Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,551
- 41,060
Kama jimbo lilikuwa la Cuf vipi Chadema wasimamishe mgombea? Kama si kukomoana ni nini.
CCM walikuwa wanangoja litokee hilo kosa. Mgombea wa CUF angeondolewa, angepitishwa mgombea wa Lipumba (Pandikizi).