Treasury Bills Ni Nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Treasury Bills Ni Nini?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Kivumah, Nov 25, 2011.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Naomba wale Wachumi mnisaidie, Treasury Bills( Nadhani ndio Hati Fungani, Kiswahili), Ni nini?, Na ina faida gani kwa Uchumi wa Nchi kama TZ
   
 2. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Treasury Bills au Treasury Bond?
   
 3. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Hela inapokuwa nyingi katika uchumi/ mzunguko inapelekea mfumuko wa bei. Ili kuleta stability ktk macro economy kwa kupunguza mfumuko wa bei, serikali inatumia Monetary na Fiscal Instruments au policies.
  Fiscal instrument 1wapo ni Treasury Bills ambapo Serikali ina issue treasury bills kwa public, public inanunua hzo bills na kwa kuspend hela kufanya manunuzi hayo, hela inapungua ktk mzunguko na kwa ushrkiano na sera nyingne za fedha na kodi mfumuko wa bei hatimaye unapungua, stability inakuwa restored ktk macro economy.
  Kwa ufupi serikali inapo issue treasury bills ina borrow/ina kopa frm the public.

  Wewe unaponunua Treasury Bill, unauziwa kwa bei pungufu (discounted price). Bdae iki mature (muda wa serikali kuinunua kutoka kwako ukifika) serikali inainunua kwa bei halisi ya treasury bill hyo (face/par value). Faida kwako inakuwa tofauti kati ya discounted price na par value ya treasury bill hyo.
   
 4. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mkuu nakubali kusahihishwa kama siko sahihi sana. Nahitaji kuelimishwa tu ni nini Treasury Bonds/Bills
   
 5. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Mkuu Nakushukuru, maana yake ni kwamba Treasury Bills hutolewa wakati ule tu kunapokuwa na Inflation?
  Na hizi Treasury Bills huwa zinasimamiwa na Chombo gani
   
 6. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Benki kuu ndio inasimamia mchakato wa kuziuza na kuzinunua (redemption).
  Zinauzwa ili kuleta stability ktk uchumi mkuu (macro economy). At any time kunakuwa na inflation ktk uchumi so ili ku promote na ku sustain price stability ktk uchumi benki kuu ndio inafanya hyo kaz ya kuuza hzo bills.
  Kwa kawaida hz znatibu tatizo la mfumuko wa bei kwa muda mfupi (shortrun) ambayo ni mwaka 1 tu.
   
 7. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Asante Mkuu, sasa kwa situation iliyopo TZ sasa hivi ambapo Inflation ipo juu( Double digit, nadhani 17%), Hizi Treasury Bills zinaweza kuokoa situation kama hii? Inflation rate ishuke
   
 8. Vato

  Vato JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Itawezekana kwa ushirikiano na Sera nyingne za fedha(monetar and fiscal policies) treasury bills per se haziwezi ku restore stability. Uchumi ni kama mwili wa binadamu, unaendelea kuish kwa ushrkiano wa viungo vingi. Chakula kikiwa tayari co mwisho wa habari inabd mikono, macho, miguu, akili, vishrkiane ili hatmaye uwe umeshba otherwise mikono tu haiwezi kukufanya ushbe bila ushrkiano wa mdomo. Cjui kama nime2mia mfano mzuri sana.
   
 9. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #9
  Nov 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  kuna treasury Bills na Bonds. Hivi ni vitu viwili tofauti. treasury bills zina maturity ya kuanzia 91days, 182 na 365 days. Kwa kifupi maturity yake ni less than a year. Treasury bonds zina maturity ya more than one year
   
 10. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #10
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Sheikh Ponda katoa tamko lenu kulaani Tz kwa kuwapinga Al Shabaab ni kosa kubwa kwani ni sawa na kuwapinga waislam wote, namuombea Nahodha msamaha kwako kwani hakujua kama vita dhidi ya Al Shaabab inawakwanza nyie wenzetu.
   
 11. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #11
  Nov 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hizi bhange za mchana duh!
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Nov 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
 14. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #14
  Nov 25, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  Kwa heshima ya jamvi nakusubiri jukwaa husika.
   
 15. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #15
  Nov 25, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Asante kwa kuelewa..
   
 16. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #16
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  nendeni huko kwenye jukwaa husika haraka, mmetibua kabisa kilichokuwa kinajadiliwa hapa
   
 17. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #17
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hazaitolewi wakati inflation inapokuwa juu tu... wakati mwingine serikali inafloat hizi kama njia ya kujipatia fedha kwa ajili ya matumizi yake... inasaidia sana wakati serikali inapokuwa na deficit kwenye budgetary implementation
   
 18. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #18
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Shukrani kwa ufafanuzi!
   
 19. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #19
  Nov 25, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Treasury bills are issued by Government on a discounted basis. For example you can buy a treasury bill worth TShs 100 million for 60 days by paying saying 91 million. The yield on Treasury bills is lower than on other money instruments because of the lower default risk associated with Government borrowing. In fact, the Treasury bill yield is often used as an approximation of the risk-free rate of return. (Watson, Head 5e)
   
 20. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #20
  Nov 25, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ...Mkuu nakupata, sasa labda kama hutajali weka wazi hapa hizo sera nyingine(i.e monetary &Fiscal policies) ambazo kwa pamoja na Treasury bills tunaweza zitumia Restore stability ya Inflation . Jaribu kufunguka Mkuu. Ni somo zuri
   
Loading...