Tribute to Ruge Mutahaba: A smartest, strategist, silent Politician in Tanzania! Aliyebadili siasa za Tanzania

Bro hakuna mtu aliyekamilika hapa duniani. Na kwa tafsiri yako ya unyonyaji wewe pia ni mnyonyaji kwa namna moja ama nyingine..unaweza kuwa unamnyonya mtu mmoja, wawili au zaidi kulingana na Hali yako. Hayo yote uliyoyaongea kuhuhu Ruge hayana nafasi tena maana the guy is dead, GONE for good.
 
Ama kweli hujafa, hujaumbika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna ukweli mwingi sana kwenye bandiko lako. Kampeni za JK kunako 2005 zilichagizwa sana na wanamuziki kaka Bushoke, Hafsa, Banana, Ngwea, Mwana FA na wengine wengi. Kwa hili, Ruge tutamkumbuka sana
Kwa mara ya kwanza nimeamini wahaya ni malaya wa kila kitu. Yaani Bushoke, Hafsa, wote hao ni wahaya plus Ruge ili wapewe fursa? Yawezekana Banana mama yake mhaya naye. Ndo maana yule alikuwa mbunge wa Kyerwa Muntu alitaka kuiuza sehemu kwa Idd amin. Ya Bashite yaliishia wapi?
 
Huu ni msiba wa taifa,sio msiba cha chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa attribute kwenye siasa hasa chama cha ccm kwani hajawi kulani ukandamizwaji wa ccm dhidi ya demokrasia, risasi kwa Lissu, kupotea kwa watu nk

Sema huu ni msiba wa ccm zaidi kwani kawasaidia sana ktk siasa zao
Rip Ruge
 
Pumzika Ruge!

Pumzika uwape nafasi sasa ya kukunenea mabaya kwa kadri wawezavyo maana hutawajibu tena!,

Pumzika Ruge, ili watu waone ulikuwa na thamani kiasi gani!

Pumzika Ruge, uliyeitwa mnyonyaji wa wasanii, kana kwamba Katika nchi nyingine kama Uganda na Kenya ambapo Ruge haupo wasanii wa huko ni Matajiri kama wenzao wa Marekani kwenye mifumo inayosimamiwa vzr!

Pumzika Ruge, ili waliokuombea "ufe" ili wao waishi milele wafurahie!

Pumzika Ruge, ambaye hata hao wanaokuponda na kukuchukia leo, wanalia machozi ya Rohoni kwa kuondoka kwako!

Pumzika Ruge, ukiwa umewapa "maisha" vijana wengi ambao hata leo wamejiajiri!

Taa ya Milele akuangazie Bwana!
 
Mungu ukiangalia matendo na dhambi zetu nani atasimama? Lakini kwako baba tumeuona msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…