Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,271
- 29,934
NtafulaijeTrump Trump Trump! Shinda kiongozi uje uwahadabishe akina Museven na Kabila kamanda
NtafulaijeTrump Trump Trump! Shinda kiongozi uje uwahadabishe akina Museven na Kabila kamanda
tuwe tunabakiza maneno!!! quoted!!!Trump hawezi shinda.. milele, akishinda nataka my two big balls hanging between my legs..!!
tuwe tunabakiza maneno!!! quoted!!!
Uniite tujimiminieNtafulaije

HahahahahTrump akishinda nitafanya sherehe nyumbani kwangu
Kuna jamaa limoja litaalamu kutoka Visiwani kule kwenu nadhani limeshafika kule, kufuta uchaguzi kama Trump akishinda!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wanaoshabikia trump hawana ndugu huko wala hawajui siasa na uchumi wa marekani! Wanashabikia tu!!!Trump akishinda , muanze kuwaandalia ndugu zenu walioenda Usa mahali kwa kufikia watakaporudi huku maana deadline ya kukaa usa ni siku ya pili ya Trump ndani ya jumba jeupe.
Ahsante, ila ana nini cha mno hadi apendwe?Ni mbaguzi ndio lakin kuna maneno mengine anayaongeaga ambayo huwa yanafichwa kwa blanketi la diplomasia. Ubaguzi ni mentality ya wazungu walio wengi sema iyodiplomasia huwa inawaficha so kapatika ambae hajali diplomasia yeye anamwaga tu ndo hapo watu wanapomkubalia... Kwa vyovyote vile hata kama akishinda bado hawezi fanya kinyume na Sera za kimarekani, hao akina mseveni anaowasema ni mbwembwe tu hawezi waondoa madarakani maana hawaizuiii chochote marekani.
Nisawa na Obama alivyo jinadi kuwa yeye hapendi vita katika uongozi wake marekani haitapeleka majeshi kupigana lakin nini kilichotokea Libya? Nini kinaendelea sylia? Ndo mujue hizo ni Sera za kimarekani pale inapoona masirahi yake yanaguswa.
Samahani Evelyn....naomba kuuliza upo single??...maana nataka nkucheck kwenye prfl yako kuna kitu fulan hvy....samahan lakn...Ahsante, ila ana nini cha mno hadi apendwe?
Mkweli sio mnafiki OHuyu mbaba anapendewa nini naomba kujua, Sijuagi siasa..... Mbona huwa naona ana kauli chafu za kibaguzi sana dhidi ya watu weusi, naomba kueleweshwa.