bado umenirudisha palepale.Hii ndo ile kwa kidhungu wanaita BOND
asante sana mkuu.. barikiwa sanaHati fungani au Bond(kwa kiingereza) ni utaratibu unaotumiwa na makampuni au serikali kukopa pesa kutoka kwa wananchi. Wale wanaonunua hizi hati wanakuwa wakopeshaji wa hiyo kampuni, kwa maana kwamba badala ya kampuni kukopa pesa benki, wanaweka utaratibu wa kuwawezesha wananchi kutoa pesa kwa makubaliano ya kuwarudishia hiyo pesa yao pamoja na riba kwa muda maalum.
Hati fungani inaweza ikatolewa na serikali kuu(Government bond), serikali za mitaa( Municipal bond), kampuni(corporate bond) au serikali ya nchi za nje(Euro bond).
Hati fungani utofautiana na hisa(share) kwa maana kwamba wenye hisa ndo wenye kampuni(debtors) kwa hiyo wao wanalipwa faida pale ambapo kampuni imepata faida na pesa yao hukatwa pale ambapo kampuni imepata hasara wakati wenye hati fungani ni wakopeshaji(creditors) kwa hiyo wao kulipwa faida haijalishi kampuni imepata hasara au la.
Mkuu ungeandika kiswahili tu....Hatifungani in english is known as BOND'bond is the face value certificate of loan to the government issued through discounted bills.sometimes the goverment may having a shortage of funds so it issue bonds to the public to raised fund to finance a concernd issue
Upo vizuri mkuu maelezo yako.Hii ni mikataba ya muda mfupi(Isiyozidi mwaka mmoja) kati ya pande mbili, mara nyingi huwa kati ya serikali na mtu binafsi au shirika ambapo serikali hupewa fedha kiasi fulani na kuahidi kukirudisha kiasi hicho pamoja na riba kiasi fulani katika kipindi maalum kisichozidi mwaka mmoja.
Kwa mfano serikali inaweza kuahidi kwamba itatoa shilingi mia moja na kumi katika kila shilingi mia moja iliyochukua kwa mtu binafsi au shirika fulani baada ya kipindi cha miezi mitatu, hapo ndiyo utamsikia mtu anasema hati fungani yangu imekaribia kuiva inapokaribia miezi mitatu kuisha.
NB: Urefu wa mikataba hii utegemea na miundo ya serikali yaweza kuwa miezi mitatu, miezi sita, miezi tisa au mwaka mmoja. However, mkataba zaidi ya mwaka huitwa Government Bond.
Tuliosoma engineering hapa tunaona nyota tu, ngoja niende lunch nikirudi nitasoma tenaHela inapokuwa nyingi katika uchumi/ mzunguko inapelekea mfumuko wa bei. Ili kuleta stability ktk macro economy kwa kupunguza mfumuko wa bei, serikali inatumia Monetary na Fiscal Instruments au policies.
Fiscal instrument 1wapo ni Treasury Bills ambapo Serikali ina issue treasury bills kwa public, public inanunua hzo bills na kwa kuspend hela kufanya manunuzi hayo, hela inapungua ktk mzunguko na kwa ushrkiano na sera nyingne za fedha na kodi mfumuko wa bei hatimaye unapungua, stability inakuwa restored ktk macro economy.
Kwa ufupi serikali inapo issue treasury bills ina borrow/ina kopa frm the public.
Wewe unaponunua Treasury Bill, unauziwa kwa bei pungufu (discounted price). Bdae iki mature (muda wa serikali kuinunua kutoka kwako ukifika) serikali inainunua kwa bei halisi ya treasury bill hyo (face/par value). Faida kwako inakuwa tofauti kati ya discounted price na par value ya treasury bill hyo.
Kwahiyo CAG Assad ni mbumbumbu kiasi cha kushindwa kutambua uwepo wa hati fungani zilizoiva..Hela inapokuwa nyingi katika uchumi/ mzunguko inapelekea mfumuko wa bei. Ili kuleta stability ktk macro economy kwa kupunguza mfumuko wa bei, serikali inatumia Monetary na Fiscal Instruments au policies.
Fiscal instrument 1wapo ni Treasury Bills ambapo Serikali ina issue treasury bills kwa public, public inanunua hzo bills na kwa kuspend hela kufanya manunuzi hayo, hela inapungua ktk mzunguko na kwa ushrkiano na sera nyingne za fedha na kodi mfumuko wa bei hatimaye unapungua, stability inakuwa restored ktk macro economy.
Kwa ufupi serikali inapo issue treasury bills ina borrow/ina kopa frm the public.
Wewe unaponunua Treasury Bill, unauziwa kwa bei pungufu (discounted price). Bdae iki mature (muda wa serikali kuinunua kutoka kwako ukifika) serikali inainunua kwa bei halisi ya treasury bill hyo (face/par value). Faida kwako inakuwa tofauti kati ya discounted price na par value ya treasury bill hyo.
Inflation 17%..una uhakika?Asante Mkuu, sasa kwa situation iliyopo TZ sasa hivi ambapo Inflation ipo juu( Double digit, nadhani 17%), Hizi Treasury Bills zinaweza kuokoa situation kama hii? Inflation rate ishuke
huwa mnada unafanyika wapi? huwa wanatangaza wapi hayo mauzo? Swali kwa niaba ya Saint Kayumba woteHela inapokuwa nyingi katika uchumi/ mzunguko inapelekea mfumuko wa bei. Ili kuleta stability ktk macro economy kwa kupunguza mfumuko wa bei, serikali inatumia Monetary na Fiscal Instruments au policies.