Trump kawakalia kooni Wachina kweli kweli

Trump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina.

Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za kimarekani baada ya yeye Trump na serikali yake kutangaza ushuru kwa mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China.

Trump akaja akajibu kwa mipasho
View attachment 3293560

View: https://x.com/TrumpDailyPosts/status/1908149209372442740?t=dj8jA8XaJ9xka80gcKBTPA&s=19

Huyu bwana haipiti wiki bila kuwaweka mdomoni wachina yaani ni yeye na China kila siku China,China,China,China😀

Ubunifu umepungua sana USA,sasa wanawekeza Congo kuchuka.madini ambayo stock waliyonayo USA ni kubwa mno.
 
Haya mambo yote yanafanywa na wanauchumi wa marekani trump yeye ni rubber stamp TU kuidhinisha hiyo miswada, Trump hajui effects za tarrif na hana idea nazo ila wanamlisha matango TU, Yeye anachojua ni wahamiaji haramu na kujenga ukuta mexico hizo technico agenda yeye hajui
 
Marekani ina watu milioni 340 hivi.

Dunia nzima una watu Bilioni 8.

Lakini Marekani anaweza kuiwekea vikwazo Dunia nzima ya watu Bilioni 7.6 na bado nachekelea tu.

Marekani hii jeuri anaitoa wapi?
Alifanikiwa mapema kwa hio channel za sehemu nyiingi anafahamu
 
Trump is doing too much now. He needs to chill for a minute.
Wenzetu wana kwenda kwa mipango, kama mnakumbuka vizuri wakati Obama akiwa rais, G7 walikutanaga Australia kwa vikao vyao, haikujulikana walijadiri nini kwenye mkutano ule, lakini tulicho kiona duninia baada ya mkutano ule ni kushuka ghafla kwa bei ya madini almost yote duniani including mafuta, dhahabu, Almas nk. Wengi tunakumbuka bei ya mafuta cause ndio tunakutana nayo kila siku BUT kwa taarifa tu, hapa kwetu mgodi wa Almasi wa Mwadui ulifungwa almost for 5 years and if I'm not mistaken, shareholder mkubwa wa Almas duniani bwana Debears aliuza share zake kwa kampuni nyingine na Kaburu yule mwenye asili ya Israel alitoka kwenye nafasi ya tajiri namba 1 Africa hadi nafasi ya 4. You can google, Opernhamer family.
Kingine kilicho tamkwa hadharani (ya hapo ju tuliona matokeo, hakukua na speech ) Obama alitamka hivi, "China will never be the member of G7" So inawezekana, Trump anatembelea huo mkakati wa kumdhoofisha Mchina, na wataendelea. Awamu yake ya kwanza alijaribu, hata simu zake za Huawei nadhani soko lake lilitetereka duniani. Swali linabaki, "USA watamuweza Mchina"? Tusubiri
 
Kwenye kuuza na kununua, USA labda atamtikisa China kwenye bidhaa chache tu kwa kuweka hizo tarrifs kubwa otherwise China ana masoko Ulaya na hata ndani ya China ambayo ni imara tu...
Trump ni mfanyabiashara ukumbuke sio mtubaki Tu anachokifanya anaambiwa na yeye mwenyewe anajua huyu ntamshikia wapi .....Mfano Dollar Ndio kama world strongest currency hata mchina afanyeje atamtegema mmarekani
 
Marekani ina watu milioni 340 hivi.

Dunia nzima una watu Bilioni 8.

Lakini Marekani anaweza kuiwekea vikwazo Dunia nzima ya watu Bilioni 7.6 na bado nachekelea tu.

Marekani hii jeuri anaitoa wapi?
Ulitakiwa uwaonee huruma Marekani hawana viwanda vya kuuzia bidhaa Wamarekani.

Miaka ya 1970s au 1980s hakukuwa na hii trend. Viwanda vingi Marekani ni magofu. Wengine hata walihamisha viwanda kutoka Marekani

Kuimport bidhaa kwa kiasi kikubwa mpaka Marekani inakuwa na trade deficit na Vietnam au Indonesia ni ishara how American manufacturers are not competitive in global market

Hii ni basic concept tu kwenye economics wala sio good sign kwa Marekani
 
Trump is doing too much now. He needs to chill for a minute.
Trump ana utoto mwingi too childish, huwezi kumwona Xi Jinping akiwa na mihemko ya kitoto kama ya Trump anayofanya kwenye social media

Sikuzote Xi yuko kimya and a winner tangu Trump alipoanza sera yake ya trade war dhidi ya China mwaka 2018

Huu ujio wa Trump ni kama tu timu iliyofungwa first leg inayotapatapa kutafuta ushindi kwenye 2nd leg

China ni director wa movie 1 kamwe haiwezi kuogopa part 2
​
 
Haya mambo yote yanafanywa na wanauchumi wa marekani trump yeye ni rubber stamp TU kuidhinisha hiyo miswada, Trump hajui effects za tarrif na hana idea nazo ila wanamlisha matango TU, Yeye anachojua ni wahamiaji haramu na kujenga ukuta mexico hizo technico agenda yeye hajui
Na vipi kama sera hizo za kodi zinatoka kichwani mwake na kuwapa wachumi wasuke mambo zaidi?.
 
