Trump awaonya Iran wasicheze na Moto

Trump awaonya Iran wasicheze na Moto

Hahaha braza Naomba uni amini mimi in short ni kwamba USA ni level nyingine kabisa kwenye ishu za ki jeshi. Yaani ni nachojua buana Hawa jamaa wako na nguvu Sana naposema nguvu kubwa Naomba uelewe ni nguvu kubwa Sana tena Sana.
Nikuamini wewe nani? We Trump? Hiyo nguvu ya kijeshi unaipima vipi?
 
Haikuwa total war halafu walipigana vita wananchi wanapinga nahaikuwa na maslai kwao so wakaquit na hata ujiangalia
😀😀😀Nyie jamaa mnachekesha sana. Kwahiyo kuna total war na half/semi-war? Vita ni vita mura. Vita ya Iraki walipingwa sana lakini angalau waliondoka na heshima yao tofauti na walivyoondoka Saigon.
 
Uchumi wa Texas ni zaidi ya uchumi wa Ufaransa miongoni mwa mataifa yenye nguvu kubwa za kiuchumi duniani. Sasa huyo Irani na US wapi na wapi? Sana sana janja yake ni kufadhili vikundi vya kigaidi kufanya hujuma; na Trump kawapiga ban imewauma hapana mchezo.
u just dont understand what is inside the bottle
 
Kwani marekani kapigana vita na somalia duh aiseee watu waongo ile si ilikuea mission ilioenda ndivyo sivyo marekani hawezi pigana vita na somalia dunia itamcheka ile ulikuwa mission za kawaida
kwaio Kenya hayupo vitani yupo kwenye mission? 😀 sasa kama si vita matumizi ya silaha yalihusu nini? mbona UN wana mission kama kuhakikisha haki za binaadamu zinafuatwa lakini hawatumii silaha?unapofikia kutumia silaha hio ni vita mkuu.... au definition yako ya vita ni nini?
 
Wewe bado hujui maana ya total war ni kama ile tuliopigana na uganda unasafisha kila kitu sio kutarget kisehemu basi nadhani umenielewa
 
kwaio Kenya hayupo vitani yupo kwenye mission? 😀 sasa kama si vita matumizi ya silaha yalihusu nini? mbona UN wana mission kama kuhakikisha haki za binaadamu zinafuatwa lakini hawatumii silaha?unapofikia kutumia silaha hio ni vita mkuu.... au definition yako ya vita ni nini?
Embu alshabab wakaguse ethiopia ndo utajua sababu ya mimi kukwambia kenya haiko vitani ni mission tu za kutokomeza alshabab ila ethiopia akiguswa hakuna cha alshababu au alshabibi watasafisha somalia yote
 
Embu alshabab wakaguse ethiopia ndo utajua sababu ya mimi kukwambia kenya haiko vitani ni mission tu za kutokomeza alshabab ila ethiopia akiguswa hakuna cha alshababu au alshabibi watasafisha somalia yote
sasa kwanini hawajaisafisha bado? wanasubiri nini hao ethipia wakati ina cause regional instability? kwanini kama wanao uwezo wasiende kusafisha tu? au kuwasaidia wakenya? ebu nipe definition ya war kwa uelewa wako? mana nnavojua mie hii ndo definiton ya war "a state of armed conflict between different nations or states or different groups within a nation or state." na ukitizama hio characteristic za war zote zipo afu wewe unasema sio war..... Unanifanya nikucheke sana
 
Yemen shapes up for US-Iran military clash
Eight armies are fighting for dominance in Yemen, a country of 25 million inhabitants: The Iranian-backed Houthi insurgents, together with a breakaway force, are battling the army loyal to President Abdulrabbuh Mansur Hadi, which is supported by Saudi, Egyptian and UAE military forces and their hired legion of Colombian mercenaries.
Iranian Revolutionary Guards (IRGC) elements, most acting as advisers to the Houthi rebels, intervene actively from time to time. Last October, they conducted missile attacks on US vessels on the Red Sea from shore batteries. In response, the US Navy on October 9 and 12 knocked out those batteries and the radar stations that were manned by IRGC teams.
Tehran countered by deploying to Yemen long-range Shahed 129 drones carrying Sadid-1 rockets and sowing sea mines around the international Bab Al-Mandeb Straits.
US President Donald Trump’s sharp warning on Friday, Feb. 3, after just two weeks in office, that Iran was “playing with fire” and the fresh round of sanctions he clamped down were galvanized by Iranian aggression in Yemen and the Red Sea as much as by its ballistic missile test.
And indeed, the deployment of theUSS Coledestroyer to the strategic Red Sea Straits of Bab Al-Mandeb on the same day turned the compass needle toward the potential arena, should the escalating tension between the US and Yemen explode into a military encounter, such as a US special operations force going into Yemen to strike IRGC targets.
debkafile’s sources report that the Trump administration would find this battleground expedient out of six considerations:
1. It would enable the US to keep the confrontation within controlled limits, by claiming it was acting against the Houthi insurgents in Yemen - not a directly attack Iran.
2. If Iranian Revolutionary Guards “happened” to be caught in the fire, Washington would ask what they were doing in Yemen, when Tehran denied its intervention in the Yemeni civil war.
3. Iran would not necessarily be compelled to hit back directly so long as the US avoids direct attacks on its soil.
4. It would provide serious support for the Saudi and UAE armies, whose armies’ entanglement in the Yemen conflict is deepening without their making real headway against the Houthis. President Trump would show Riyadh, Abu Dhabi and Cairo, that he is on their side in the fight against Iran.
5. Iran is capable of coping with the regional armies ranged against the Houthi rebels, but any substantial US military intervention might force Iran to reconsider its support for the Yemeni insurgency.
6. The Russians are not involved in Yemen and any US intervention can be kept quite separate from the Trump administration’s evolving political and military partnership with Moscow in Syria.
By the same token, Washington is keeping its hands off Libya, where last week, the Russians began sending military advisers to assist the American-Libyan Gen. Khalifa Haftar, who controls large parts of the eastern oil-rich region. The planes which fly the advises in are carrying Hafter’s wounded men out to hospitals I Russia..

Debka.com
 
kama vita kupigwa na ipigwe tu vita ya kimataifa, kisiasa, kiuchumi, na hata ya rangi lakini isihusishe dini!
 
Tumechoka na maneno yake
So far hatujaona hata bomb moja kuwadondoshea ISIS zaidi ya porojo zake
 
Tulisema mengi sana wakati
marekani inalumbana na iraq
Tulimsemea sana Saadam kuwa atamkomesha
Bush junior,lakini muda ulipofika historia iliandika
kinachosomeka,Na hapa tunaweza kuwasemea
wairan kwa bahati mbaya mkong'oto ukianza
sisi tutaendelea kuwa nyuma ya key board
za komputa zetu wakati wenzetu wakioga mabomu.
 
mwenye nyumba akisema hataki wageni,
kwa nini wageni walazimishe kumtembelea?
Marekani kama imewakataa baadhi ya
wageni kutoka mataifa mengine,kuna hasara
itawapata wamarekani wenyewe,sasa ni kwa nini
wairan inawauma?
 
Watu wote wanaoipenda Marekani huwa hawapendi kukubali kuwa USA hawana uwezo mkubwa wa kijeshi zaidi ya vifaa vya kisasa walivyonavyo. Wakati USSR anapokea kichapo Afghanistan, USA ndiyo walikuwa wanawapa msaada hao Afghanstan. Lakini hutasikia USSR/Russia ikisema ilipigwa na USA, walipigwa na waafghanistan.

Ndiyo maana hatupaswi kuichukulia poa Malawi kijeshi sababu ya udogo wake. Vita ina mikono mingi inayoonekana na isiyoonekana. Lazima ujue kwamba tukiingia vitani hatutapigana na Malawi peke yao. Hata sisi hatuwezi kupigana peke yetu.
Kasome historia ya vita vya Kagera ujifunze ni nchi ngapi zilishiriki katika vita ile. Tena kuna nchi zilikuwa zinacheza pande zote mbili.

Nitajie vita ambayo USA imewahi kupigana peke yake.
Daah umeongea points tu.pitia bia tano hapa catalunya
 
mwenye nyumba akisema hataki wageni,
kwa nini wageni walazimishe kumtembelea?
Marekani kama imewakataa baadhi ya
wageni kutoka mataifa mengine,kuna hasara
itawapata wamarekani wenyewe,sasa ni kwa nini
wairan inawauma?
mkuu naona hauko informed vizuri,tatizo sio ile ban ya raia
 
shida ya miraa hii sasa
Huwa nachukia mtu mwenye akili kama debe tupu kuchangia mada nzito... hata ulichoandika hakiingiliani na mada wala hoja iliyochangiwa.... hakuna haja ya kuharibu thread za wadau jf
 
Back
Top Bottom