepo isingekuwa na nguvu kama za Amerika na NATO kwani nchi nyingi kama Hungury, Poland,Hatari sana, itakuwa vita ya tatu ya dunia na safari hii marekani lazima iumie
Acha na ya majuzi, twende step by step. Hiki kibano cha juzi mbona kimya kingi, kunani tena?
Kuna usalama kweli pande za kaskazini?! 🙂
Hiyo mifumo ya makombora inasaidia kwa 50% tu na hapo inategemea speed ya adui kukushambulia ikiwa kubwa % inazidi kupungua kingine kama mabomu ya nuclea yakirusha kwa mfuatano huo mfumo ukilipua moja mionzi na mawimbi ya ilo Bomu la nuclear inazifanya rada kuto kuona kitu eneo kubwa hiyo mabomu mengime yata fanikiwa kushambulia nchi yenye huo mfumoUmefanya analysis gani mkuu mpaka kusema hivyo?
Nasikia mmarekani ana ule mfumo wa kutungua makombora juu kwa juu sasa sijui utafanya kazi au mbwembwe tu
Ujui kwanini marekani ilipigana vita ya pili ya dunia baada ya kushinda kote ilikokwenda isipokua kwa mjapani iliamua kutumia mabomu ya nuclear kwa mjapani na kwanini marekani ilishindwa vita vietnamKim atakula kichapo hevi hana histori wala uwezo waku battle na marekani.
Achana na vita ya mstuni na ya kteknolojia ivi wewe una amini kabisa north wanaweza mzdi marekani kiteknolojia?subili utaona Kim atakacho fanywa.Ujui kwanini marekani ilipigana vita ya pili ya dunia baada ya kushinda kote ilikokwenda isipokua kwa mjapani iliamua kutumia mabomu ya nuclear kwa mjapani na kwanini marekani ilishindwa vita vietnam
Inaelekea wewe unajua kuliko marekani mana wa marekani wenyewe wanajua chamoto kitakacho wapata wakipigana na Kim kuusu vita vya ardhini USA awezi hata chembe na mkorea pia mkorea anazo aina zote za siraha hatari kuanzia za kibiolojia hadi kikemia hadi siraha za kutungua satellite ngoja vita vianze uone kitakacho tokea utajuta kuidhania USA ndo kila kituAchana na vita ya mstuni na ya kteknolojia ivi wewe una amini kabisa north wanaweza mzdi marekani kiteknolojia?subili utaona Kim atakacho fanywa.
Trump mwenyewe kabla akitaka kumzungumzia Kim lazima ameze panadol kwanza tena kabla ya Kim kumiliki nuclear USA alikuwa anaogopa kuipiga itakuwa sasaAchana na vita ya mstuni na ya kteknolojia ivi wewe una amini kabisa north wanaweza mzdi marekani kiteknolojia?subili utaona Kim atakacho fanywa.
Haya sema sitaki uje uniite nabiiLafiki ivi marekani unaionaje?nikweli silaha alizo nazo korea marekani hana kabisa?anacho Fanya Korea ni matangazo tuu ila silaha ipo marekani
Utajionea we subili
Hahaaaa!!!!stakiHaya sema sitaki uje uniite nabii
Hiyo mifumo ya makombora inasaidia kwa 50% tu na hapo inategemea speed ya adui kukushambulia ikiwa kubwa % inazidi kupungua kingine kama mabomu ya nuclea yakirusha kwa mfuatano huo mfumo ukilipua moja mionzi na mawimbi ya ilo Bomu la nuclear inazifanya rada kuto kuona kitu eneo kubwa hiyo mabomu mengime yata fanikiwa kushambulia nchi yenye huo mfumo
Inaelekea wewe unajua kuliko marekani mana wa marekani wenyewe wanajua chamoto kitakacho wapata wakipigana na Kim kuusu vita vya ardhini USA awezi hata chembe na mkorea pia mkorea anazo aina zote za siraha hatari kuanzia za kibiolojia hadi kikemia hadi siraha za kutungua satellite ngoja vita vianze uone kitakacho tokea utajuta kuidhania USA ndo kila kitu
Shirika la habari la Korea Kaskazini, KCNA, limeripoti kuwa kiongozi wa nchi hiyo, Kim Jong Un, alifahamishwa juu ya mpango wa kukishambulia kisiwa cha Guam kwa makombora, wakati alipokagua kikosi maalumu kinachohusika na mashambulizi ya makombora ya masafa marefu. Hata hivyo, kiongozi huyo alisema atasubiri kwanza kidogo hadi atakapoona kile alichokiita "upumbavu na ujinga wa Marekani."
Hahahaaa....niliwaambia watu humu kuwa hakutakuwa na vita yoyote ile kati ya NK na USA.
Sasa Lil Kim kafyata baada ya biti zote alizochimba.
Muda si mrefu mtamsikia tena akichimba biti...lakini kwa sisi wafuatiliaji wazuri wa current events wala hatutashtuka maana kutakuwa hakuna jipya. Yatakuwa ni yaleyale tu ya siku zote.
Ila wengine humu mtapaniki as if it's the end of the world when it's not.
Kim atafyatua tena makombora yake...ama yatamlipukia humo humo ndani ya nchi yake au yataenda kulipukia baharini huko.
Hakutakuwa na jipya....ni yaleyale tu ya siku zote.
These two tho!..
Wote wamekutana hawana akili nzuri.
Wote ni watu wa bombast.
Eti fire and fury....Kim naye akasema eti wataigeuza US mainland kuwa 'theater of nuclear' war...
Hahahaa too funny.
Halafu mwisho wa siku hakuna lolote.
And just wait....muda si mrefu Kim atachimba biti tena halafu Trump naye atamjibu kwenye Twitter.
Hahahahaaa....we are in for a treat.