Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 57,103
- 128,721
Wanabodi
Leo tumemuaga mwana tasnia ya habari, Dennis Busulwa kwa jina maarufu la Ssebo
Hii ni Tribute yangu to Dennis Busulwa (Ssebo), aliiheshimu sana TCRA na kuiita Baba!. Alitamani TCRA isiitwe Mamlaka ya Udhibiti, iitwe Mamlaka ya Ulezi wa Tasnia ya Utangazaji!, na kuiita Baba Mlezi wa Watangazaji.
View: https://youtu.be/bjgsGzqpSyo?si=61Pu7B1HSNqEk2hZ
RIP Dennis Busulwa Ssebo
Paskali