Trump launches military strike against Syria

Trump launches military strike against Syria

Hapo ndipo nawapendaga,wamarekani.....
Waje na huku udikteta na watu kupotea kusikojulikana imekuwa kawaida.
Labda serikali yetu ina sumu pia. WHO KNOWS?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tena Tomahawk 20 tu zinatosha kusambaratisha makaz meupe ya mkulu. Waje tu kwa kweli tushachoka.
 
Yalikuwa mkwala tu... Mwanaume amekasirika na wao wawashe Haya madude yao sijui s300...
Akili za Kibashute. Alie kuambia S- 300 moja ina cover nchi nzima ni nani? unajua Russia pekee wana S- 400 ngapi zilizo wekwa kila kona? Au unazani mfano Tanzania wakinunua S-400 ikawekwa Dar basi iyacover nchi nzima.
 
Huna akili ... Unaleta hoja za kipuuzi.

Wewe unaona ni sawa raia wasio na hatia kuwa "poisoned na gas?"

Unaleta stori za uarabu. Mbona hao waarabu wameua waarabu wenzao wengi zaidi kuliko wamarekani?!
Una weza toa ushahidi Mahakamani kwamba kweli Syria ndo kahusika? au ushahidi wako ni CNN na BBC?
 
Marekani imefanya shambulizi la makombora takriban 50 ,yalipigwa katika kambi ya jeshi la anga mjini Homs nchini Syria.

Awali maafisa wa Marekani walisema wana mpango wa kuchukua hatua za kijeshi baada ya Syria kushutumiwa kutumia silaha za kemikali katika mji unaodhibitiwa na waasi, ambapo watu kadhaa wamepoteza maisha.

Mashambulizi hayo yametekelezwa kutoka kwenye meli za kijeshi za Marekani katika bahari ya Mediterranea.

Rais wa Marekani Donald Trump amesema ameamuru kutekelezwa kwa mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Syria huku akitoa wito kwa mataifa yote yaliyostaarabika kukomesha vitendo vya mauaji na umwagaji damu nchini humo

Naye mshirika wa Syria Urusi ametahadharisha madhara yatokanayo na hatua zozote za kijeshi zinazochukuliwa na Marekani dhidi ya Syria .

Hata hivyo Rais Donald Trump amsema kuwa ,kutumia gesi hatari kuua raia wakiwemo watoto wengi, utawala wa Syria ulikuwa umevuka mipaka.

Mike Pregent ni mchambuzi wa masuala ya mashariki ya kati ameiambia BBC kuwa mashambulizi hayo yametoa ujumbe mzito kwa Assad.

Shambulio hilo linawapa Watu wa Syria matumain, na ninachomaanisha ni kuwa haya hakika haya ni Mashambulizi dhidi ya vikosi vya anga vya Assad, silaha za kemikali, pengine dhidi ya hifadhi za mafuta halikadhalika.hivyo haikuwa dhidi ya raia, haikuwaweka marubani wa kimarekani hatarini. Ulikuwa ujumbe maalum kwa Assad kuwa usitumie jeshi lako la anga kuwaadhibu raia, hivyo nafikiri ni ujumbe wenye nguvu.



======
The US has carried out a missile strike against a Syrian air base in response to a suspected chemical weapons attack on a rebel-held town.

Fifty-nine Tomahawk cruise missiles were fired from two US Navy ships in the Mediterranean. President Donald Trump said they hit the Shayrat base that launched Tuesday's attack.

It is the first direct US military action against Syria's president.

The Kremlin, which backs Bashar al-Assad, has condemned the strike.

Dmitry Peskov, spokesman for Russian President Vladimir Putin, called it "an act of aggression against a sovereign nation".

The attack, at 04:40 Syrian time (01:40 GMT), comes just days after dozens of civilians, including many children, died in the suspected nerve gas attack in the town of Khan Sheikhoun in Idlib province.

Speaking from his Mar-a-Lago estate in Florida, Mr Trump branded President Assad a "dictator" who had "launched a horrible chemical weapons attack on innocent civilians".

Mr Trump said he had acted in America's "vital national security interest" to prevent the use of chemical weapons.

"Tonight I call on all civilised nations to join us in seeking to end this slaughter and bloodshed in Syria and also to end terrorism of all kinds and all types," he said.

The UK government called the US strike "an appropriate response to the barbaric chemical weapons attack".

The Pentagon said the Russian military, which supports Syrian government forces, had been informed ahead of the US action.

In a statement it said missiles fired from Navy destroyers USS Porter and USS Ross had targeted aircraft, aircraft shelters, storage areas, ammunition supply bunkers, air defence systems, and radars at Shayrat airfield in western Homs province.

The Pentagon added that the strike was intended "to deter the regime from using chemical weapons again".

It did not give details of damage or casualties but the governor of Homs province said there had been deaths and parts of the base were on fire.

"It will take some time to determine the extent of the damage," Talal Barazi told AFP news agency.

However, the Syrian Observatory for Human Rights, a UK-based monitoring group, said at least four Syrian soldiers had been killed.

_95494687_464x2.jpg

Analysis: Jon Sopel, BBC North America editor
Rarely has a policy changed so far and so quickly - and rarely has it been acted upon so swiftly.

When President Trump came to office the Syrian leader was seen as a useful ally in the fight against so-called Islamic State. All talk of regime change stopped.

But the chemical weapons attack changed all that. Within two days, the US has reversed its view on President Assad, identified targets and struck.

