Trump awaonya Iran wasicheze na Moto

Trump awaonya Iran wasicheze na Moto

Mbwa koko kachomeka mkia katikati ya miguu yake ya nyuma; chezea kumwona simba mbele wewe; lazima akimbie upande upande kama amekata "cetre-bolt". Huyo waziri ni wa kufukuza mara moja; kaitia aibu nchi hata kama alichoongea ni ukweli.
hahaha mkuu umenichekesha kichizi, sasa si bora kaongea ukweli kuliko angejifanya kudinda halafu wapewe kichapo kitakatifu
 
Dome ilifeli kwa hizbullah rejea youtube the failure of merkava tank.ila vurugu au vita yoyote na iran ni israel attasuffer vibaya mno maana atapigwa na irans proxy armies zilizopo syria lebanon na iraq na pia unlike iraq iran kuna majeshi mawili moja chini ya raisi na la pili chini ya ayatollah na yote yana divisheni zote anga maji etc. ila mwisho wa yote usa anaweza akashinda ila it will no longer remain as super power na pia mtoto wao hapo middle east atakuwa wiped out.
Iron dome ilifeli lini kwa Hezbollah wakt imeanza kufanya kaz 2011?!
Hv unajua kwamba merkava tank injin yake ipo mbele ili kuprotect wanajeshi pale wanaposhambuliwa na kombora, hyo ndo iliwafanya Hezbollah waTake advantage yake ila sasa hv kuna kitu Merkava 2 ina ant tank capabilities.
Half hyo haitakua mara ya kwanza Israel kuchangiwa, hata six day war alkua mwnyw lkn alishinda kwa kuzitandika nchi zenye nguvu kijeshi na zenye mavifaa kibao from USSR lkn bado israel ikaibuka mshindi.
Hv ukitoa hayo makombora ambayo hata Israel anayo ni sehem gani kijeshi Iran anampata israel from Air power, navy, intelligence, land, EW ,etc?!
 
Ni muda sasa wa USA kupotea kwenye usuper power tena aingie vitani tuone
 
Anachofanya trump ni kelele za chura Iran ataendelea kufanya majaribio mwezi ujao tuone USA atafanya nini.Akianzisha tu ajue tax's,Washington,Miami n.k watu watakuwa wakimbizi kwa maana IBM zitafanya kazi yake
 
Trump usituletee vita. Hawawezi Iran wewe.Hapa najiuliza Russia anasimama na Iran au Trump ?
 
Katika vita hakuna mshindi. Pande zote mbili huwa 'zinashindwa'. Iraq mpaka leo inasumbua Marekani japo ni taifa dogo. Vietnam ndo nchi pekee kuwahi kuipiga Marekani baada ya WW2 na haikuwa nchi kubwa na sio nchi kubwa mpaka leo.
haikuwa vita ya vietnam dhidi ya wamarekani la huo ni uongo.ile vita iliigawa vietnam pande mbili upande wanataka communism ukiungwa na china na ussr dhidi ya upande wanaotaka ubepari ukiungwa na usa.
 
Iranian are not Arabs Mkuu wao ni Persian Mchanganyiko wa Mhindi na Mzungu kina Rostam Aziz
hata mimi umenipa maarifa hapa mkuu,ahsante sanaitakua
Putin atagombana na Trump siku si nyingi mana Trump kumbe ujinga wake ni mwingi sana akitaka kuipiga Iran naamini itazusha mambo makubwa sana sawa atashinda lakini je Mrusi ataacha hiv hivi???
itakua kama syria mpaka leo mshindi hajulikani USA au Rusia
 
tena pamoja na kusaidiwa na washirika wake bado anashinda kwa kazi sana,mpaka leo kilichompeleka iraq anakijutia
Nitajie Nchi walau Moja ambayo Marekani Peke yake iliwahi kupigana nayo bila ya Msaada wa Marafiki zake wa NATO wakashinda? Mie Nakumbuka Vietnam walienda kupigana peke Yao Kama umesahau Matokeo niambie nikukumbushe?
 
haikuwa vita ya vietnam dhidi ya wamarekani la huo ni uongo.ile vita iliigawa vietnam pande mbili upande wanataka communism ukiungwa na china na ussr dhidi ya upande wanaotaka ubepari ukiungwa na usa.
Kwani Irak 1 na 2 na Afghanistan Marekani kapigana peke yake? Kama hivyo ndivyo unavyowaza basi hakuna vita ambayo imewahi kupiganwa na nchi mbili tu. Hata tulipoipiga Uganda ya Amini tulisaidiwa na hata waganda walisaidiwa na Libya kuanzia vifaa, fedha hadi wanajeshi.

USA hajawahi kusema amepigwa na USSR au China. Kila siku wanakiri walipigwa na Vietnam. Period!(in Sean Spicer' voice)😀
 
haikuwa vita ya vietnam dhidi ya wamarekani la huo ni uongo.ile vita iliigawa vietnam pande mbili upande wanataka communism ukiungwa na china na ussr dhidi ya upande wanaotaka ubepari ukiungwa na usa.
Watu wote wanaoipenda Marekani huwa hawapendi kukubali kuwa USA hawana uwezo mkubwa wa kijeshi zaidi ya vifaa vya kisasa walivyonavyo. Wakati USSR anapokea kichapo Afghanistan, USA ndiyo walikuwa wanawapa msaada hao Afghanstan. Lakini hutasikia USSR/Russia ikisema ilipigwa na USA, walipigwa na waafghanistan.

Ndiyo maana hatupaswi kuichukulia poa Malawi kijeshi sababu ya udogo wake. Vita ina mikono mingi inayoonekana na isiyoonekana. Lazima ujue kwamba tukiingia vitani hatutapigana na Malawi peke yao. Hata sisi hatuwezi kupigana peke yetu.
Kasome historia ya vita vya Kagera ujifunze ni nchi ngapi zilishiriki katika vita ile. Tena kuna nchi zilikuwa zinacheza pande zote mbili.

Nitajie vita ambayo USA imewahi kupigana peke yake.
 
Nchi gani zilipigana vita vya Vietnam?
The main countries involved in the Vietnam War were North and South Vietnam.

South Vietnam : was backed by anti-communist countries and members of the South East Asia Treaty Organization (SEATO) which included the United States, South Korea, Australia, the Philippines, New Zealand, Thailand, Khmer Republic (later overthrown by Khmer Rouge), Kingdom of Laos and Republic of China (Taiwan).

North Vietnam: was backed by the communist allies which included People’s Republic of China, Soviet Union, Pathet Lao (Laotian Communist insurgents), Khmer Rouge (Cambodian Communist insurgents) and North Korea.

Kwanini vita ilipiganwa?
In short, the Vietnam war started as a result of U.S strategy of containment during the Cold War, which aimed to prevent the spread of communism throughout the world.

https://www.quora.com/What-countries-were-involved-in-the-Vietnam-War-and-why
 
Rais wa mipasho huko Twitter
Ninachojua ni kuwa hujui kuwa bomu la nyuklia halijawahi kutumika!!!

Najua unajua kuwa bomu la Atomic ndilo lilisababisha vita kuu ya pili duniani ikakoma.

Wakitandikwa wasianze kuomba huruma zetu watoto na wake zao wakipukutika kama mainzi.

Saddam alifanya kibri wamemtanguliza galilaya.

Kwanini ufe kabla ya wakati wako??
 
Mkuu tema mate chini!!

Hao jamaa wananguvu ya kijeshi isiyomithilika.

Back
Top Bottom