T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 10,650
- 34,928
Trump hajapigana vita, unataka kunambia hajafanya lolote kwenye uchumi?Sasa vita na uchumi wa America unatofautisha vipi, nyinyi layman mnaharibu sana mijadala aisee na chuki zenu za kibakwata
General Dwight D. Eisenhower aliyeongoza allied forces WW 2 alifanya nini la ajabu kiuchumi baada ya vita alipopata urais.
Mara ya mwisho US imeenda kwenye vita serious lini? Kwa hiyo tokea muda huo haijawahi endelea kiuchumi kisa haiko vitani.