Trump hachomoki uchaguzi unaokuja

Trump hachomoki uchaguzi unaokuja

Tusubiri week hii ya kesho maana hata mazishi ya jamaa ilikuwa leo
Trump atashinda tena kwa kishindo. Umeangalia economic data ijumaa na stock market. Biden anauwezo wa kushawishi watu kama Trump hasa weupe.
Halafu haya maandamano ya BLM yape mwezi, media watajeuza kuwa negative!

Kama UK Jana na Leo polisi wamekuwa wapole lakini waandamaji wameanza kuwapiga!
Ipe muda Trump na watu wataanza kuwa support polisi.
 
Hali ya Trump bado ni tete
 
Donald Trump huenda ndiye kiongozi ambaye amekuwa akiwashangaza watu wengi zaidi hususani kipindi hiki.
 
Atapita maana wazungu wenzie wanampenda na niwabaguzi wazuri tuu.
 
Naona bado haujaifaham US vizuri maoni ya watu yanaweza kuonyesha uko juu kwa miezi mitatu mfululizo lkn mambo yakabadilika ndani ya siku mbili tu.
 
Tunawefukua kumbukumbu
 
Back
Top Bottom