Trump awalazimisha viongozi wateule wake kuvaa viatu vya brand anayoipendelea

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,242
Reaction score
90,300
Inasemekana Trump ameweka msisitizo kwa viongozi aliowateua kuvaa aina ya vitu anayoipendelea zaidi vya brand ya Florsheim. Inasemekana viongozi wengine hadi anawanunulia hivyo viatu anawatumia kama zawadi ili kuwapa presha ya kuvaa.
Marco Rubio ameonekana akiwa amevaa aina hiyo ya viatu vilivyompwaya alivyopewa kama zawadi na Trump.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…