Trump hachomoki uchaguzi unaokuja

Trump hachomoki uchaguzi unaokuja

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
Ni dhahiri mambo yanavyoenda Trump itakuwa ngumu sana kurudi Ikulu.

Washington DC watu wamejaa mtaani ,je haya maandamano yakiendelea hadi wakati wa uchaguzi atabaki vipi madarakani.

Yeye kazi kulalamikia senators, na hata orders alizokuwa akizitoa kwa jeshi na polisi zinagonga mwamba.

Ndani ya awamu yake amevuruga kitu hadi uhusiano wa kimataifa,amebaki kutishia nchi zingine kama Iran ,china ,Korea Kaskazini lakini amebaki na kelele tu na kupuuzwa.

Hali ya leo ya Washington inajieleza kwamba ni ngumu Trump kurudi.
IMG_20200607_101531.jpeg
Screenshot_20200607-101822_Twitter.jpeg
IMG_20200607_101712.jpeg
 
Wewe upo hapo Mbagala kwa Mfuga Nyoka mambo ya Washington DC huyajui.
 
Kwamaoni yangu lakini

Kuhusiana na suala lajamaaa kurudi ama kutorudi hili suala nahisi uachwe muda oongee sababu haujawahi kudanganya

Kuhusiana nahaya maandamano kudumu mpaka wakati wauchaguzi ningumu sana japokua inawezekana ila ningumu sana

Kuhusiana nahaya maandamano yamepoteza mkondo wake kutoka maandamano yaliohusisha mauaji yakibaguzi ya floyd mpaka kuwa mambo yakisiasa


Hitimisho:-kwaupande wangu hua sipendi chama chochote cha US sababu najua wote ni same same but different ila kutokana na namna jamaa alivyoiendesha US mara yakwanza napenda jamaa aendelee kutawala ili azidi kuwavuruga zaidi pia natamani maandamano yadumu mpaka baada yahuo UCHAFUZI MKUU[emoji4]
 
Kwani hao ni wapiga kura wa Biden? Mtarudi hapa, na mtanikuta Trump akiwa rais wa term ya pili.
 
Trump is there to stay! Meanwhile kiwango cha ajira mwezi May kipo juu kulinganisha na makadirio ya athari za corona.
Let them keep ignoring the power of silent majority.
Wanadhani hao street walkers watasaidia lolote.
 
Wale wahusika watahukumiwa kifo. Wataappeal na hukumu itafutwa
 
TIRAMPU HATOBOI LAZIMA WAMAREKANI WAMTEMESHE KIAZI CHA MOTO.
 
Wale wahusika watahukumiwa kifo. Wataappeal na hukumu itafutwa
Je hilo jimbo la Minnesota bado linatekeleza adhabu ya kifo au ni miongoni mwa majimbo mengi (38) yaliyoachana na adhabu hiyo?
 
Kwamaoni yangu lakini

Kuhusiana na suala lajamaaa kurudi ama kutorudi hili suala nahisi uachwe muda oongee sababu haujawahi kudanganya

Kuhusiana nahaya maandamano kudumu mpaka wakati wauchaguzi ningumu sana japokua inawezekana ila ningumu sana

Kuhusiana nahaya maandamano yamepoteza mkondo wake kutoka maandamano yaliohusisha mauaji yakibaguzi ya floyd mpaka kuwa mambo yakisiasa


Hitimisho:-kwaupande wangu hua sipendi chama chochote cha US sababu najua wote ni same same but different ila kutokana na namna jamaa alivyoiendesha US mara yakwanza napenda jamaa aendelee kutawala ili azidi kuwavuruga zaidi pia natamani maandamano yadumu mpaka baada yahuo UCHAFUZI MKUU[emoji4]

Mujahideena[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
aisee jamaa wamefurika

wakomunist wana wacheka tu huko walipo 😃😃😃
 
Trump atashinda tena kwa kishindo. Umeangalia economic data ijumaa na stock market. Biden anauwezo wa kushawishi watu kama Trump hasa weupe.
Halafu haya maandamano ya BLM yape mwezi, media watajeuza kuwa negative!

Kama UK Jana na Leo polisi wamekuwa wapole lakini waandamaji wameanza kuwapiga!
Ipe muda Trump na watu wataanza kuwa support polisi.
 
Back
Top Bottom