Time will tell indeed mkuu, lakini haya majibu yake hapa baada ya hicho kikao na team yake ya Ulinzi, are not very promising.
Hahahaha labda aende na burundi na kongo somalia asijaribu vita haitakwisha !!!Mwenzangu!!!, eti kuna uwezekano wa kwenda vitani na nchi mbili?!!
Trump huyu..ka retweet hii..
Check out @PacificCommand's Tweet:
mambo ni motoo, hofu yangu ni kama kweli Korea wakirusha kombora kuelekea Guam basi itakua chanzo cha vita hii kwa maana marekani hawatavumilia.
Reporter: Will you be going to War with North Korea?!..
Trump: I think you know the Answer tothat..
Hahahahahahaha
Nimecheka adi kiluga majibu gani sasa hayo angesema kiume tutaingia vitani nao tunao uwezo huo Trump bwana kutuachia sisi tufikirie ndio nini ameshakuwa wa baridi mbona korea walisema kiume hatuwezi jadiliana na Trump kwa sababu ni mtu aliyechanganyikiwa na dawa ya mtu aliyechanganyikiwa ni kumpiga tu tupo kwenye mikakati ya kupiga kisiwa cha Guam siku chache zijazo !!!
Naaam haya ndio majibu anayotakiwa kujibu mwanaume siyo unaulizwa swali kwani wewe unasemaje !!!
Trump amekuwa lini mswahili majibu ya uwoga kabisa!!!
Ila tumuache maana anajua akisema tupo tiari anajuwa Kim atakacho kifanya!!
Hahahaha labda aende na burundi na kongo somalia asijaribu vita haitakwisha !!!
Rangi isiwe kigezo lazima atakuwa na vinasaba na mkuu wa mkoa fulani kwa kupenda makiki nilifikiri ni mkuu wa mkoa fulani tu anapenda ma kiki na ma front page na ma flowers kumbe adi Trump !!!
Military option is not necessarily war. Military is a big term that means many things: Assasins, Commandos/Elite Ops, Influenced Coup Détat, Missiles, Hiroshima/Nagasaki thing .... list goes onMkuu huyu bwana na haya majibu yake, inaonekana kadhamilia kwenda vitani..
Tutarusha na ndio itakuwa mwisho wa ubabe wenu nina kuhakishia!!Na Kim ndo eti anajiandaa kweli kurusha kombora Guam, inashtua lakini ndo inaonekana itakuwa chanzo cha vita.
Military option is not necessarily war. Military is a big term that means many things: Assasins, Commandos/Elite Ops, Influenced Coup Détat, Missiles, Hiroshima/Nagasaki thing .... list goes on
Hakuna vita hapo. Muda wa vita ya 3 haujafika na ukifika sioni US akiwa major player.
hahahahahahaha ayaaaa mkuu me yangu machooTutarusha na ndio itakuwa mwisho wa ubabe wenu nina kuhakishia!!
inaweza kuwa j4 anga la Guam kushuhudia dude kubwa kwenye anga yao kwa mara ya kwanza wamesha ambiwa wakiliona wafunge macho na walale chini wakisali kila mtu kwa imani yake!!!
What do you mean by" they will fall to super empire"? Elaborate please!!!Marekani namshauri aendelee kuweka vikwazo kwa N.K Badala ya kuwaza vita intelligence ya state ni super sana if they are goin to war with N.K they will Fall to super empire
The tennis is on NK's court.Hapo sidhani kama watamgusa Kim, ngoja tuone time will tell
View attachment 563619
Trump: BIG, BIG TROUBLE, IF ANYTHING HAPPENS TO GUAM.
Trump: There's a possibility of "Military Option" for Venezuela
More Updates..
Trump warns North Korea against making 'overt' threats - CNNPolitics