Trump aapa kulipiza mara '1,000' shambulio la Iran dhidi ya balozi wa Marekani

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
2,450
2,000
Sasa vita na uchumi wa America unatofautisha vipi, nyinyi layman mnaharibu sana mijadala aisee na chuki zenu za kibakwata
Trump hajapigana vita, unataka kunambia hajafanya lolote kwenye uchumi?
General Dwight D. Eisenhower aliyeongoza allied forces WW 2 alifanya nini la ajabu kiuchumi baada ya vita alipopata urais.

Mara ya mwisho US imeenda kwenye vita serious lini? Kwa hiyo tokea muda huo haijawahi endelea kiuchumi kisa haiko vitani.
 

T14 Armata

JF-Expert Member
Mar 7, 2017
2,450
2,000
George Bush (Jr) na Ronald Reagan (Rip) ni marais wa Marekani nitakaowaamini sana katika maisha yangu kwani walijua kutafsiri nini Marekani alivyopashwa kuwa.

I really admired the two former presidents of United States for the way they represented the true value of America.
Reagan was the best kwao. Hawa wengine anawazidi mbali sana
 

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,582
2,000
North Korea ndio alisema ataishambulia Marekani, Trump alimjibu tu, North Korea iki provoke USA directly Kama ilivyofanya Iran kushambulia ubalozi wa USA kule Iraq halafu USA asijibu hapo ndio tutasema ana mikwara empty
Kweli kabisa. NK walipeleka mameli vita yao hadi karibu na fukwe za marekani. Marekani akamwambia kiduku arushe japo risasi moja aone kilichomtoa kanga manyoya. Kiduku akaogopa akaondoa machuma chuma yake
 

babu na mjukuu

JF-Expert Member
Jun 23, 2016
2,582
2,000
Kubomoa ule ukuta kwa bomu haikuwa inshu kubwa kwa Marekani, kwanza ilikuwa hasara kwa Iran make gharama ya hilo kombora lililolipua ni kubwa kuliko gharama ya matofali yaliyoangushwa pale. Na kile hakikuwa kisasi cha Soleimani ingawa waajami wa JF mlikuwa mnajitekenya kujifurahisha kwamba Iran amelipa kisasi, wairan wenyewe wanahaha hadi sasa kulipa kisasi lakin bado hawajafanikiwa, na huyo waliyekuwa wanampigia hesabu ndo hivyo tena wameambiwa wakijaribu watakutana kipimo mara 1000 zaidi ya kipimo chao.
Hakika. Na hata wale wanajeshi waliopata mtindio wa ubongo bado si hasara
 

Makala josee

Senior Member
Aug 15, 2020
143
250
Trump hajapigana vita, unataka kunambia hajafanya lolote kwenye uchumi?
General Dwight D. Eisenhower aliyeongoza allied forces WW 2 alifanya nini la ajabu kiuchumi baada ya vita alipopata urais.

Mara ya mwisho US imeenda kwenye vita serious lini? Kwa hiyo tokea muda huo haijawahi endelea kiuchumi kisa haiko vitani.
Wamekwisha weka mazingira mazuri kwenye visima vya mafuta, America ni Baba wa plundering and piracy na ndiyo imekuwa ikimuinua, hata ufadhili kwa makundi ya kigaidi umemlipa sana
 

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
4,854
2,000
Kweli kabisa. NK walipeleka mameli vita yao hadi karibu na fukwe za marekani. Marekani akamwambia kiduku arushe japo risasi moja aone kilichomtoa kanga manyoya. Kiduku akaogopa akaondoa machuma chuma yake
walituma lini? mbona sijawahi kusikia hili. USA ndio mwenye meli zake kwenye rasi ya Korea, wakifanya mazoezi na majeshi ya Korea Kusini. Aliyewahi kutuma meli za kivita karibu na nchi ya Marekani ni USSR pekee tena alizipeleka Cuba
 

Maundu

Senior Member
Oct 14, 2015
163
250
Enzi zimebadilika mkuu..taifa km Iran tangu walipofanya mapinduzi walijua kabisa marekani na baadhi ya washirika wake hawatokubaliana na uwo utawala,jeshi la mapinduzi la Iran walijiandaa na hila zozote toka kwa maadui wao,usifikiri marekani hataman kuivamia Iran''hapana" anataman hata leo aundoe utawala ila ana khofu kwa sababu hajui uwezo wa irani kijeshi na hata kitekinolojia..
 
Jul 30, 2020
25
75
Sasa vita na uchumi wa America unatofautisha vipi, nyinyi layman mnaharibu sana mijadala aisee na chuki zenu za kibakwata
Mukiitwa magaidi mkatae, SI MSEME UKWELI TU KUWA MLIONA MZIKI WA IRAN NI MNENE NDIO MLISHINDWA KUSHAMBULIA
Mzikii gani huu intelijensia ya iran ipo chini mpaka general mzima wa majeshi anauawa kizembe hivi kumbe marekani ikitaka kumuua ayatollah hashindwi

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom