Treni yasababisha ajali

watz hawajali usalama wao jana nilijionea watu wanavyoipisha utadhani ni baiskeli bila hofu ndio tunajaribu watu waelezwe Umbali wanaotakiwa kuwa na Treni. Inakuwa kama Nitakimbia Mvua na si Gari ili uonekane Mzoefu wa Mji'.
 
iweke hivi;
"ni kosa kisheria kugongwa na treni, ikitokea hivyo unatakiwa kulilipa shirika la reli, ikiwa umekufa basi mrithi wako awajibike"

Heading inatakiwa iwe AGONGA GARIMOSHI NA KUFA PAPO HAPO na si TRENI YASABABISHA AJALI
 

Ajali imesababishwa na marehemu
 
Poleni sana Wafiwa


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Badili heading Mtu asababisha ajari maana treni hugongwa na haigongi maana ina njia yake mfikwa na mauti aliifuata
RIP anyway
 
Poleni sana wafiwa. jihadharini sana Na hizi treni kwa sababu haziko kwenye viwango vya kimaraifa. Treni za mjini Na hata za mikoani lazima ziwekewe uzio kwa usalama wa treni yenyewe, abiria na watu wengine Au vyombo vingine vya usafiri. Hapa bongo ni mambo uchakachuaji!
 
Marehemu ndiye mwenye makosa........ Treni haina kosa Tena tunatakiwa tuwe waangalifu haswa.
 

Angalizo zuri!
 
Ushamba mwingine haufai! Poleni mliopatwa na mcba 1😡😡😡
 
Src mwenyewe
badala ya kutuambia umemsaidiaje marehemu kufika kwa baba kwa amani ama umemwacha akanyagwe
 
Umeshasema alikuwa anaichungulia. Alijiamini kiasi gani?

Natoa pole kwa wafiwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…