Trump launches military strike against Syria

Trump launches military strike against Syria

General Mattis na Trump
Magu anaangalia sasa hivi najua keshamsoma
 
Je, Russia wanatakaa kimya wakati rafiki yao anabamizwa? kama wataamua kurudisha mashambulizi je, ndiyo itakuwa hatua za mwanzo za vita kuu ya tatu duniani!? CNN wanadai kabla ya mashambulizi kuanza rasmi, Russia walijulishwa kuhusu mashambulizi hayo.
Russia is a close ally of Assad and has sent troops and aircraft to Syria to help him in his 6-year civil war against rebel troops and the terror group ISIS.

US officials said they warned Russia in advance of the attack so as to limit the possibility of creating a conflict with the nuclear-armed nation. NEWYORK POST
 
General Mattis na Trump raha sana hadi Urusi kabakia kupiga kelele tu
Kwa Hali ilivyo.... Mrusi ataishia kunung'unika tu... Mwanaume ameshaingia kazini na kama yeye kidume awashe sasa hizo s 200 au s300 na tena kama ajipendi zaidi huyo Russia wenu ajibu mapigo ndo atajua Kwanini kanga shingoni Hana manyoya
 
Marekani toka dunia ianze haijawa na UDUGU NA NCHI ZA KIISLAAM.

Hata pale marekani atawale HOSNI MUBARACK.

SERA ZAO

Hazina udugu na nchi hizo.
Niliwahi kusema Trampo Ni rais alijiweka wazi hakutaka kuficha sera zake zilitamka wazi. Na kauri yake ameendelea kuisimamia.

Hata pale alipozuia Waislam na nchi za kiarabu kutoingia Marekani na Mahakama kutengua uamuzi huo.

Toka mapema sana hali hio ilijitokeza.

Lakini Assad kwa sasa anatakiwa atoke na apishe uchaguzi huru nchini kwake.

Na sio kuaachia wahuni kama Ilivyokua LIBYA.

Tunajua wapinzani wa Bashar Al Asaad wanataka kuongoza Siria lakin Siria ikiachiwa Wapinzani bila kuitisha uchaguzi hali itakua mbaya zaidi kuliko ilivyo sasa.

Libya ilipotwaliwa na wapinzani baada ya msaada wa Marekani tuliona.

Hatuna cha kuvuna ila mungu awali
 
Mkuu sio Libya tu...nchi zote alizoshirik kuwaondoa watawala... USA ameziacha kwenye machafuko mpaka leo...mfano, Libya,misr, Iraq,hata Vietnam japo Sasa imetulia... Cjui kwa nn hajifkr kama ndo source ya migogoro...

Sio kweli mkuu..soma soma historia za vita , Germany ,Japan , Korea ya kusini huko kote Mmarekani alishapita na mtutu , Mbona nchi hizi zipo juu sana kimaendeleo ??na zimetuliaaaaa.Waarabu wabadilike kuuana wenyewe kwa wenyewe sio uvumbuzi wa tatizo,
 
Urusi kila siku yeye anaishia lalamika tu
 
Hata kama ni wizi,mabepari ni watu wazuri angalau wanajali haki za binadamu,na huyo anaye wachoma watu wake kwa gesi ya sumu? Kwa nini asipigwe?
Kweli duniani bado kuna wachache sana wenye kufkiri timamu!
Et Anawachoma na sumu ya gesi kwani hao wanaoenda kumuondoa kwa kummwagia maji ya uhai au Kilimanjaro, badili fikra usifuate mkumbo
 
Kwa Hali ilivyo.... Mrusi ataishia kunung'unika tu... Mwanaume ameshaingia kazini na kama yeye kidume awashe sasa hizo s 200 au s300 na tena kama ajipendi zaidi huyo Russia wenu ajibu mapigo ndo atajua Kwanini kanga shingoni Hana manyoya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Teh teh teh teh mkuu pole naona jina la Bashite limekuvuruga akili kabisa
 
Kweli duniani bado kuna wachache sana wenye kufkiri timamu!
Et Anawachoma na sumu ya gesi kwani hao wanaoenda kumuondoa kwa kummwagia maji ya uhai au Kilimanjaro, badili fikra usifuate mkumbo
Wewe ni mbumbumbu kama Habib Mnyaa,huelew maana ya ges ya sumu? Kama unampenda Assad kampe kibashite,kenge wee
 
Pro Russians wamechukia sana hivo kubaliana na matusi ya huyo Pro Russia

Urusi alipewa taarifa kuwa napiga Syria ila hakuambiwa wapi.....
Urusi alikuwa na uwezo wa kuyatungua hayo mabomu ila hakuona sababu ya kufanya hivo maana ingekuwa ni kuingia vita na USA na Dunia mzima maana dunia nzima kasoro Urusi,Syria na Iran ndio hawakufedheheshwa na kilichotokea

Leo hii Trump kaonekana Mwanaume hata waiokuwa wanampinga kila siku
Kina McCain na Schumer wanamkubali kwa alichofanya

Afu Trump mhuni sana kafanya hayo akiwa na Rais wa China
Nina hakika NKorea hatarudia ujinga wake
Teyari kaoneshwa Trump si wa mchezo mchzo
Hahaaaa.....trump bana.... kasema ALL OPTIONS are on the table. I hope even Pyongyang option is among them....
 
Sio kweli mkuu..soma soma historia za vita , Germany ,Japan , Korea ya kusini huko kote Mmarekani alishapita na mtutu , Mbona nchi hizi zipo juu sana kimaendeleo ??na zimetuliaaaaa.Waarabu wabadilike kuuana wenyewe kwa wenyewe sio uvumbuzi wa tatizo,
Yaani waarabu wakishika kile kijitabu chao wanawehuka kabisa.....ni chinja ua pata thawabi nenda peponi.....
Nadhani tatizo lao kubwa ni kijitabu
 
Wewe ni mbumbumbu kama Habib Mnyaa,huelew maana ya ges ya sumu? Kama unampenda Assad kampe kibashite,kenge wee
akili timamu haihtaji degree au PhD,
Et Assad katumia sumu ya gesi kwa raia!
Trump yeye anaenda kutumia mkojo wako kumng'oa Assad???
Au kufkr nako mpaka upewe tuition?? Stupid!
 
Apigwe tuu! tunawakqribisha na pale kwa uchwara dikteta.
 
akili timamu haihtaji degree au PhD,
Et Assad katumia sumu ya gesi kwa raia!
Trump yeye anaenda kutumia mkojo wako kumng'oa Assad???
Au kufkr nako mpaka upewe tuition?? Stupid!
You,your father,mother and all your siblings are not only stupids but creatures without minds yaan idiots.Kama hufahamu,all efforts should be employed to deal with a crook like you and Assad.We can dare to save the next generation of Syria at the expense of todays generation,hutaki unaacha ,endelea na u bashite wako halafu tuone nani atashinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom