Cham Bee
JF-Expert Member
- Feb 10, 2015
- 3,516
- 1,856
Two big balls=Busha.Nadhani itakuwa ulijiandaa Siku nyingi kwa hiyo operationTrump hawezi shinda.. milele, akishinda nataka my two big balls hanging between my legs..!!
Two big balls=Busha.Nadhani itakuwa ulijiandaa Siku nyingi kwa hiyo operationTrump hawezi shinda.. milele, akishinda nataka my two big balls hanging between my legs..!!
Wafrika wajitambue na kuanza maendeleoHalafu akiwaadabisha nini kinafuata...
Hilo la ubaguzi siyo issue kwa wamarekani wanataka mbabe awape discipline wamerika weusi wavivuHuyu mbaba anapendewa nini naomba kujua, Sijuagi siasa..... Mbona huwa naona ana kauli chafu za kibaguzi sana dhidi ya watu weusi, naomba kueleweshwa.
Utasubiri sana mpaka Trump kuchaguliwa kuwa Rais wa Marekani, labda 2020!Go Trump be the winner
ndoto hizo, Yani aache kazi zake za msingi afatilie yasio mhusuTrump Trump Trump! Shinda kiongozi uje uwahadabishe akina Museven na Kabila kamanda
Ila kuwekeza kwenye ugaidi anaofanya huyo ajuza kwako ndio usalama huo huyu mama ni mtu mbaya tena sanaWengi mnamshabikia Trump bila kujua mnachofanya. Trump akiingia madarakani dunia haitakuwa salama.
Kwa hiyo ushafananisha Trump = UKAWA vs Clinton = CCM????!!!Kama walimshabikia lowasa walio sema ni fisadi kwa miaka 7 Leo unashangaa hao hao kumshabikia trump
Huyu mbaba anapendewa nini naomba kujua, Sijuagi siasa..... Mbona huwa naona ana kauli chafu za kibaguzi sana dhidi ya watu weusi, naomba kueleweshwa.
Atavitoa wapi huyo sakala!!!!Unaweza kuniwekea hapa hizo baadhi ya kauli zake chafu za kibaguzi dhidi ya watu weusi?
Pia, naomba uniwekee vyanzo vya kuaminika vya hizo kauli, tafadhali.
Atavitoa wapi huyo sakala!!!!
Hehehehee sakalaaAtavitoa wapi huyo sakala!!!!
Naona na Director wa FBI kasema hana kesi ya kujibu kuhusu tuhuma mpya za emailsHachukui huyo, hakuna cha mfumo dume wala mfumo mume, yude dada anavunja na kuandika record mpya katika nchi hiyo.
Wewe ndio jinga sakala kabisa..Trump alishtakiwa na Department of Justice kwa ajiri ya policy zake za kibaguzi kwenye nyumba zake its official record na ipo all over google it mbulula weweInasikitisha sana pale watu wanapoendekeza ujinga [kwa maana yake halisi].
Wewe ndio jinga sakala kabisa..Trump alishtakiwa na Department of Justice kwa ajiri ya policy zake za kibaguzi kwenye nyumba zake its official record na ipo all over google it mbulula wewe