Trump launches military strike against Syria

d5e1bb95c7178edd56865c3d02b5c9c6.jpg
4ffa99700ecb05f72ec28df0e79f3c57.jpg
 
Mods: Huu uzi ni wa kiswahili sio kule international. Siku hizi JF wapo hadi mahausigeli. Proved. Wengi wao lugha ya meli inawapiga za chembe. Acha tujinafasi na sisi huku kwa lugha yetu wenyewe. So, msifute wala ku merge!

Ni hv kidume Trump kafanya kweli kwa Syria. Baada ya ile sumu iliyowaua watoto kadhaa huko Syria, sasa kama mnavyomjua Trump huwa harembi mambo.

Mwanaume lazima uwe very straight hasa kwa machoko wazinguzi. So, jamaa kapiga yaani huko Syria.

Dah vita mbaya sana, sema ndo hvyo sometimes inabidi tu iwepo ili kuweka dunia sawa.

Samahani kwa uandishi wangu!
 
Na russia wameahidi kumlinda Assad, mwisho wa siku itakua ni Trump vs Putin wakati Assad amekaa pembeni na pop corn
 
Sema Israel, UK, USA vs Syria. Na hako kauaji Ka putin katanyooshwa sana. We sikilizia tu
 
Us wako sahihi,watu wanapigana miaka 6 yote,wananchi wanateseka,tatizo hapo ni rais,Asad,apigwe atolewe mambo yatulie,utawala mwingine uwekwe.vita ya 3 ya dunia hakuna na russia itakaa kimya haitafanya lolote lile
KAMA VILE GHADHAFI HAKUTOLEWA MADARAKANI, AU SADDAM HUSSEIN
 
Mods: Huu uzi ni wa kiswahili sio kule international. Siku hizi JF wapo hadi mahausigeli. Proved. Wengi wao lugha ya meli inawapiga za chembe. Acha tujinafasi na sisi huku kwa lugha yetu wenyewe. So, msifute wala ku merge!

Ni hv kidume Trump kafanya kweli kwa Syria. Baada ya ile sumu iliyowaua watoto kadhaa huko Syria, sasa kama mnavyomjua Trump huwa harembi mambo.

Mwanaume lazima uwe very straight hasa kwa machoko wazinguzi. So, jamaa kapiga yaani huko Syria.

Dah vita mbaya sana, sema ndo hvyo sometimes inabidi tu iwepo ili kuweka dunia sawa.

Samahani kwa uandishi wangu!
nampongeza Trump kwa hatua muhimu na bora kabisa. walimzoea obama,sasa jamaa kaingia lazima wajaze vyoo.
 
Nenda kampikie bosi wako, hakuna ulichoandika hapa.
 
nampongeza Trump kwa hatua muhimu na bora kabisa. walimzoea obama,sasa jamaa kaingia lazima wajaze vyoo.
Kama unaona ni sawa watu kuuwawa kama panzi na unafurahia kabisa moyoni basi akili yako ni ya panzi na moyo wako ni kama wa bwana wa kuitwa Shwetaiiin.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom