Yaah,Pia vyombo vingine kama DW,BBC na Aljazeera wamesema hivyo hivyo kwamba russia ilijulishwa kuhusu haya mashambulizi...Sasa nachoshangaa ni kwamba,why russia watoke tena kwenye press na ku conderm haya the attack?..Au labda wakati wanajulishwa hawakukubali?.Na kama walikubaliana,why Russia walaum kama hawajui?..Nafikiri kuna unafiki flani unaendelea pale Syria,sithan kama Hawa mabwan wakubwa wana Nia ya dhati kuumaliza huu mzozo.
Sometymes huwa najiuliza,ni nini hasa kipo Syria..
This Crisis is very Complicated kwa kweli.