Trump hamna mtu hapo kapewa 34% aache maneno maneno apambane na hiyo kodi..
 
Haya mambo yote yanafanywa na wanauchumi wa marekani trump yeye ni rubber stamp TU kuidhinisha hiyo miswada, Trump hajui effects za tarrif na hana idea nazo ila wanamlisha matango TU, Yeye anachojua ni wahamiaji haramu na kujenga ukuta mexico hizo technico agenda yeye hajui
Dollar scheme hiyo
 
Yoda ninyi ndo mlikuwa mnasema Marekani inaongozwa na mifumo iliyothabiti, siyo mtu. Mkasema hata akija 'kihiyo' anaweza kuingoza Marekani bila shida Kwa sababu systems zitamsimamia. I wonder nini kimetokea au systems zimelala kidogo.?!!!
Kila jambo huwa na mwisho huyu mtu mchakato wake tu kiuchaguzi ukiutazama toka mwanzo,kulisha onekana utofauti katika siasa za wamarekani.
 
Trump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina.

Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za kimarekani baada ya yeye Trump na serikali yake kutangaza ushuru kwa mataifa mbalimbali duniani ikiwemo China.

Trump akaja akajibu kwa mipasho
View attachment 3293560

View: https://x.com/TrumpDailyPosts/status/1908149209372442740?t=dj8jA8XaJ9xka80gcKBTPA&s=19

Huyu bwana haipiti wiki bila kuwaweka mdomoni wachina yaani ni yeye na China kila siku China,China,China,China😀

China iran cina iran
 
Wenzetu wana kwenda kwa mipango, kama mnakumbuka vizuri wakati Obama akiwa rais, G7 walikutanaga Australia kwa vikao vyao, haikujulikana walijadiri nini kwenye mkutano ule, lakini tulicho kiona duninia baada ya mkutano ule ni kushuka ghafla kwa bei ya madini almost yote duniani including mafuta, dhahabu, Almas nk. Wengi tunakumbuka bei ya mafuta cause ndio tunakutana nayo kila siku BUT kwa taarifa tu, hapa kwetu mgodi wa Almasi wa Mwadui ulifungwa almost for 5 years and if I'm not mistaken, shareholder mkubwa wa Almas duniani bwana Debears aliuza share zake kwa kampuni nyingine na Kaburu yule mwenye asili ya Israel alitoka kwenye nafasi ya tajiri namba 1 Africa hadi nafasi ya 4. You can google, Opernhamer family.
Kingine kilicho tamkwa hadharani (ya hapo ju tuliona matokeo, hakukua na speech ) Obama alitamka hivi, "China will never be the member of G7" So inawezekana, Trump anatembelea huo mkakati wa kumdhoofisha Mchina, na wataendelea. Awamu yake ya kwanza alijaribu, hata simu zake za Huawei nadhani soko lake lilitetereka duniani. Swali linabaki, "USA watamuweza Mchina"? Tusubiri
Angalau na kwa sehemu kubwa China anapambana, kiuchumi, ki technology hata kijeshi. Sisi tumalala hatujui yanayoendelea duniani.
 
Mwaafrica nadhani sisi sio watu kamili, haiwezekani tuendelee kua masikini wakati wengine wanainuka. Unaiona mipango na utekelezaji wa mipango. Poor us
 
Kwenye hii trade war, lengo ni kufanya bidhaa za import kuwa bei kubwa sababu ya kuongezwa ushuru na za ndani bei ndogo ili kushawishi wawekezaji warudishe viwanda U.S, hii ina bost uchumi kwa kuongeza ajira na walipa kodi.
Kitendo cha mchina kuweka kodi maana yake mwekezaji inamuiwia vigumu kutoa kiwanda china kurudisha U.S atengeneze alafu akauze tena china
Hii ishu ya kurudisha viwanda kutoka China itakuwa ngumu sababau zifuatazo;

  1. Workforce ni kubwa kuliko U.S, sababu ya population na Elimu
  2. Market,
  3. Industrial Ecosystem
  4. Politcs and lobbying kwa U.S ni kubwa sana
Ila pia U.S nadhani nationa Debt limekuwa kubwa na wanalipa hela nyingi kwenye interest rate na mnufaika mkubwa ni china
 
Hapo kenye workforce inatia ndani Marekani ina uhaba wa skilled personnel kwenye manufacturing hili wengi hawazungumzi ila ni changamoto nyingine ya kuinvest Marekani​
 
Back
Top Bottom