Trump awaonya Iran wasicheze na Moto

Trump awaonya Iran wasicheze na Moto

Uchumi wa Texas ni zaidi ya uchumi wa Ufaransa miongoni mwa mataifa yenye nguvu kubwa za kiuchumi duniani. Sasa huyo Irani na US wapi na wapi? Sana sana janja yake ni kufadhili vikundi vya kigaidi kufanya hujuma; na Trump kawapiga ban imewauma hapana mchezo.
Una ushahid yakinifu?
 
Mimi huwa sipendi mipasho si watwangane tu ajulikane na mkubwa sasa vitisho tu mpaka lini wafanye tu hata pambano la kirafiki
Hapa kuna vita tutasikia hizi kelele tu unazo ziita mipasho.
USA ili aipige IRAN nilazima atokee ktk ardhi za waarabu.
Na waarabu wote wanamuogopa Muiran ikulu ya tehran imeshatoa matamko mengi tu juu ya nchi itakayo ruhusu USA kutumia kurusha kombora tehran.
Tehran imesema ikipigwa na usa kutokea ktk ardhi ya muwarabu hatosema imepigwa na usa itachukulia kuwa imepigwa na hiyo nchi.
Kwa tangazo hilo la iran kila nchi inayopakana na iran inasita kutowa ardhi ya kupigania.
 
Mkuu

Hivi Iran amewahi kumshambulia Nani?

Iran ametumia missiles zake kumpiga Nani??


Usa ameangusha Atomic Bomb Japan

Usa ameshambulia nchi kibao kama Vietnam nk

Usa amefanya war crimes tele

Kama anayepaswa kunyooshewa kidole na Ku dismantle nucleur ni usa.

Usa anatuaminisha eti north Korea na Iran ni tishio kwa dunia wakati wao wanatengeneza kwaajili ya kujilinda na kuweka heshima ,NK aliwahi kumshambulia Nani wakati wanajilinda dhidi ya silaha za thaad zilizomlenga yeye ,Iran ana maadui tele nk

Pakistan na India wana nucleur saizi wanaheshimiana

Usa hawezi kutuaminisha uongo wake wakati yeye ndiye ana bad record na amefanya warcrimes


Iran ana bad record gani???

Acheni kula propaganda za kijinga kutoka usa ,halafu kwa masikitiko watu wengi ni kama vile bendera Wanaamini

Watandikwe wamefanya kosa gani??

Wataishia kuweka vikwazo tu.

UN security council mpaka waweke veto na urusi&China ni washirika wa Iran .so possibly haiwezi kutokea

Usa fascist hawezi kutulisha maneno


Eti Iran ataharibu dunia ni tishio my ass
Unakumbuka wakati wa utawala wa Bush kwenye sekeseke la Iraq Russia na china si zilikuwa na veto as well...baada ya Bush kuona UN hatapata uungwaji mkono niambie nini kilitokea zaidi ya russia na china kubaki macho wazi
Watu wa humu uwa mnanjifurahisha....hivi mnadhani hizi kitu ni kama kudaka panzi pori la kadumzungwi?[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]

Ni muda sasa wa USA kupotea kwenye usuper power tena aingie vitani tuone

Watu wote wanaoipenda Marekani huwa hawapendi kukubali kuwa USA hawana uwezo mkubwa wa kijeshi zaidi ya vifaa vya kisasa walivyonavyo. Wakati USSR anapokea kichapo Afghanistan, USA ndiyo walikuwa wanawapa msaada hao Afghanstan. Lakini hutasikia USSR/Russia ikisema ilipigwa na USA, walipigwa na waafghanistan.

Ndiyo maana hatupaswi kuichukulia poa Malawi kijeshi sababu ya udogo wake. Vita ina mikono mingi inayoonekana na isiyoonekana. Lazima ujue kwamba tukiingia vitani hatutapigana na Malawi peke yao. Hata sisi hatuwezi kupigana peke yetu.
Kasome historia ya vita vya Kagera ujifunze ni nchi ngapi zilishiriki katika vita ile. Tena kuna nchi zilikuwa zinacheza pande zote mbili.

Nitajie vita ambayo USA imewahi kupigana peke yake.
 
Unakumbuka wakati wa utawala wa Bush kwenye sekeseke la Iraq Russia na china si zilikuwa na veto as well...baada ya Bush kuona UN hatapata uungwaji mkono niambie nini kilitokea zaidi ya russia na china kubaki macho wazi
yeah,wanaweza kubypass UN,ila ni political suicide kwa upande wao,ina maana uchaguzi ujao Trump hatoshinda,wananchi wa marekani washachoka vita,na ndo maana clinton alifail kwani walimuona ni warmonger.

Unadhani kwanini marekani hajashambulia?,
pia wanachoweza kufanya ni kusneak attack,ambayo haina impact sana,allout war,itawacost na hawataweza kuikalia iran kamwe
 
Kihistoria,muajemi(Persia-Irani)Ndo mbabe wa vita mashariki ya kati,na si Israel.Mmarekani akimpiga muirani lazima ajue atapigana na mrusi pia.
 
"We'll never initiate war" hii kauli ya woga sana na Israel itavimba kichwa sana hapo mashariki ya Kati.....hebu tungoje

Ya woga namna gani wakati ni ukweli? Unataka waende kichwa kichwa wafyekwe wote? Israel amekkosa nini na ameingiaje katika Iran na Marekani?

Shetnai wenu atawapeleka kuizmu mkiwa macho.
 
Ya woga namna gani wakati ni ukweli? Unataka waende kichwa kichwa wafyekwe wote? Israel amekkosa nini na ameingiaje katika Iran na Marekani?

Shetnai wenu atawapeleka kuizmu mkiwa macho.
Tuliza mshono wewe ustadhi
 
"We'll never initiate war" hii kauli ya woga sana na Israel itavimba kichwa sana hapo mashariki ya Kati.....hebu tungoje
SI KAULI YA WOGA KIJANA
ANACHOMAANISHA NI KUWA SILAHA WANAZOTENGENEZA C KWA AJILI YA KUUWA WATU BILA SABABU, NI KWA AJILI YA ULINZI, ILA ATAKAYEMCHOKOZA ATAKIONA CHAMOTO.
 
Back
Top Bottom