feisar wa moro
JF-Expert Member
- Mar 17, 2020
- 371
- 865
Tazara mwaka 1970/75Reli ya kati imejengwa mwaka gani na reli ya Tazara mwaka gani
Rail ya kati imegengwa na mjerumani wakat akitawala Africa mashariki.. Ndio maana nikasema IMECHAKAA
Tazara mwaka 1970/75Reli ya kati imejengwa mwaka gani na reli ya Tazara mwaka gani
Hili sio suala la Kadogosa jomba...hili lipo chini ya wajibu wa ma Station masters...nini wajibu wa Station masters au any group ambalo Lina husika na kuhakikisha usalama wa reli kwa ujumla kila siku...lazima wawajibishwe ili wengine waelewe maana ya uwajibikaji. Unataka kutuambia hakuna mtu alijua mvua imenyeesha kubwa...nani ali take trouble ya kucheki usalama wa reli wakati treni iliyobeba mamia ya watu inasafiriMkuu naona unamcchongea Kadogosa
Reli ya kati imejengwa na wakolon wa kijeruman..Reli ya kati imejengwa mwaka gani na reli ya Tazara mwaka gani
Mbona umeshafanyiwa ukarabati mkubwa sana na wataalam walijiridhisha pasina shaka kuwa kuna usalama wa kutosha...wa kufanya biashara ya reli iendelee...walipasishaTazara mwaka 1970/75
Rail ya kati imegengwa na mjerumani wakat akitawala Africa mashariki.. Ndio maana nikasema IMECHAKAA
Kuhusu nini...huyu hahusiki nataka kitendo kinahusiana na usalama wa reli na usafirishaji
Aaahh wapi Niliona wale wachina walichokifanya reli ya kati ni kubadilisha mataluma na kutandaza reli zingine kwa baadhi ya vipande. ila tuta halikupandishwa Yaani ardhi na tuta la rail vinapishana kidgo sanaMbona umeshafanyiwa ukarabati mkubwa sana na wataalam walijiridhisha pasina shaka kuwa kuna usalama wa kutosha...wa kufanya biashara ya reli iendelee...walipasisha
Ajira za undugu na kulindana hapo ,au hujaonaKuhusu nini...huyu hahusiki nataka kitendo kinahusiana na usalama wa reli na usafirishaji
Leo tunajitokeza Kuwalaumu hivi TRC kutokana na Ajali iliyotokea ila sijui huwa tunakuwa wapi Kuwapongeza pale wakiwa wanazidhibiti hizi Ajali.
Disable auto complete feature ya simu unayotumia Mkuu; inaharibu maana sometimes.... Stand at Operating Procedures ...
Kwanini wapongezwe kwa kutimiza wajibu wao wa msingi? Upongezwe kwa kufanya kazi inayokulipa mshahara? Siku wakitengeneza vichwa vya treni tutawapongeza ila kukagua reli ili kudhibiti ajali tuwapongeze? Big NO.Leo tunajitokeza Kuwalaumu hivi TRC kutokana na Ajali iliyotokea ila sijui huwa tunakuwa wapi Kuwapongeza pale wakiwa wanazidhibiti hizi Ajali.
Kwa hiyo tuseme usimamizi wa reli ya kati unasuasua kutokana na wahusika kuhamishia mawazo yao kwenye reli mpya? inakuwaje miaka nenda rudi maeneo ya reli yenye changamoto hayathibitiwi, mfano. kuna baadhi ya watu wanasema reli iliyopo ingeweza kufanyiwa ukarabati wa kutosha na kuokoa gharama za kujenga reli mpya kwa sababu na yenyewe ni SGR...
Tusiwe premptive kwenye suala hili. Tuache uchunguzi ufanyike na baada ya hapo tutakuwa na haki ya kujadili/kuuliza kuhusu chanzo halisi kama ni uzembe au la.Hii ajali ya majuzi, treni kuacha njia baada ya mvua kubwa, limeniacha na maswali ambayo lazima yajibiwe.
Baada ya ajali mbaya ya train na MV Bukoba zilizotokea miaka ya My Mkapa, Awamu ya pili, nilitegemea tutakuwa kumetengenezwa Stand at Operating Procedures kwa kuendesha hivi vifaa vyetu cha mass transport.
Haingii akilini kuwa reli haikaguliwi KILA KABLA YA SAFARI.
Na haingii akilini kuwa ma Station Master kati ya vituo vikubwa viwili vya karibu hawakuwasiliana.
Na haingii akilini kuwa dereva wa train hakuwa na weather reports, na hali ya mito mbele ya safari yake.
Haingii akilini vile vile kwamba kusafiri kwa reli za TRC is a question of chance, kufika safari yako ni majaliwa.
Hata yote, TRC inapaswa kuyajibu.
Mkuu kama huyo Kadogoo kashindwa kusimamia Standard Procedural Operations za kuendesha huduma hii ya usafiri ukitaka wafe wangapi ndo tusituke!Mkuu naona unamcchongea Kadogosa
Kazi yao ni kusafirisha mizigo na Abiria, hiyo kazi ya kudhibiti ajali umewapa wewe!Leo tunajitokeza Kuwalaumu hivi TRC kutokana na Ajali iliyotokea ila sijui huwa tunakuwa wapi Kuwapongeza pale wakiwa wanazidhibiti hizi Ajali.
Kule wanakagua na viberenge vipo Always, sehemu korofi madereva wanajua na wanaenda kwa tahadhari sana,Reli ya kati imechakaa mvua kubwa ya dakika 30 inaweza ikabomoa tuta la rail wakat train imetoka kituo fulan kwend kituo fulani....
Rail ya tazara huwez kusikia ovyo mvua imesomba rail japokuw inapita ukanda wenye mvua kubwa na nyingi kwa mwaka..fikiria rail ya kati ingekuwa inapita sehemu Kama bonde la kilombero
Atumbue tu, vijina waliomaliza chuo cha reli Tabora wapo mtaani wanasubiri kujaza nafasiHata Magufuli anachoka kutumbua.
Mambo mengine hayahitaji tume.
Ni incompetence.