jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,371
Una maana David (myahudi) aliyempiga Goliati (mfilisti) kwa kombeo habari hii ni ya kutunga?
Walijipangaje kupigana kama wayahudi walijuwa watumwa wa wafilisti?
Jibu ni kuwa hizi zilikuwa na bado ni falme mbili tofauti.
Wayahudi wakiwa superior pamoja na uchache wao.
Iran atapigwa kwa tomahawk, cruise missile from insilic, from sea, from satellite guided missile, from f 35, from nuclear submarine.
Wala siwashauri wajivunie vi-katyusha bom vyao.
Iraq iliwashinda leo wanajitutumua kwa hawa jamaa??????
Hawawapendi wananchi wao.

Sasa mkuu jogi nani hapa ana mhemko kama si wewe?
Kwanza wapalestina sio wafilisti,
pili karudie kuisoma story ya wafilisti,je wakumbuka nani alimwuua Saul?,
unakumbuka wakati samsoni anateswa na wafilisti kuwa kipindi hicho wayahudi walikuwa chini ya wafilist?,
unafahamu jamaa wanaiitwa waasyria,wababel ,wapersia,
je wajua kuwa kama si mfalme koreshi wa iran kuwakomboa wayahudi toka babel mpaka leo wangekuwa wamepotelea babel?,