Msaada: Nini maana ya treasury bill (hati fungani)?

Msaada: Nini maana ya treasury bill (hati fungani)?

Hapa naona mara hizi au zile hutolewa lakini nadhani kuna watu wengi kama mimi hawajui je hizi Treasury bills ni nyaraka au vifaa au ni nini na kama mi nyaraka zinabeba kitu gani ndani yake!???
 

Kwa lugha nyepesi Tresuary bills ni serikali za nchi zinakopa toka kwa wananchi na taasisi zake, wanachotoa ni hati ya kuchukua pesa tarehe fulani (maturity date) ikionyesha kiwango atakacholipwa mnunuzi wa TB. Mnunuzi anakuwa amelipia kiasi pungufu na kilichoandikwa kwenye hiyo hati. Hii ni njia mojawapo ya makampuni yenye ziada ya mitaji (working capital) kuwekeza kiasi hicho cha ziada

Umetumia lugha rahisi ya mtu kuelewa... Big up
 
Hizo zinazoitwa hatifungani ni hati gani hizo, zina tofauti gani na hati zingine, au kwa kiingereza huitwaje, na hizo hatifungani huwa zinahifadhiwa wapi na zina umhimu gani wa kipekee, na zikipotea athari yake ni nini.
Kifupi HATIFUNGANI ni nini.
 
Hizo zinazoitwa hatifungani ni hati gani hizo, zina tofauti gani na hati zingine, au kwa kiingereza huitwaje, na hizo hatifungani huwa zinahifadhiwa wapi na zina umhimu gani wa kipekee, na zikipotea athari yake ni nini.
Kifupi HATIFUNGANI ni nini.

HATIFUNGANI maana yake ni Kitendo cha Mtanzania kuamka alfajiri Saa 11 kwenda ' Gym ' na ' Kupotelea ' huko huko kwa ' Kutekwa ' na Wazungu wawili wa Tandale na kwa Mnyamani.
 
hazaitolewi wakati inflation inapokuwa juu tu... wakati mwingine serikali inafloat hizi kama njia ya kujipatia fedha kwa ajili ya matumizi yake... inasaidia sana wakati serikali inapokuwa na deficit kwenye budgetary implementation
katika treasury bond wanasema maturity ni 2, 5, 7 up 10 years but uweza pata interest baada ya six months , je katika utaratibu huo unaweza kupata gawio la fedha monthly?
 
Tuliosoma engineering hapa tunaona nyota tu, ngoja niende lunch nikirudi nitasoma tena
Huwezi kuwa umesoma engineering halafu ushindwe kuelewa jambo jepesi kama hili hata kama ni mara yako ya kwanza kulisikia. Labda kama ulisomea enginnering ya kuzibua mitaro michafu.
 

Attachments

Hela inapokuwa nyingi katika uchumi/ mzunguko inapelekea mfumuko wa bei. Ili kuleta stability ktk macro economy kwa kupunguza mfumuko wa bei, serikali inatumia Monetary na Fiscal Instruments au policies.
Fiscal instrument 1wapo ni Treasury Bills ambapo Serikali ina issue treasury bills kwa public, public inanunua hzo bills na kwa kuspend hela kufanya manunuzi hayo, hela inapungua ktk mzunguko na kwa ushrkiano na sera nyingne za fedha na kodi mfumuko wa bei hatimaye unapungua, stability inakuwa restored ktk macro economy.
Kwa ufupi serikali inapo issue treasury bills ina borrow/ina kopa frm the public.

Wewe unaponunua Treasury Bill, unauziwa kwa bei pungufu (discounted price). Bdae iki mature (muda wa serikali kuinunua kutoka kwako ukifika) serikali inainunua kwa bei halisi ya treasury bill hyo (face/par value). Faida kwako inakuwa tofauti kati ya discounted price na par value ya treasury bill hyo.
Nimekuelewa SANA
 
Back
Top Bottom