Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,355
- 31,760
Ndiyo kama USA ipo juu kitekinoliji kwanini wanamzuia mkorea kuunda na kufanya yao kitekinoloji kinachoifanya marekani iogope NK ni tekinolojiAchana na vita ya mstuni na ya kteknolojia ivi wewe una amini kabisa north wanaweza mzdi marekani kiteknolojia?subili utaona Kim atakacho fanywa.