Trump awaonya Iran wasicheze na Moto

Trump awaonya Iran wasicheze na Moto

Mkuu tema mate chini!!

Hao jamaa wananguvu ya kijeshi isiyomithilika.
Nguvu gani? Mbona vita hawapigani peke yao? Nguvu yao kubwa iko kwenye nukes ambayo haitarajiwi kutumika ktk zama hizi, vinginevyo hao wa kawaida tu. Afghanistan wameshindwa kufikia malengo a kilichowapeleka na hata Irak pia imekuwa na hali mbaya zaidi kuliko wakati wa Saddam. Hizo nguvu unazoogopa wakuliwa nazo wakati wa vita ya Vietnam na bado wakapokea kichapo kikali ambacho mpaka kesho wakiota.
 
Ninachojua ni kuwa hujui kuwa bomu la nyuklia halijawahi kutumika!!!

Najua unajua kuwa bomu la Atomic ndilo lilisababisha vita kuu ya pili duniani ikakoma.

Wakitandikwa wasianze kuomba huruma zetu watoto na wake zao wakipukutika kama mainzi.

Saddam alifanya kibri wamemtanguliza galilaya.

Kwanini ufe kabla ya wakati wako??
Mkuu

Hivi Iran amewahi kumshambulia Nani?

Iran ametumia missiles zake kumpiga Nani??

Usa ameangusha Atomic Bomb Japan

Usa ameshambulia nchi kibao kama Vietnam nk

Usa amefanya war crimes tele

Kama anayepaswa kunyooshewa kidole na Ku dismantle nucleur ni usa.

Usa anatuaminisha eti north Korea na Iran ni tishio kwa dunia wakati wao wanatengeneza kwaajili ya kujilinda na kuweka heshima ,NK aliwahi kumshambulia Nani wakati wanajilinda dhidi ya silaha za thaad zilizomlenga yeye ,Iran ana maadui tele nk

Pakistan na India wana nucleur saizi wanaheshimiana

Usa hawezi kutuaminisha uongo wake wakati yeye ndiye ana bad record na amefanya warcrimes

Iran ana bad record gani???

Acheni kula propaganda za kijinga kutoka usa ,halafu kwa masikitiko watu wengi ni kama vile bendera Wanaamini

Watandikwe wamefanya kosa gani??

Wataishia kuweka vikwazo tu.

UN security council mpaka waweke veto na urusi&China ni washirika wa Iran .so possibly haiwezi kutokea

Usa fascist hawezi kutulisha maneno

Eti Iran ataharibu dunia ni tishio my ass
 
Tatizo sio iran kuwa na nyuklia,
tatizo ni iran kuwa na nguvu za kijeshi kuizidi israel,
hilo ndo hawataki kusikia kabisaaa,

kwahiyo Trump kwasababu nae ni religions fanatics lazima asaidia israel bila kujali ataua watu milioni ngapi ili kutimiza wajibu huo.

Pili lazima ahakikishe ubalozi unahamia jerusalem na pia israel inaweza kuukamata mji wote wa jerusalem kisha wataanza kulijenga sinagogi lao kwa ajili ya kumwandalia masihi,ili aje awe anahubiria humu,
sasa ili waweze kulijenga hekalu lazima waislamu wateketezwe to the point kwamba wanabaki dhaifu ili wasiweze kuresist.

Sasa Trump alivyo mjinga hajui kuwa wayahudi wanataka kumtumia tu,wao wayahudi wanamsubiri masiha na si yesu,
watakachofanya hawa wayahudi ni kuchombeza vita kati ya waislamu na wakristo,,yaani mataifa ya magharibi kama marekani dhidi ya yale ya kiislamu kama iran,
kwamjibu wa albert pike,lengo la vita hivyo ni kuwafanya waislamu na wakristo wamalizane wao kwa wao na kuwwaacha wayahudi wakiwa na nguvu ya kuitawala dunia kutokea jerusalimu.

So mnaoshabikia haya mambo mjue kuwa ili sinagogi lijengwe pale lazima itokee vita kuu,
anachofanya Trump ni kuandaa mazingira hayo kwani amekuwa brainwashed kuamini hekaya za masihi kitu ambacho hakipo bali ni hekaya
 
d6bc10d2d54ab91e02bd84fd15d72e2b.jpg
 
Ngoja nisubiri final episode ya hii movie.
 
Mkuu ilani hawezi pigana vita na USA alafu urusi akae tu haiwezekani,kwanza itakuwa advantage kwa Murusi ili urudi kwenye usupa power...kwa maneno mengine USA hawezi pigana na Irani,ingekuwa rahisi hivyo irani ingekuwa tayari majivu
ongeza na mchina na north kotea watamsuport iran
 
The problem hapa,Trump alitaka nchi atakayoinyeshea mfanili dunia ipate kumuheshimu,

kosa alilofanya ni kuichagua iran kama mfano,akijidanganya kuwa akiwakoromea tu wataufyata,
ambacho hakukijua ni kuwa iran are very proud peoples,
hawataufyata na kinachoenda kutokea ni disaster,
iran ni emperial power in the making,mpaka sasa inaweza kuinfluence kuanzia baghdad,Damusca,Beirut,sanaa yemeni,afaghnstan,
 
Watu wote wanaoipenda Marekani huwa hawapendi kukubali kuwa USA hawana uwezo mkubwa wa kijeshi zaidi ya vifaa vya kisasa walivyonavyo. Wakati USSR anapokea kichapo Afghanistan, USA ndiyo walikuwa wanawapa msaada hao Afghanstan. Lakini hutasikia USSR/Russia ikisema ilipigwa na USA, walipigwa na waafghanistan.

Ndiyo maana hatupaswi kuichukulia poa Malawi kijeshi sababu ya udogo wake. Vita ina mikono mingi inayoonekana na isiyoonekana. Lazima ujue kwamba tukiingia vitani hatutapigana na Malawi peke yao. Hata sisi hatuwezi kupigana peke yetu.
Kasome historia ya vita vya Kagera ujifunze ni nchi ngapi zilishiriki katika vita ile. Tena kuna nchi zilikuwa zinacheza pande zote mbili.

Nitajie vita ambayo USA imewahi kupigana peke yake.
kingine unakosea izo ni vita za kimaslahi sehemu fulani.sio vita ya kupigania mipaka au jimbo la nchi husika.
Zungumzia marekani kashambulia moskow sio afganistan au russia kashambulia florida sio vietnam.hapo ndio utajua nini maana ya vita
 
Mkuu

Hivi Iran amewahi kumshambulia Nani?

Iran ametumia missiles zake kumpiga Nani??

Usa ameangusha Atomic Bomb Japan

Usa ameshambulia nchi kibao kama Vietnam nk

Usa amefanya war crimes tele

Kama anayepaswa kunyooshewa kidole na Ku dismantle nucleur ni usa.

Usa anatuaminisha eti north Korea na Iran ni tishio kwa dunia wakati wao wanatengeneza kwaajili ya kujilinda na kuweka heshima ,NK aliwahi kumshambulia Nani wakati wanajilinda dhidi ya silaha za thaad zilizomlenga yeye ,Iran ana maadui tele nk

Pakistan na India wana nucleur saizi wanaheshimiana

Usa hawezi kutuaminisha uongo wake wakati yeye ndiye ana bad record na amefanya warcrimes

Iran ana bad record gani???

Acheni kula propaganda za kijinga kutoka usa ,halafu kwa masikitiko watu wengi ni kama vile bendera Wanaamini

Watandikwe wamefanya kosa gani??

Wataishia kuweka vikwazo tu.

UN security council mpaka waweke veto na urusi&China ni washirika wa Iran .so possibly haiwezi kutokea

Usa fascist hawezi kutulisha maneno

Eti Iran ataharibu dunia ni tishio my ass
Hivi iran alipokuwa anapigana na sadam huseni wakati huo ulikuwa hujazaliwa eeh!???
 
Hayo makundi ya kikaidi tutegemee tz baada ya kupewa 180days without visa in usa
 
kingine unakosea izo ni vita za kimaslahi sehemu fulani.sio vita ya kupigania mipaka au jimbo la nchi husika.
Zungumzia marekani kashambulia moskow sio afganistan au russia kashambulia florida sio vietnam.hapo ndio utajua nini maana ya vita
Vita ni vita tu usihamishe magoli. USA wangekuwa na ubavu mnaowasifia wangekuwa wameshaipiga Iran na North Korea. Tena msitarajie vita hata North Korea au Iran wafanye vituko gani maana mshirika na mpambe mkubwa wa USA ambaye ni UK ameanza ubinafsi na kuangalia maslahi yake. Hivyo usitegemee UK iliyojiondoa EU isapoti vita yoyote ya kipuuzi ya Trump. Trump hana ujanja wa kwenda vitani bila wapambe wake.
 
kawaida ya marekani anajifanya rafiki yako mwisho wa siku unajikuta unajisahau kununua silaha na kujiimarisha kiulinzi na baadae anageuka anakutufua very easy (refer libya). sasa tehran wameshtukia mchezo wameona mbali hawataki kugeuzwa Libya
 
Maneno yako matamu!!!
Walah matamu sana!!!

Nikuambie tu kuwa umeaminishwa kama walivyoaminishwa wafilisti kuwa wanaweza kuipiga israel, mwishowe huishia kuwalilia wake na watoto wao.

Military power ya wale jamaa iache kama ilivyo!!!

Uingereza imewahi kuitandika agentina wakigombea visiwa vya Falkland, ilitumia nyambizi chache tu.

Achana na mihemko ya kidini.
The problem hapa,Trump alitaka nchi atakayoinyeshea mfanili dunia ipate kumuheshimu,

kosa alilofanya ni kuichagua iran kama mfano,akijidanganya kuwa akiwakoromea tu wataufyata,
ambacho hakukijua ni kuwa iran are very proud peoples,
hawataufyata na kinachoenda kutokea ni disaster,
iran ni emperial power in the making,mpaka sasa inaweza kuinfluence kuanzia baghdad,Damusca,Beirut,sanaa yemeni,afaghnstan,
 
Sasa mkuu jogi nani hapa ana mhemko kama si wewe?

Kwanza wapalestina sio wafilisti,
pili karudie kuisoma story ya wafilisti,je wakumbuka nani alimwuua Saul?,

unakumbuka wakati samsoni anateswa na wafilisti kuwa kipindi hicho wayahudi walikuwa chini ya wafilist?,

unafahamu jamaa wanaiitwa waasyria,wababel ,wapersia,
je wajua kuwa kama si mfalme koreshi wa iran kuwakomboa wayahudi toka babel mpaka leo wangekuwa wamepotelea babel?,
 
"We'll never initiate war" hii kauli ya woga sana na Israel itavimba kichwa sana hapo mashariki ya Kati.....hebu tungoje
Usiseme hivyo! Republican huwa hawajaribiwi haijalishi ni Nani ni rais! Kama angejibu jeuri SAA hii tungekuwa tunaongea mengine! Taifa kama Iran hawezi kurisk kutoa maneno ya kijeuri kama republican wako madarakani!
 
Sasa mkuu jogi nani hapa ana mhemko kama si wewe?

Kwanza wapalestina sio wafilisti,
pili karudie kuisoma story ya wafilisti,je wakumbuka nani alimwuua Saul?,

unakumbuka wakati samsoni anateswa na wafilisti kuwa kipindi hicho wayahudi walikuwa chini ya wafilist?,

unafahamu jamaa wanaiitwa waasyria,wababel ,wapersia,
je wajua kuwa kama si mfalme koreshi wa iran kuwakomboa wayahudi toka babel mpaka leo wangekuwa wamepotelea babel?,
 
Wamarekani wanazionea nchi za kiarabu. Koroa ya kaskazini mbona inatesti siraha mbona haichukui hatua....?
Korea ya kaskazini tayari ana silaha za nuklia! Si rahisi kuipiga kijeshi zaidi ya kuiwekea vikwazo! Vita vya nuklia havina mshindi, madhara ya kutisha lazima yatatokea kila upande!
 
Huyu trump nishida kweli hata mwezi bado ndo kwanza katoka apishwa January hivi ashanza ***** ***** tutafika kweli alafu anaonekana ana ubaguzi sana na anaonekana katumwa kitu flani ivi
 
Back
Top Bottom