What we don't know is whether this is a one-off act of retaliation, or the start of something more prolonged against the Assad government. Nor do we know where it leaves relations with Syria's strong ally, Russia.

_95494687_464x2.jpg

A White House spokesman said the site targeted by the cruise missiles "was directly linked to the horrific chemical weapons attack".

"We assess with a high degree of confidence that the chemical weapons attack earlier this week was launched from this site by air assets under the command of the Assad regime," the official said.

"We also assess, with a similar degree of confidence, that the Assad regime used a chemical nerve agent consistent with Sarin in these attacks."

A statement on Syrian state TV said "American aggression" had targeted a Syrian military base with "a number of missiles" but gave no further details.

Source: BBC
 
Huna akili ... Unaleta hoja za kipuuzi.

Wewe unaona ni sawa raia wasio na hatia kuwa "poisoned na gas?"

Unaleta stori za uarabu. Mbona hao waarabu wameua waarabu wenzao wengi zaidi kuliko wamarekani?!

Wewe unaakili Ila ni Fala Ndio sababu hujui Mlalamikaji Mkuu wa hizo Silaha ndio Wakili, DPP, Jaji na Bwana Jela!

Zile Silaha zilizokuwa zinamwagwa na Ndege za Kivita za Kimarekani zilikuwa kwa ajili ya kufugia Ngamia?

Fikiri nje ya Box usiwekeze akili zako zote Kwny breaking news za BBC na CNN bila ya kujua Msingi wa kuanzishwa hizo Channel

Pengine JF ingekuwepo wakat wa Uvamizi wa Iraq kusaka Silaha za Maangamizi ungeunga Mkono Kama Leo japo ni Mwaka zaid ya 10 bado Silaha za Maangamizi za Saddam hatujaoneshwa!
 
Wewe unaakili Ila ni Fala Ndio sababu hujui Mlalamikaji Mkuu wa hizo Silaha ndio Wakili, DPP, Jaji na Bwana Jela!

Zile Silaha zilizokuwa zinamwagwa na Ndege za Kivita za Kimarekani zilikuwa kwa ajili ya kufugia Ngamia? Fikiri nje ya Box usiwekeze akili zako zote Kwny breaking news za BBC na CNN bila ya kujua Msingi wa kuanzishwa hizo Channel
mkuu unaonekana una kitu na media za magharibi?
 
Hivi baada ya gadaf kupigwa libya ilitulia?
Mkuu sio Libya tu...nchi zote alizoshirik kuwaondoa watawala... USA ameziacha kwenye machafuko mpaka leo...mfano, Libya,misr, Iraq,hata Vietnam japo Sasa imetulia... Cjui kwa nn hajifkr kama ndo source ya migogoro...
 
Waarabu wakiamua kuwasaka Wamarekani na kulipa Kisasi watu povu linawatoka!

UZuri wa Waarabu kwny Suala la kulipa kisasi huwa hawasahau!

Kama ni halali kuua Raia wa Nchi zingine kwa kisingizio cha kutoa Tawala wasizozikubali pia haiwi Haramu Kuua Wamarekani wanaochagua Viongozi Wauaji.

Kama Wamarekani wanachagua Kwa hiyari Yao wapi wakaue, wapi wakapore na lini wakafanye hivyo kwa kutumia Nguvu walizopewa kisheria na Wamarekani kwa Njia ya kura Basi si HARAMU kuua Wamarekani wanaoruhusu Serikali Yao kuua Watu wa Nchi zingine kwa kadri wapendavyo
Mzungu huwezi kulinganisha au kumpambanisha na Mwarabu hata kidogo, fikiria tu kidogo ni Nchi ngapi za Kiarabu zimegonganishwa vichwa na wakachapana wenyewe kwa wenyewe na kuvuruga kbs Nchi zao na uangalie je hao Waarabu kuna Nchi yoyote ya Wazungu wameweza kuwavuruga?
 
Apigwe tu assad sidhani km kunanamna nyingine.....
 
Mzungu huwezi kulinganisha au kumpambanisha na Mwarabu hata kidogo, fikiria tu kidogo ni Nchi ngapi za Kiarabu zimegonganishwa vichwa na wakachapana wenyewe kwa wenyewe na kuvuruga kbs Nchi zao na uangalie je hao Waarabu kuna Nchi yoyote ya Wazungu wameweza kuwavuruga?

Issue sio kulinganisha najua kuwa US ni super power kinachonishangaza wao wakigongwa kidogo huwa tunawasaidia sana kulia na kuwalaani Waarabu na dini Yao!

Kama Marekani inachagua pa kushambulia na Kuua kwanini na Waarabu tuwachagulie eneo gani wakalipizie Kisasi kwa Wazungu?

Kama ni Halali kulipua Hospitali nzima kuua Gaidi mmoja kwanini iwe haramu kulipua Uwanja wa Ndege kuua Askari mmoja au Afisa Mmoja wa Nato?

Kama ni Halali kuivuruga Iraq nzima kutafuta Silaha za Maangamizi kwa kuua wasio husika then ukazikosa kwanini iwe haramu kulipua underground Train London kulipia Kisasi halafu ukaua wasio husika?
 
Kama unaweza kupata habari nzuri za Chadema kupitia Radio Uhuru au za CCM kupitia Tanzania Daima Basi inawezekana kupata habari nzuri za Assad kupitia CNN au BBC.
Kremlin wanasema Syria haina silaha za sumu. Je, waasi wana ndege za kijeshi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom