Trump launches military strike against Syria

Trump launches military strike against Syria

Naona alitoa taarifa kwa warusi kabla ya kurusha missile zake. Vinginevyo anti-missile system za urusi zilizoko Syria na kuendeshwa kutoka kwenye manawari zilizoko Mediterranean sea zingekuwa "on" na kungetokea star wars! Kwa hiyo mrusi alikubali kuweka "off" mitambo yake kwa makubaliano maalum! Hapo lazima mrusi alichora mstari ambao alisema hauwezi kuvukwa! Of course hata warusi hawakupenda kile kilichofanywa na Syria, hivyo kuridhia kuadhibiwa kwake!
Kama mrusi angegoma, bado marekani angekuwa mpole tu!
Marekan alitoa taarifa tu kwamba atashambulia ila hakuomba ruhusa. Na alitoa taarifa kwa nchi nyinginezo sio Russia peke yake
134aaf3086e73f8b4444a62e831ce158.jpg

Alitoa taarifa mapema hakutaka lawama na pia hakusema atashambulia wapi.
 
Waarabu wakiamua kuwasaka Wamarekani na kulipa Kisasi watu povu linawatoka!

UZuri wa Waarabu kwny Suala la kulipa kisasi huwa hawasahau!

Kama ni halali kuua Raia wa Nchi zingine kwa kisingizio cha kutoa Tawala wasizozikubali pia haiwi Haramu Kuua Wamarekani wanaochagua Viongozi Wauaji.

Kama Wamarekani wanachagua Kwa hiyari Yao wapi wakaue, wapi wakapore na lini wakafanye hivyo kwa kutumia Nguvu walizopewa kisheria na Wamarekani kwa Njia ya kura Basi si HARAMU kuua Wamarekani wanaoruhusu Serikali Yao kuua Watu wa Nchi zingine kwa kadri wapendavyo
Ficha ujinga wako ndugu! US amepiga Syria kwa sababu Serikali ya Syria imeua raia wake kwa kutumia silaha za Sumu. Na hilo ni onyo tu,wakiendelea Watajua mmarekani ni nani katika hii dunia
 
Us wako sahihi,watu wanapigana miaka 6 yote,wananchi wanateseka,tatizo hapo ni rais,Asad,apigwe atolewe mambo yatulie,utawala mwingine uwekwe.vita ya 3 ya dunia hakuna na russia itakaa kimya haitafanya lolote lile
Uonacho wewe ndicho mimi ninachodhani, ni ngumu Russia kuingia vitani moja kwa moja hapo.
 
Ficha ujinga wako ndugu! US amepiga Syria kwa sababu Serikali ya Syria imeua raia wake kwa kutumia silaha za Sumu. Na hilo ni onyo tu,wakiendelea Watajua mmarekani ni nani katika hii dunia

Nikuuliza Chanzo cha habari hizo ni BBC, CNN.

Acha nifiche ujinga wangu Wewe onesha werevu wako kwa kutueleza Kabla ya Marekani Kumwaga Silaha Mitaani Damascus Syria kwa Wahuni ili wampindue uliwahi kusikia hayo Madai ya Assad 'Kuua Raia wake kwa sumu?'

Baada ya Wakala wa US (IS) kushindwa kumtoa Assad imebidi waingie wenyewe lakin ili waingie lazima watafute visingizio Kama vya kule Baghdad
 
Issue sio kulinganisha najua kuwa US ni super power kinachonishangaza wao wakigongwa kidogo huwa tunawasaidia sana kulia na kuwalaani Waarabu na dini Yao!

Kama Marekani inachagua pa kushambulia na Kuua kwanini na Waarabu tuwachagulie eneo gani wakalipizie Kisasi kwa Wazungu?

Kama ni Halali kulipua Hospitali nzima kuua Gaidi mmoja kwanini iwe haramu kulipua Uwanja wa Ndege kuua Askari mmoja au Afisa Mmoja wa Nato?

