Waziri Makamba amesema >> 'Tunategemea itachukua misimu miwili ya mvua kulijaza bwawa na kuanza kujaribu mitambo' - Makamba.Makamba bado anazidi kumwingiza mama kwenye chaka....
Wananchi wanahitaji umeme Tu hizo sinema za kujaza maji ni utoto Tu
Utadhani umeongea na Mungu vile.Bwawa Hilo Litajazwa Chap, Mwakani Uzalishaji Unaanza
🤣😄😆😁😅😅😃January hata kuwepo au mpaka febuari