Military option is not necessarily war. Military is a big term that means many things: Assasins, Commandos/Elite Ops, Influenced Coup Détat, Missiles, Hiroshima/Nagasaki thing .... list goes on
Hakuna vita hapo. Muda wa vita ya 3 haujafika na ukifika sioni US akiwa major player.
Tunaweza kuingia kwenye World War III bila kujua. Kama China na Russia wakiamua kusaidia Korea Kaskazini hapo mambo yatakuwa makubwa kama 1950 - 1953 walifanya hivyo hivyo.
China wamesema kama USA wakishambulia first watasamsadia Korea Kaskazini, Lakini Kama Korea wakishambulia USA kwanza watakuwa Neutral.
Tutarusha na ndio itakuwa mwisho wa ubabe wenu nina kuhakishia!!
inaweza kuwa j4 anga la Guam kushuhudia dude kubwa kwenye anga yao kwa mara ya kwanza wamesha ambiwa wakiliona wafunge macho na walale chini wakisali kila mtu kwa imani yake!!!
Ndio njia pekee ya kumbakisha madarakani..Mkuu huyu bwana na haya majibu yake, inaonekana kadhamilia kwenda vitani..
Hata enzi za sadam huseni walisema hivyo kuwa USA anaogopa kwani kuna bomu la scuad linauwezo wa kutoka china hadi mbagala!!!Nasikia ile ICBM ya Kim inaweza kwenda mpaka New york, ndo maana trumph ana wasiwasi kidogo.
Hata enzi za sadam huseni walisema hivyo kuwa USA anaogopa kwani kuna bomu la scuad linauwezo wa kutoka china hadi mbagala!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tutarusha na ndio itakuwa mwisho wa ubabe wenu nina kuhakishia!!
inaweza kuwa j4 anga la Guam kushuhudia dude kubwa kwenye anga yao kwa mara ya kwanza wamesha ambiwa wakiliona wafunge macho na walale chini wakisali kila mtu kwa imani yake!!!
Sasa mkuu Sadam na Kim ni watu wawili tofaut kabisa, halafu sidhani kama Sadam alikuwa ana hizo ICBM.Hata enzi za sadam huseni walisema hivyo kuwa USA anaogopa kwani kuna bomu la scuad linauwezo wa kutoka china hadi mbagala!!!
Wamarekani siyo wendawazimu kama yule Panki. Wakisema wanafanya kitu fulani ujue wamekwishafikiria possibilities zote.
Korea pamoja na kuwa na madudu mengi ya kivita, anaweza kuleta madhara kwa Marekani akifanikiwa kurusha japo kombora moja lakini hawezi kufika kokote. Bado teknolojia ya NK ni ya chini sana. Na vita ni pesa. NK haina fedha. Wakiamua tu kupigana na Marekani, itakuwa mwisho wa utawala uliopo na uhai wa panki na ndugu zake wote na mfumo wake wote, na mamilioni watateseka sana.
Sadam alikuwa na rundo la silaha alizokusanya kwa miaka mingi lakini hakupata hata nafasi ya kuzitumia. Alifanikiwa kurusha scud moja Israel iliyoua wayahudi 4. Lakini ni Wairaq wangapi walikufa na wataendelea kufa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ile vita marekani alishinda? Hakushinda ndiyo maana bush mtoto alikuja kumalizia kwa kupitia umoja wa mataifa na kumlaghai Sadam hussein. Kimsingi ni urusi ndiye alikuwa akimpa kampany sadam kwa silaha ile vita ya kwanza. Sasa kama iraq ya sadam ilimsumbua marekani je north korea ambayo moja kwa moja inabebwa na Urusi pamoja na china kama wakiamua kumsupport north korea marekani lazima naye ateteleke. Jifunzeni kupitia vita kama ya iraq na marekani. Nuclear haitatumika kamwe maana hata atakayeitumia itammaliza nayeHata enzi za sadam huseni walisema hivyo kuwa USA anaogopa kwani kuna bomu la scuad linauwezo wa kutoka china hadi mbagala!!!
Sasa mkuu Sadam na Kim ni watu wawili tofaut kabisa, halafu sidhani kama Sadam alikuwa ana hizo ICBM.
Kim pamoja na chochoko zake zote lakini bado wameshindwa kumpiga wakati Sadam yeye walituma mpaka wakaguzi na hizo silaha wakazikosa ila mwisho wa siku wakampiga. Ushajiuliza kwa nini Kim hawajampiga mpaka leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sadam hakuwa na nuclear weapon lakini alisimama nao muda gani hao wamarekanin.k hawezi kusimama hata masaa mawili vitani na US.
MKUU hebu tuwacheki na wataalam maoni yao...mcheki huyu generali wa urusi alichosema kwe mahojiano na Russian state media RTUmeongea mambo mengi kwa mara moja, tena ukilalamika,
1: Wamarekani sio Wenda wazimu, Wakorea ni Wendawazimu (Kweli?, hivi hujui jamaa. Kuwa wanajitetea)
2: Korea anaweza kurusha kombora mpaka Marekani lakini atafika kokote (kweli)
3: Technolojia ya NK ni ya Chini sana (Lakini ana ICBM na vifaa vingi vya kisasa alizotengeneza mwenyewe)
4: Vita Pesa na Korea ana pesa
5: Wakiamua kupigana na Marekani (Lini?, NK hana nia ya kupigana na Marekani bali Markani ndio mwenye kutaka vita na NK)
6: Sadam alikiwa na Rundo la Silaha (Hivi kweli unamlinganisha Sadam na hao bidume wa Korea?)
7: hivi kweli ni Scud moja tu lililotua Israel?
Mchina ametoa msimamo kuwa hatakubali USA kupindua n.Korea kwahiyo wamalize ugovi wa USA na n.Korea kwa mazungumzo tu na hata Russia ana support China, kumbuka China kiusalama hawez kukubal N.korea wavamiwe maana yake Usa atakuwa na access muhimu kuweza hata kumpiga mchina na maslahi yake mchina yatapoteaWamarekani siyo wendawazimu kama yule Panki. Wakisema wanafanya kitu fulani ujue wamekwishafikiria possibilities zote.
Korea pamoja na kuwa na madudu mengi ya kivita, anaweza kuleta madhara kwa Marekani akifanikiwa kurusha japo kombora moja lakini hawezi kufika kokote. Bado teknolojia ya NK ni ya chini sana. Na vita ni pesa. NK haina fedha. Wakiamua tu kupigana na Marekani, itakuwa mwisho wa utawala uliopo na uhai wa panki na ndugu zake wote na mfumo wake wote, na mamilioni watateseka sana.
Sadam alikuwa na rundo la silaha alizokusanya kwa miaka mingi lakini hakupata hata nafasi ya kuzitumia. Alifanikiwa kurusha scud moja Israel iliyoua wayahudi 4. Lakini ni Wairaq wangapi walikufa na wataendelea kufa?
Sent using Jamii Forums mobile app