Kama ni Halali kuivuruga Iraq nzima kutafuta Silaha za Maangamizi kwa kuua wasio husika then ukazikosa kwanini iwe haramu kulipua underground Train London kulipia Kisasi halafu ukaua wasio husika?

si unaona mwarabu nae kapondwq na mnalia vilevile
 
si unaona mwarabu nae kapondwq na mnalia vilevile

Ila Hatutukani wala kukashifiwa Dini ya Mpondaji, Kisasi kikilipwa Msitukane dini ya anaerudisha Mapigo [emoji12][emoji12]
 
US kiranja wa dunia ameingilia kati. sidhani kama putin ataleta fyoko fyoko
 
Je, Russia wanatakaa kimya wakati rafiki yao anabamizwa? kama wataamua kurudisha mashambulizi je, ndiyo itakuwa hatua za mwanzo za vita kuu ya tatu duniani!? CNN wanadai kabla ya mashambulizi kuanza rasmi, Russia walijulishwa kuhusu mashambulizi hayo.
Russia hawakujulishwa, CNN ni fake news cable network!!
 
Hii kweli ni meseji tosha Assad Kuwa wanauwezo wa kumfikia popote alipo, na utawala lake umepimwa kwa mizani....!!
 
Inaonesha Dunia nzima inamtegemea Trump kwa sasa maana Sarin ilimwagwa nchi zote zikaongea tuuuu
Trump yeye kafanya kweli na wote wamemsifu kwa alichofanya
Tanzania na nchi zingine za Afrika hazina msaada wowote duniani
 
Akili za Kibashute. Alie kuambia S- 300 moja ina cover nchi nzima ni nani? unajua Russia pekee wana S- 400 ngapi zilizo wekwa kila kona? Au unazani mfano Tanzania wakinunua S-400 ikawekwa Dar basi iyacover nchi nzima.
Acha ufala wewe.... Bashite baba yako mzazi usinifanishe mimi na Bashite mimi sijafoji vyeti... Pumbafuuuu
 
Acha ufala wewe.... Bashite baba yako mzazi usinifanishe mimi na Bashite mimi sijafoni vyeti... Pumbafuuuu

Pro Russians wamechukia sana hivo kubaliana na matusi ya huyo Pro Russia

Urusi alipewa taarifa kuwa napiga Syria ila hakuambiwa wapi.....
Urusi alikuwa na uwezo wa kuyatungua hayo mabomu ila hakuona sababu ya kufanya hivo maana ingekuwa ni kuingia vita na USA na Dunia mzima maana dunia nzima kasoro Urusi,Syria na Iran ndio hawakufedheheshwa na kilichotokea

Leo hii Trump kaonekana Mwanaume hata waiokuwa wanampinga kila siku
Kina McCain na Schumer wanamkubali kwa alichofanya

Afu Trump mhuni sana kafanya hayo akiwa na Rais wa China
Nina hakika NKorea hatarudia ujinga wake
Teyari kaoneshwa Trump si wa mchezo mchzo
 
Naona alitoa taarifa kwa warusi kabla ya kurusha missile zake. Vinginevyo anti-missile system za urusi zilizoko Syria na kuendeshwa kutoka kwenye manawari zilizoko Mediterranean sea zingekuwa "on" na kungetokea star wars! Kwa hiyo mrusi alikubali kuweka "off" mitambo yake kwa makubaliano maalum! Hapo lazima mrusi alichora mstari ambao alisema hauwezi kuvukwa! Of course hata warusi hawakupenda kile kilichofanywa na Syria, hivyo kuridhia kuadhibiwa kwake!
Kama mrusi angegoma, bado marekani angekuwa mpole tu!
Hakutoa tahadhari ili mitambo izimwe Hapana usipindishe ukweli kwa ushahidi maandazi ... Sikiliza vizuri BBC au CNN... Ametoka taarifa ili kuwaondoa watu wake kwenye maeneo yaliokuwa target na sio Russia pekee waliopewa taarifa.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom