Hao askari waliopo hapo jimboni waende basi kukiwasha tuone mziki mwenyewe.Iran bado ni taifa dogo sana kijeshi.Jimbo la Texas peke yake linatosha kuipiga Iran
Mwarabu gani sasaNaona mwarabu akikimbizwa muda si mrefu
Sio mtu Wa mchezo mchezo yuleHivi yule Dogo Kim Jong Un unajumjua vizuri au unamsikia?
Iran bado ni taifa dogo sana kijeshi.Jimbo la Texas peke yake linatosha kuipiga Iran
Putin atagombana na Trump siku si nyingi mana Trump kumbe ujinga wake ni mwingi sana akitaka kuipiga Iran naamini itazusha mambo makubwa sana sawa atashinda lakini je Mrusi ataacha hiv hivi???
kakojoe ulale dogo, Iran ana nyuklia ya kuipiga US?
Aisee ccm ilaaniwe Kwa kuharibu kizazi hiki.
Ulitaka wapigane vita kwa lipi?Mbwa koko kachomeka mkia katikati ya miguu yake ya nyuma; chezea kumwona simba mbele wewe; lazima akimbie upande upande kama amekata "cetre-bolt". Huyo waziri ni wa kufukuza mara moja; kaitia aibu nchi hata kama alichoongea ni ukweli.
Kwa akili yako yooote unadhani Marekani hawana nuclear weapons? Janja yao ya kuiziba Iran wanataka wabaki nazo peke yao, kumbuka yaliyotokea Hiroshima na Nagasaki.Uchumi na vita vinaweza visishabiane sana,, maana kama Iran ana Nuclear weapons,, then hakuna janja ya mmarekani kuretaliate.
Halafu wakidevelop makombora yao ili wajilinde watu wanatokwa mapovu wakati USA na washirika wake wanafanya maujinga ..Iran nikweli anacheza na moto.
Note
Yupo on list ya nchi zakuwa hit muda mrefu. Israel ndio eng yani itakuwa majivu. Usa wanakisasi kikali na hwa jammaa yan full hatar
Bwana huyu Twitter anaipenda mno kama kilevi chake-yeye na Twitter Twitter na yeye.Rais wa mipasho huko Twitter
Vietnam mkuu ni taifa kubwa ??Rais wa mipasho huko Twitter
Hio ni kauli ya kawaida ya Irán, kwamba ye hatomshambulia mtu, ila akipigwa Basi atajihami .....Swali Moja ...Kule Afghanistan kwani vipi ?"We'll never initiate war" hii kauli ya woga sana na Israel itavimba kichwa sana hapo mashariki ya Kati.....hebu tungoje
Watu wa humu uwa mnanjifurahisha....hivi mnadhani hizi kitu ni kama kudaka panzi pori la kadumzungwi?[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Na hizo nuclear zinapita wap maaana kila kona US ana missiles defences hata Iran aseme alipitishie kombora lake sijui njia gan litadakwa tu.
Tena km kuua mbu, rejea shughuli ilyofanya Iron dome kule Israel ilvyokua ikidaka vikombora vya Hamas km inadaka nzi.Watu wa humu uwa mnanjifurahisha....hivi mnadhani hizi kitu ni kama kudaka panzi pori la kadumzungwi?[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Dome ilifeli kwa hizbullah rejea youtube the failure of merkava tank.ila vurugu au vita yoyote na iran ni israel attasuffer vibaya mno maana atapigwa na irans proxy armies zilizopo syria lebanon na iraq na pia unlike iraq iran kuna majeshi mawili moja chini ya raisi na la pili chini ya ayatollah na yote yana divisheni zote anga maji etc. ila mwisho wa yote usa anaweza akashinda ila it will no longer remain as super power na pia mtoto wao hapo middle east atakuwa wiped out.Tena km kuua mbu, rejea shughuli ilyofanya Iron dome kule Israel ilvyokua ikidaka vikombora vya Hamas km inadaka nzi.
google tena kuhusu vita labda utaelewa!Iran bado ni taifa dogo sana kijeshi.Jimbo la Texas peke yake linatosha kuipiga Iran